REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

HIVI NDIVYO SALVI BOY ALIVYOKUWA KATIKA VIDEO YAKE YA "YASIKISA"

3:49:00 AM Add Comment

 Ni moja kati Ya Video ambazo mimi Binafsi nazikubali From The Bottom Of my Heart.

IKOJE?

 VIDEO- Yasikisa
ARTIST- SALVI MANYIKA "SALVY BOY"
AUDIO STUDIO- Combination Sounds
AUDIO PRODUCER- Man Water
VIDEO PRODUCTIO- (Not yet Identified)


 KUNA NINI?

Moja kati ya matukio yaliyomo katika Video, ni Pale inapoanza Intro Huku Miguu Ikionekana Kucheza tu...na Simple kali ya Mshikaji ikitoklezea.

Pia Jamaa alionekana akiwa anacheki Time Hivi ambapo nahisis alikuwa akicheki Mida ya Baby wake kuwasili home, na inavyoonesha alikuwa amechelewa

Ukiachana Na Hilo, Jamaa anaonekana akiwa katika PIKIPIKI zito la BMW ambalo lilikuwa linakatisha Mitaa kadhaa

Baby Mama wa Mle (Video Modal) alionekana akicheza na I Pad ambayo nahis alikuwa akisikiliza Mangoma maka mkali, huku amekaa juu ya Lile BMW.
Madncers walikuwemo Pia, though hawakuchangamka Sana, lakini ile Kombineshen ya Jamaa kuwapa Tafu ilinivutia.

Mengineyo Mengi utayachek ukiicheki Hiyo Video Hiyo











WAPI INAPATIKANA ?

Ingia www.youtube.com, halafu search "SALVI YASIKISA", kisha Download au Tizama hapo hapo, na Tupia Coments Kama Utaweza

FAMILI YA KIFALME ENGLAND, YAINGIWA NA DOSARI YA PICHA ZA UTUPU.....

2:49:00 AM Add Comment




Prince Harry





Picha za Prince Harry za Utupu Hizi hapa.

HAYA HAYAAAAAA

Hatimaye inawezekana Familia ya Kifalme a.k.a “Royal Family”, kuleeee Ma-England, naizungumzia Familia ya Malkia Elizabeth ikaingiwa na dosari baada ya Picha za Utupu za Prince Harry alipokuwa akila Bata kudakwa na Wadaku wa mambo.




Kwa mujibu wa TMZ, Prince harry alielekea kunako VEGAS kula bata, ambako kulikuwa na Raging Party huku “Stripers” wakihusika Kinoma noma. Katika VIP Room Suite alioichukua yeye Mwenyewe, akiwa na Mabest zake, siku ya Ijumaa majira ya Night hivi
Picha kadhaa zinamchora Mshikaji akiwa “half naked” huku akiwa na moja ya Wasichana waliokuwemo humo, wote wakiwa katika Utupu.

Prince Harry (Kulia) akiwa na Baba Yake Mzazi Prince Charles.

FAMILIA YA MALKIA ELIZABETH INASEMAJE?

Msemaji wa familia hiyo alifunguka na kusema…..
“Hatuna Comments yeyote dhidi ya Picha Hizo kwa sasa Hivi”

MNADA BANNER