REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MUNGU NI MKUBWA !!!! : HATIMAYE KIPINDI CHA TV CHA SIZE 8 HIKI HAPA

3:59:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Good News kwa Hivi sasa ni Kutoka Nchini Kenya ambapo Hatimaye Mwanamama SIZE 8 amkamilisha Mchakato wake wa Kipindi cha TV

Baada ya Mumewe DJ MOE kuwa na Kipindi cha TV ambacho Kinafanya Vizuri pia katika Ulimwengu wa GOSPEL, Size 8 naye kaungana na DJ RUFF katika Kipindi cha TV walichokipa Jina la PAMBIO LIVE

Kipindi Hicho kinaonekana kupitia Chanel ya MAISHA MAGIC EAST kuanzia Leo hii, na kitakuwa kinahusika zaidi kila siku ya JUMAPILI. Kipindi hicho pia kitakuwa kinahusisha Nyimbo za Kuabudu hasa Mixing za Dj.

Lakini kama Haitoshi, kitakuwa kinahusisha Interview kadjha wa kadha kutoka kwa watu mbali mbali

CHUKUA HII FASTA !!!!!! : JAY Z AKIRI KUWA MAMA YAKE NI MSAGAJI

3:15:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu JAY Z kaamua kukinukisha na kumimina kila aina ya Ukweli kunako Album yake aliyoipa Jina la 4:44

Katika Mkwaju wa SMILE ambao unapatikana pia kunako album hiyo hiyo Mpya, Jay Z amemtaja mama yake kama Mwanamke ambaye ni MSAGAJI, kitu ambacho kimewashtua Wengi sana ambao walikuwa hawafahamu kuhusu Hilo

Katika Mkwaju huo, Jay Z aliandika kuwa Mama Yake MZAZI, Gloria Carter ambaye ana watoto wanne akiwamo na Jay Z mwenyewe amekuwa akishiriki Mapenzi ya Jinsia Moja yaani Usagaji...

Mashairi hayo yanasomeka hivi   
"Mama Yangu ana Watoto Wanne, ila ni Msgajai/ Nilirtakiwa Kuzuga na kuigiza kwa Muda kuwa anafanyaga Drama/ Ilitakiwa kuficha ili apate TIBA/ Aibu ya Jamii na Maumivu ilikuwa ni Ngumu sana kuvumilia/ Nililia Machozi ya Furaha ulipoanguka katika Penzi/ haijulishi ni Mwanaume au Mwanamke."


Hata Hivyo, Miaka ya Nyuma iliyopita hasa Mwaka 2013, Mama huyu wa Jay Z aliwahi kuzungumzwa japo haikuwahi kuthibitishwa kuwa ni Msagaji na anakunjuka na mwanamke anayeitwa DANIA DIAZ

MAFISI !!! : EX-GIRLFRIEND WA PREZZO, NOTI-FLOW KAAMUA KUTUTOA MATE AISEE

2:32:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu tunafahamu Vizuri kuwa Rapper CMB PREZZO amewahi kukunjuka na "Mademu" wengi sana, kiasi kwamba kuna wengine nadhani ameshawasahau

Lakini Huko Huko Nchini Kenya, kuna Rapper wa Kike ambaye anapigana sana kuwa Maarufu na hata kufanya makubwa katika Soko la Hip Hop Ulimwenguni, anayeitwa NOTI FLOW

Bibi huyu amewahi kutinduliwa na CMB PREZZO, na kisha kutemwa Fasta yani. lakini Hi leo nimefanikiwa kudaka Picha zake, na kujiuliza kwanini Prezzo alimpiga Chini





BHITA NI BHITA MURRA !!!: HAYA NDIYO MADONGO YA MEEK MILL NA NICKI MINAJ..JAY Z NDIYE CHANZO

1:54:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuwaMungu sasa hii ni Hatari kuliko zote, maana kila kitu kinaanza kubumbuluka kuhusu huyu na huyu...

MEEK MILL amerusha Dongo "heavy" kwa Nicki Minaj na kusema kuwa anajichubua, yaani ana Ngozi Feki

Kama utakuwa unafahamu Vizuri, ni kwamba hivi sasa kuna Album mpoya ambayo imetoka, inayoonekana kuwagusa na kuwapa somo wale wote ambao ni Ma-Ex, hasa kuwashawishi warushe Vijembe vya hapa na Pale. Album hiyo inaitwa 4:44 ya Rapper Jay Z

Sasa, Nicki Minaj alinukuu baadhi ya Mashairi ya Wimbo wa Jay Z, kisha akaandika hivi kupitia Instagram

Sasa, Meek Mill naye aliamua kuzama Instagram na kumpa Makavu Nicki Minaj ingawa hakumtaja akisema hivi

"Wakishasepa, wanakuja na CD, hawa Mademu Feki wana kila kitu Feki, Rangi ya Ngozi ni Feki, Weaving Feki, Makalio Feki. Kucha Fe na hata Marafiki Feki"


MNADA BANNER