REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

USWAZI TAKE AWAY: HIZI NDIZO NJIA ZETU USWAHILINI..HATUJUI RAMI KAMA ILIVYO MITAA YA UZUNGUNI NA UHINDINI

8:38:00 AM Add Comment







SEF-KAREN COSMETICS : MZIGO MPYA UMEFIKA..PIGA SIMU NAMBA 0767 15 54 46

8:36:00 AM Add Comment











Witness: Deaf, and Shut Out From HIV Information

8:09:00 AM Add Comment

Faith learned she was HIV positive two years ago, after giving birth to her daughter. The Zambian government prides itself on its HIV prevention outreach, and every pregnant woman is supposed to be tested for the virus, to prevent passing it on to their babies. But Faith, now 25, is deaf, and was never tested before the baby was born. Nor did she receive even basic information about HIV. Now, Faith is on HIV treatment, but it’s a struggle. Her 2-year-old daughter is positive too, which might have been prevented if Faith had been tested before the baby arrived.


An estimated two million people with disabilities in Zambia face significant barriers to HIV prevention, testing, and treatment, in part because they are often seen as not engaging in sex, according to a new Human Rights Watch report, “We Are Also Dying of AIDS.” Yet the reality is that people with disabilities in Zambia are more vulnerable than others to contracting HIV because of lower education and literacy levels, greater poverty, and greater risks of physical and sexual abuse. 

INSTA MCHEPUKO: HIVI KWELI NI SAHIHI HUDDAH KUTUFANYIA HIVI?..AFU MUONE H-BABA ALICHOKIFANYA LEO:...

7:33:00 AM Add Comment
HE!! WE HUDDAH…NDO NINI UNAFANYA?
HII ni Picha ambayo Kitengo Chimbua Chimbua Imeinasa Toka katika account yake ya Instagram


Sasa kwa Kweli na Swaumu Hii tuliyo nayo katika Mwezi huu Mtukufu wa RAMADHAN, tunafanyiana unyama Huu, Kweli?

*****************************
2. HONGERA DIAMOND PLATNUMZ



Hii Ni habari Mpya kuhusu Diamond Platnumz. Binafsi, lazima tumpongeze Platnumz kwa kufikia hatua hii.

********************

HE !!!!!! WE H.BABA.......NDO MAMBO GANI HAYA?


HE! We “HECHI-BABA”…ndo Nini kuuana kwa Presha na Mjoka Huu..wallahi isingekuwa maelezo na huyo “JULI TAKSI” (Jully Tax) kuwepo hapa, mie leo ningesema huyu Muntu ni Vipi?
Lakini hakijaharibika kitu, TTM na Black Touchez tunaisubiri kwa hamu hiyo Muvi kama Ulivyosema.


SNOOP DOGG ALIVUTA BANGI AKIWA NDANI YA IKULU YA RAIS OBAMA

6:52:00 AM Add Comment

MOJA kati ya Mshtuko ambao TTM, imeweza kukutana nao hasa ndani ya Mwaka huu, ni huu wa Lengendary Rapper, SNOOP DOGG ama SNOOP LION ama SNOOP ZILLA.

Akishusha Ripoti katika Interview ya Episode Mpya ya Kipindi cha SNOOP DOGG’s GGN News, rapper huyo mwenye Miaka 47, amekiri kuwa ni Kweli amewahi Kupiga kitu Marijuana, maarufu kama BANGI, alipokuwa katika Ikulu ya rais wa Marekani, Barrack Obama, iliyoko huko WASHINGTON D.C

Aidha Snoop ameongeza kuwa, Mahali ambapo alivuta bangi hiyo, ilikuwa ni Ndani ya bafu la Ikulu hiyo maarufu kama WHITE HOUSE, na si sehemu Nyingine ambayo huenda wengi wanaweza kudhani.
Hitmaker h
uyo waYOUNG, WILD & FREE, alidai kuwa, hakuweza kushtukiwa Kirahisi  na Walinzi wa Ikulu hiyo, sababu alitumia Mbinu ya Kipekee kuweza kuwadanganya mpaka wakamruhusu.

Akifafanua sasa kuhusu Uongo alioutumia, Snoop Dog anasema:
“Niliwafuata walinzi, Nikawaambia, kama ninaweza kutumia Msalani kwa Muda Mchache?, wakaniuliza kama nitafanya Nini, Tukio la Kwanza (haja Ndogo), ama tukio namba Mbili (haja Kubwa), nikawajibu nitapiga tukio namba Mbili, lakini nikiwa nafanya tukio hilo, kawaida huwa Ninawasha Sigara Yangu, ili mambo yashuke Vizuri.”


Katika kumalizia, Snoop alisema kuwa, Baadaye walinzi wale walimruhusu Snoopy Kufanya hivyo na kumshauri atumie moto wa NAPKIN kuwasha Sigara hiyo, kumbe yeye alienda Kupuliza Mmea Korofi.

KUWENI MACHO..KUNA BINTI TAPELI KUPITIA FACE BOOK. ANATUMIA JINA LA CELEBRITY HUYU…..

6:35:00 AM Add Comment

KUNA uwezekano Mkubwa kabisa, kuna wengi wameshalizwa Mikwanja ya Kutosha pamoja na Vitu kadhaa, kutoka kwa Mtu ambaye ametengeneza account Feki ya Mshiriki wa BBA The Chase akiwakilisha jiji la Nchi ya kenya, HUDDAH MONROE.

Kupitia account yake ya Twitter na Instagram, Bibie huyo ambaye huwa anashikilia Vichwa vya habari kwa Kucharaza Picha za utupu, amedai kuwa, Hivi sasa hana account yoyote ya facebook, wala Page, hivyo unaweza kutafsiri kuwa, this mamito hayupo kabisa katika Mtandao wa Facebook.


Huddah ambaye pia aliwahi kukunjuka na Rapcellency CMB Prezzo, ameongeza kuwa, wale wote ambao wanajifanya ni wazuri wa kutumia vibaya jina lake hasa kutapeli kupitia Mtandao huo wa  facebook, wanatakiwa kuacha mara moja, sababu wanamkosea na hata kumtaftia matatizo.

Tofauti na hayo, TTM imegundua kuwa, Huddah hapendi mtu yoyote tumie jina lake katika zoezi la utapeli ambalo linaendelea mpaka hivi sasa, na iwapo atakuja kumnyaka, basi atamfanyia kitu ambayo itasimuliwa kwa kila kizazi.


MNADA BANNER