REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

AISEE !!!! : TUMEZINYAKA PICHA ZA BINTI WA MICHAEL JORDAN..AISEE !!!!! ACHENI TU !!!!

12:59:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Tumezinyaka Picha za Binti wa Mcheza Kikapu wa Zamani MICHAEL JORDAN, na kama usipokaa Vizuri, unaweza ukauza Simu aisee

Binti huyo anaitwa JASMINE JORDAN, ameweza kuwatoa Mate "Mafisi" wote ambao wamevutiwa na Mvuto na hata Umbile la Binti huyo.....

CHECK PICHA ZAKE  




OH MY GOD !!! : ETI FRENCH MONTANA HAWEZI KUMMUDU BINTI HUYU KLWA SABABU ANA........

12:50:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu Rapper French Montana hatimaye ametoka Out kwa ajili ya kupumzika na kula Bata japo, ili aweze kujipanga kwa mashambulizi Mpaya katika Soko la Muziki. 

Kama ulikuwa hufahamu , kwa Hivi sasa Rapper Huyo anaonekana maeneo ya Barcelona-LAKINI hayuko Mwenyewe.

Mkali huyu ambaye hivi sasa anafanya Poa na Mkwaju wa UNFORGETABLE, anaonekana kula Maraha ya Kutosha na Mtoto wa Kike Mrembo, ambaye stori kubwa haiko kwenye Urembo wake ambao unaonekana kumpagawisha French Montana, Bary Story ipo katika "Tamnye bin Tikiti Maji " ambalo analo Binti huyo.

Baada ya Picha akiwa anatafuna Bata na kuoneshana mahaba na Binti huyo, watu wa Mungu wanadai kuwa FRENCH MONTANA hatoweza kulihimili zigo la Mrembo huyo ambaye mpaka Hivi sasa hajafahamika ni nani bado

Kipimo kutoka kwa "Mafisi" ambao wanajua kuthibitisha Maana halisi ya Mizigo na Maumbile ya akina Dada, wanadai kuwa mzigo huo Sio wa Kawaida, na French Montana alionekana kuhangaika kuushika na kucheza nao, maana ulikuwa kama unampa Tabu kidogo

Licha ya hayo yote, paparazi ambaye alikuwa akifuatilia kila tukio kwa Ukaribu, Thomson Cruz, anadai kuwa kuna muda Montana alikuwa anafanya Makusudi ili kuonesha kuwa anaweza kuhimili varangati lake, lakini Mwisho wa siku alikuwa akiishia Kushindwa na kuhangaika sambamba na kupumua kwa Tabu.

Wawili hao walionekana Ufukweni ambako Montana alikuwa amezungukwa na Team Heavy ambayo ilikuwa inahakikisha Bwana Mdogo huyo anaamsha bata lake kwa Usalama bila Bugdha yoyote....

Awali , French Montana amewahi kukunjuka na wanawake ambao wana Mizigo ya kawaida tu, akiwemo Chroe Kardashian na Iggy Azalea

MNADA BANNER