REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

INSTA MCHEPUKO: JE UMESHAZIONA PICHA HIZI KUTOKA INSTAGRAM LEO?..KODOA

7:51:00 AM Add Comment







PICHA TATU: MAKAMU WA RAIS, DR GHALIB BILAL NA WAZIRI WILLIAM LUKUVI WALIPOTEMBELEA BANDA LA RAY C, KATIKA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA MATUMIZI YA MADAWA YA KULEVYA, HUKO JIJINI MBEYA

7:40:00 AM Add Comment



MAPENZI NYUMBANI KATIKA MCHAKATO WA KUINUA VIPAJI MBALI MBALI JIJINI MWANZA, BLACK TOUCHEZ YAJIPANGA KUSHIRIKIANA

7:26:00 AM Add Comment





JANA , Timu Nzima ya MAPENZI NYUMBANI ambayo inawajumuisha WATANGAZAJI wa REDIO NA TV Jijini Mwanza, DEEJAYS wa Jiji La Mwanza, pamoja na BAADHI YA WADAU wa Sanaa , walikutana katika Hotel ya Magnum, kujadili Mustakabali wa kuboresha Vipaji Mbali mbali vinavyopatikana katika Jiji la Mwanza.

Moja kati ya Dhamira ambazo zimekusudiwa, ni kuukuza na kutangaza Fani mbali mbali kama Vile MUZIKI (HIP HOP, BONGO FLAVOUR, ZOUK, etc), DEEJAY SKILLS, DANCE, MAIGIZO,MICHEZO, nk.

Tofauti na hilo ni kuwapatia Wasanii wa Jiji la Mwanza kutangaza ama kuonesha uwezo wao katika Matamasha yatakayokuwa yakiandaliwa, pamoja na Media zote za Jiji la Mwanza.

Aidha Taarifa kutoka kwa PROGRAM MANAGER wa BLACK TOUCHEZ, Kipengere Kipya Kabisa cha MAPENZI NYUMBANI kinatarajiwa Kuanzishwa katika BLOG hii, ili kuungana na Malengo na Mikakati iliyowekwa na Timu Nzima ya MAPENZI NYUMBANI.

MUNGU IBARIKI TANZANIA !, MUNGU IBARIKI MWANZA ! MUNGU IBARIKI MAPENZI NYUMBANI CAMPAIGN, MUNGU BARIKI VIPAJI VYOTE VYA MWANZA ! 

SAPPY: MO MUSIC ANAKUBALIKA NCHINI KENYA

7:00:00 AM Add Comment
PRODUCER wa HOME BOYS PRODUCTION -KENYA, SAPPY (Kulia) akiwa na PRODUCER wa 99.4 MHz-METRO FM-MWANZA, ABDALLAH "OXS" OKELEKY

Msanii kutoka katika Jiji la Mwanza, MO MUSIC, amezidi kujitengenezea nafasi kubwa katika Soko la Muziki Afroka ya Mashariki, baada ya kubainika kuwa ni moja kati ya wasanii wanaokubalika Pia Nchini Humo.

Akizungumza katika Interview na Kipindi cha JAM SESSION (99.4-METRO FM-MWANZA), Producer na C.E.O wa HOME BOYZ PRODUCTION iliyoko Nchini Kenya, SAPPY, amesema kuwa awali ilikuwa ni Furaha yake kusikia Track hiyo ikikubalika kwa Wakenya ambao kiujumla ni wapenzi wa Muziki wa BONGO FLEVA

MO MUSIC

Aidha Sappy ambaye hivi sasa yuko Jijini Mwanza, amedai kuwa Kipaji cha Mo Music ni Kizuri, na kinatakiwa kudhihirika kupitia Traxx Nyingine ambazo Kiujumla zinatakiwa kufunika pini la BASI NENDA.

PROGRAM MANAGER WA BLACK TOUCHEZ (joachimjunior.blogspot.com), FRANK JOACHIM (Kushoto, Pamoja na SAPPY

Aidha SAPPY ameweza kufanya kazi na wasanii wakubwa akiwemo DEMARCO (JAMAICA), CMB PREZZO, REDSAN,NAZIZ,CANIBBAL (KENYA) , DEE MIC & SHAIBU SAPPY (TANZANIA)

TIZAMA SUPRISE VIDEO AMBAYO JAY Z NA BEYONCE WALIITOA KWA MASHABIKI WAO KATIKA THE RUN TOUR

5:53:00 AM Add Comment

TIZAMA PICHA ZA MAADHIMISHO YA SIKU YA KUPIGA VITA MADAWA YA KULEVYA, YALIYOFANYIKA LEO KATIKA VIWANJA VYA NYAMAGANA, JIJINI MWANZA

5:51:00 AM Add Comment

HII ndiyo Kauli Mbiu ya Mwaka Huu katika Kupiga Vita Madawa Ya Kulevya


MOJA ya Mabanda yaliyoandaliwa kwa ajili ya Siku ya Kupiga Vita Madawa ya Kulevya, Katika Viwanja vya Nyamagana, Mwanza

MTAALAMU akifafanua Jambo Juu ya Banda Lake

Washiriki katika Banda Lao

MAELEZO kutoka katika Banda la Pili katika Maadhimisho hayo, ambapo tulipata ufafanuzi kuwa, Madada Poa "Machangudoa" ni moja kati ya kundi la Waathirika ambao hutumia madawa ya Kulevya, ili kuondoa Aibu katika Biashara yao

MGENI RASMI akisikiliza kwa Umakini sana, Maelezo Kutoka Banda la Pili




JUKWAA maalum kwa ajili ya Wageni waalikwa



MAANDAMANO








BURUDANI ya Ngoma aina ya "KADOGOLI" ilikuwepo kuipamba Siku


MOJA ya Vijana ambao wametumia Madawa ya Kulevya Kwa Muda Mrefu, na Hivi sasa Wameachana na Matumizi ya Dawa Hizo



Vijana Wengine ambao wameachana na Matumizi ya Madawa ya Kulevya

Waathirika wa Madawa ya Kulevya, ambao mpaka hivi sasa wanatumia Dawa Hizo na hawajui ni Lini wataacha




MEZA KUU:  Meza ya Mgeni Rasmi akiwa na Wenyeji wake katika Maadhimisho Hayo


WAGENI waalikwa (PICHA ZOTE NA BLACK TOUCHEZ)














































MNADA BANNER