REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

FAIZA ALLY: MNAONIONA MZEE, MNA MALIENGE A.K.A MAKENGEZA. VIMINI SIACHI KUVAA, MTOTO HACHUKULIWI NG’OO

2:29:00 AM Add Comment

ANOTHER Ishu Tena, Imetokea kunako Instagram, na Instachocho lazima Tukomae Nayo Piga Ua.

Ikiwa ni Mwingi wa Kuzungumza Makavu hasa kwa wale ambao still wanamuandama na Ishu Kuvaa Nusu Utupu, na hata kunyan’ganywa Mtoto, Safari hii Faiza amefyatuka kuwa, Wanaomchukulia yeye ni Mzee , basi wana makengeza.

Pia faiza ameongeza kuwa, Havai Madela kama wengi wanavyomtaka, akiwa kama mama, na Mtoto hachukuliwi Ng’oo.

ALIANDIKA HIVI:

mtoto ninae na hatoki manina zenu- na vivazi ndio hivyo. nimecheka sana kuna bwege na mabwege wenzie wanajua mwanangu alichukuliwa eti wanafurahia hahahahaaa mtasubiri sana na madira sivai, mwanangu hajachukuliwa n'go na hatachuliwa kamwe!!!!!! Na vimino siachi ndio kwanza usichana unaanza nyie mnao nione mzee mna malienge aka makengeza !!!! Oh yeah mimi mzuri kudadeki!!!!! Kama huamini jiangalie halafu ujifananishe na mie

LEO NI SIKU YA 4 BEN POL AKIWA KATIKA COKE STUDIO. TIZAMA PICHA 15 KUTOKA KWA BEN POL

12:39:00 AM Add Comment















HONGERA : MR & MRS NAHEKA (KHATIM NAHEKA & GENOVERA MWAKALEBE)

1:36:00 AM Add Comment

 ROYAL COLLEGE OF TANZANIA (RCT) Ndipo Mahali ambapo palinikutanisha Mie Pamoja na MR & MRS NAHEKA.

Khatim alikuwa ni Class mate Wangu (Swahiba na Best Friend kabisa) Huku Genovera akiwa ni Moja kati ya College Mate Wangu (Na Nilikuwa Program Manager wake)

Ninafarijika sana kuona Ndugu zangu ambao hata hakuna aliyetaraji kama wangefikia hatua Hii, wakitimiza Agano la Mungu , na kujenga familia pamoja.

Nisamehe Khatim, Ulinipatia Mwaliko na kunisihi Nihudhurie “Jembe Langu” katika Pilau lako, lakini Bahati mbaya Tulipoteza mawasiliano, na majukumu yalinibana.

Kupitia Black Touchez, nachukua nafasi Hii Kukupongezeni kwa hatua Hii maalum.

Ni Surprise Kiujumla, ila Ninajivunia kuona Chuo kinaweza kuunganisha Mpaka Ndoa.

Ninaamini Pia Classmates Wenzangu Wengi watakuwa Suprised Kukutana na Kitu Hiki maana umefanya jambo la Busara sana kumuona Genovera, ambaye alikuwa Ni Binti wa Pekee sana katika Chuo Kizima

Khatim, DIPLOMA MAY 2010, unaungana na SAFIA MOHAMED "Safmuu-Mtoto Wa Kocha" ambaye Pia ameingia katika Ndoa, na Nilipata Mualiko Pia, ila Nikashindwa Kuingia Zanzibar.

Ninajivunia kuwa na Ndugu ambao kila siku, tunakua, na kupiga hatua zenye Mafanikio na Heshima zaidi. Am Proud Of U Guys, and I Real Miss You all

NINAWATAKIA MAFANIKIO MEMA NA FAMILIA BORA. ALLAH (S.W) AWATANGULIE

Frank M. Joachim-Baba Juti
CONTENT MANAGER

BLACK TOUCHEZ & SASA BASI ENTERTAINMENT

#WasaniiNaSiasa: HUYU NDIYE MBABE WA WASTARA JUMA

1:04:00 AM Add Comment

Na BABA JUTI
KWA upande wake Mke wa Marehemu Juma Sajuki Kilowoko, WASTARA Juma, naye aliweza kumpongeza Mbabe wake katika Kinyang’anyiro Hicho cha VITI MAALUM kuwakilisha Mkoan Wa Morogoro.

WASTARA alithibitisha Kuangushwa na Bibi Mkanga katika Kinyang’anyiro hicho na Kupiga hatua ya kuchungulia kunakom Level za Taifa kwa safari ya Pili


 WASTARA ALIANDIKA HIVI


Mh mama mkanga nakupongeza kuludi tena ulingoni nakutakia mafanikio dodoma
Kikubwa umeteuliwa kwa ajili ya walemavu pigana kwa ajili yao sikiliza shida zao futa machozi yao na waombee wapate wanachokitaka kupitia uongozi wako kiongozi bora ni yule anaesikiliza wahitaji wake walikupigania uwe kiongozi wao
Tumia vizuri uongozi wako ili walemavu wasilalamike mungu akutangulie..

BAADA YA KUSHINDWA KATIKA VITI MAALUM: "NINAWASHUKURU WOTE MLIONIPINGA MAANA MMENIONGEZEA UJASIRI"-WEMA SEPETU

1:01:00 AM Add Comment

Na BABA JUTI
SAFARI Ya WEMA ISACK SEPETU Katika Kinyang’anyiro cha Ubunge wa Viti Maalum kwa ajili kuingia katika Crib la Mwaka Ujao, imefikia tamati siku ya Jana baada ya kushindwa kufua dafu mbele ya Baadhi ya wagombea wenzake

Wema Sepetu alikuwa anagombea kunako Mkoa wa Singida 

Kupitia account yake ya Instagram, Wema hakushindwa “Kudofyoa” yale ya Moyoni kuhusu Kushindwa Kwake. Wema alisema Hivi:


Nilivyo amua kugombea viti maalum, nilijua kuna kupata na kukosa. Awamu hii nimekosa, ila dunia bado inazunguka. Nawapongeza walioshinda. Nawashukuru mlioniunga mkono, Mungu aendelee kuwabariki kwa mapenzi yenu juu yangu, yananipa moyo.

Nawashukuru pia wote mlionipinga maana mmeniongezea ujasiri na nina nguvu mpya ya kuthubutu upya. 2015 ni mwaka wa kipekee kwenye muamko wa vijana Tanzania. Bigger things loading...

#UchaguziMkuu2015: KEISHA HUYOOOOOOO: HATIMAYE AMETOBOA

12:52:00 AM Add Comment

Na BABA JUTI 
MSANII ambaye Mpaka hivi sasa maethibitisha Kutoboa katika Yepi la Kinyang’anyiro cha Viti Maalum , Ni Mwanamama KEISHA, ambaye ataungana na wagombea Wengine kuelekea kunako NGAZI YA TAIFA.

KEISHA amewashukuru watanzania Kwa Dua zao, huku akiwasihi Kuzidi kumuunga Mkono ili aweze kuingia katika "Crib La Bunge na kuwakilisha kile ambacho anaamini kinastahili Kuwakilishwa.

“Mama wawili” aliandika Hivi Mapema leo katika Account yake ya Instagram


Hawa ni baadhi ya washindi wa leo namshukuru sana mwenyezimungu kwa hatua hii ahsanteni sana kwa dua zenu nimepita

#UchaguziMkuu2015: LEO NDIO HATMA YA WEMA SEPETU?

2:03:00 AM Add Comment

CHANZO: BLACK TOUCHEZ.COM
MKOA wa Singida Siku ya Leo ndo Utathibitisha rasmi kama malkia wa Bongo Muvi Nchini Tanzania –WEMA SEPETU “Madame” atapata nafasi ya kuzama Bungeni , ama Inakuaje.

Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo zimeshavujishwa kunako Dawati la “Wafukuza Mapepo” Mapema Hii Leo, Wema aliwasili katika Ofisi za Chama Cha Mapinduzi-CCM Mkoa wa Singida kwa ajili ya kufahamu Mbivu na Mbichi katika Kinyang’anyiro Chake.

WEMA alionekana ni Mwingi wa tabasamu Lenye Hofu , na Mpole haswa, wakati akisalimiana na wakongwe wa Chama Hicho katika Mkoa Wa Singida, lakini ni kwa Mazingira ya kujiweka sawa ili kunyakua nafasi Hiyo.

MARTIN KADINDA :
Kwa Upande wake Martin kadinda, ambaye ni Moja kati ya Timu Kubwa iliyoko Nyuma ya Wema Sepetu, amezidi Kumpa Moyo X-Bebe wa Chibu dangote, kwa Kuweka hash-tags za Kumwaga, kuwa amethubutu, nab ado wengi wanamuombea afanikiwe.

Mashabiki Pia hawajamtupa, ingawa kuna baadhi bado wanamkosoa na hata kukumbushia yale mabaya yake, kupitia Comments kadha Wa kadha


KILA LA KHERI WEMA SEPETU!

NOMA: MASANJA ANAPOAMUA KUTOA MAOMBI KABLA NDEGE HAIJAANZA SAFARI

1:53:00 AM Add Comment

MASANJA alikuwa akiongozana na Diamond Platnumz Kuelekea MKOA WA MOSHI, ambako kuna Mashindano ya MISS KILIMANJARO ambayo yanafanyika kwa Kishindo.

Ajabu na Kweli, Masanja aliaona kabla Ndege haijanyanyuka, ni Bora afyatue maombi kwanza

Duh, Nimeipenda

HOT & SO SEXY: UMEMMISS MENINA LA DIVA?, PICHA ZAKE 10 ZIKO HAPA

1:49:00 AM Add Comment

 Kupitia Tracks Kadhaa kama Vile PIPI YA KIJITI na SHAGHARABAGALA, Bibie huyu ambaye ni zao la Bongo Star Search inayoendelea Hivi sasa, wengi tuliweza kujikuta tukiingia katika Soko lake la Muziki, lakini tukishindwa kufahamu ni Kipi ambacho kimemfanya awe Kimya kwa Muda Wote Huo.










#MpakaRaha: KAJALA, QUICK ROCKER LOVES YOU SO MUCH !!!

2:33:00 AM Add Comment


SASA, Ole Wenu Mnitafsiri Mengineyo, Nitakuwa Mkali kuliko Nay wa Mitego, maana Mie Ninajaribu Fikisha Ujumbe Tu Kwa Kajala…

Ikiwa Leo ni “Keki Day” ya Kajala Masanja, ambaye kumekuwa na Vijifununu kuwa ana mahusiano ya Kimahaba na Rapper Quick Rocker (Rocker Mwenyewe alikata, hivyo msinitolee Macho), Watu Wengi sana wamemtakia Birthday Njema, huku Wengine wakiomba angalau kuhudhuria kunako Keki ya mamito Huyo


Laki Hii ambayo Nimeipenda , Ni Kutoka Kwake “Big Bous” Huyo wa Sitch Records, Quick, ambaye amekuwa Tofauti sana na Wishes nyingi ambazo Zimetokea.

“Bishoo” Mwemyewe aliandika Simple and Clear, kama Ifuatavyo:

Happy Birthday Beautiful....May God bless u na akupe maisha marefu.Love u so much
@new_kajala


Safi sana, Ninaamini Kajala anafarijika kuwa na rafiki Mzuri kama Quick Rocker

#WednesdayCRUSHWoman: HAPPY BIRTHDAY KAJALA MASANJA

12:28:00 AM Add Comment
Kajala Masanja (Instagram)

Na Baba Juti.
LEO Ni siku Maalum Kwa  Msanii wa Filamu Nchini Tanzania, Kajala Masanja, ambapo anasherekea Siku yake ya Kuzaliwa na Kuingia kunako Timu July.

Katika Black Touchez, Leo ndiye anayekuwa Mwanamke wa Siku ya Jumatano, ama WcW (wdnesday Crush Woman)

Ili Kuonesha Kuguswa na Siku Hii Muhimu, Kajala aliandika katika Account Yake ya Twitter kama Ifuatavyo:


“Thank you God for giving me another year of life. Thank you for all the experience of this past year, for times of success which will always be happy memories, for times of failure which reminded me of my own weakness and of my need for you, for times of joy when the sun was shining, for times of sadness which drove me to you. Forgive me for the hours i wasted, for the chances i failed to take, for the opportunities i missed this past year. Help me in the days ahead to make this the best year yet, and through it to bring good credit to myself, happiness and pride to my loved ones, and joy to you. Amen HAPPY BDAY 2 ME”

MNADA BANNER