REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MARIAH CAREY HUYU HAPA, NAKATA MITAA...HII NI MARA YAKE YA KWANZA KUONEKANA TANGIA KUMEIBUKA TAARIFA ZA KUACHANA NA MUMEWE, NICK CANNON

6:30:00 AM Add Comment
MARIAH CAREY AKIKATA MITAA NA BINAMU YAKE..HII NI MARA YA KWANZA BIBI HUYU ANAONEKANA TANGIA KIMETOKEA KIBUTI BAINA YAKE YEYE NA MUMEWE NICK CANNON









NICK CANNON: KWA MUJIBU WA MTANDAO WA TMZ, NADAI KUWA YEYE NDIYE AMEMUACHA MARIAH CAREY. PICHA HII ALIPIGWA KATIKA MAENEO Y KARIBU NA NYUMBANI KWA MARIAH CAREY


CHUKUA HII: MAMA AMLISHA MINYOO MTOTO WAKE KISA..SHINDANO LA UREMBO

5:19:00 AM Add Comment
TAPE WORM: Aina ya Minyoo ambayo inafanana na ile ilyotoka katika Tumbo La Binti Huyo
ATLANTA, Marekani
DAY after day yanaibuka mapya kutoka kwa wazazi ambao wanawafanyia watoto wao kwa ajili ya tama za hapa na pale.
This Time TTM kupitia Kitengo Chimbua Chimbua, imeshushwa taarifa ya kushtua kutoka Florida, Marekani.

Binti mmoja alijikuta akikuambana na maumivu makali ya tumbo yaliyomfanya kuishi kwa wakati mgumu, Kisa tu, mama yake anamlisha Minyoo ili kumpunguza Unene, kwa ajili ya Shindano la Urembo linalofahamika kwa Jina la BEAUTY PAGEANT.

Taarifa zinazidi kumunika kuwa, Baada ya hali ya Binti huyo “Kibonge” kuwa Mbaya zaidi, alikimbizwa katika Hospitali ya jiji hilo, na kupelekwa katika Chumba cha dharura kutokana na Kilio alichokuwa akikitoa kuhusu maumivu ya tumbo

Aidha baada ya wauguzi kugundua kuwa, baadhi ya Vitu havikuwa sawa tumboni, walimpatia dawa ambayo ilimfanya aende choni mara kwa mara, na Ndipo walikuja kubaini kuwa, alikuwa amejaza Minyoo tumboni mwake.

Wauguzi hao wameeleza kuwa, Minyoo wale hawakuwa wachache bali ni wengi na walikuwa warefu sana, na walisumbua sana, kwa kusokota Utumbo, ili wapate Njia ya kutoka Nje

Baada ya Kuchunguza na Kubana zaidi, hatimaye ishu ilibumbuluka kuwa mama yake mzazi alinunu mayai ya Minyoo Nchini Mexico na kumpatia Binti ake huyo, ili apunguze unene kwa ajili ya Shindano hilo la Urembo


Mama Huyo alimuomba Msamaha Mtoto wake, na kumwambia kuwa alikuwa akifanya hivyo ili awe Mwembamba, na alihitaji msaada wa kufuta Ubonge alio nao, ili akashiriki Shindano hilo la Urembo

MCHEZO WA ICE BUCKET CHALLENGE , ULIVYOINGIWA NA DOSARI.

5:07:00 AM Add Comment

ENGLAND
ICE BUCKET CHALLENGE hivi sasa ni kitu ambacho kimeteka Mitandao ya Kijamii kwa zaidi ya asilimia 50, jambao ambalo linaonesha kuteka akili za watu kwa asilimia kubwa.

Lakini Mchakato huo ambao ni maalum kwa ajili ya Kuchangia watu wasiojiweza kupitia Taasisi ya ALS, umeingiwa na Dosari baada ya kijana mmoja kukumbwa na Umauti wakati akijaribu kufanya Mchezo huo.

Kijana huyo ambaye anafahamika kwa jina la CAMERON LANCASTER, mwenye Umri wa Miaka 18,Nchini Uingereza, alitaka kufanya ICE BUCHET CHALLENGE ya Kipekee  kabisa, kwa kuruka katika Mto ilioko  PRESTONHILL QUARRY, siku ya Jumapili jioni, ambapo inasemekana kuwa baada ya kujirusha tu, alizama chini zaidi na mpaka hivi sasa hajapatikana.

Kwa Mujibu wa Shuhuda mmoja, WILMA SUTHERLAND (41), anadai kuwa, alimuuliza mtoto wake kuhusu kusikia chochote kuhusu tukio hilo, na ndipo mtoto huyo mwenye Miaka 15 alikiri kuwa marehem alifanya hivyo kwa ajili ya challenge Hiyo na hakurudi Tena

Msemai wa jeshi la polisi, amesema kuwa tayari kikosi chake kipo katika Eneo la tukio kuutafuta Mwili wa mtoto Huyo, ingawa watu wengi hasa watoto na Vijana huogelea katika Eneo hilo na hawajawahi kukumbwa na mauti.


Familia ya Cameroon, wametoa Heshima zao za Mwisho katika kipindi hicho Kigumu kwa Mtoto wao Huyo ambaye hivi karibuni alitarajiwa kujiunga na Chuo

KIM KARDASHIAN AMEZUA JINGINE..USHER RYMOND ASHINDWA KUJIZUIA

4:57:00 AM Add Comment

LOS ANGELS..
TOFAUTI na kumpa wakati Mgumu Afisa Mmoja wa Polisi nchini marekani kwa kumtingishia WEZERE Zake mpaka akadata, safari Hii Kim West Kardashian amejikuta akimtega Usher Rymond, katika Red carpet ya MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2014

Katika tukio hilo ambalo limezidi kumtengenezea Bichwa, Kim kardashian, ilikuwa ni baada tu Kim na Usher Kupiga Pozi katika Red carpet Hiyo maalum kabisa kwa ajili ya kupiga minato kadhaa na kuuza Nyago katika mitandao mbali mbali, huku wawili hao wakiwa wamepeana Migongo.

Katika hali isiyo ya kawaida, Assests ama package ambayo Kim karadshian alikuwa nayo hasa Mzigo wa WEZERE, vilimfanya Usher Rymond ashindwe Kujizuia na kugeuza Shingo yake, huku akitoa macho yaliyofichwa na miwani Nyeusi, katika Umbile hilo tamanishi la Kim Kardashian

Kim alikuwa amevalia Kinguo kifupi chenye muonekano wa Kutizamwa na kutga haswa, huku akiwa amepiga Mbuti Nyeusi


Katika Tuzo hizo, Usher Rymond aliperform Mzigo wake mkali wa SHE CAME TO GIVE IT TO YOU akiwa na Nick Minaji ambaye pia alishusha Performance yake iliyotisha hasa mzigo wa ANACONDA

HIVI NDIVYO PETER OKOYE ALIVYOITISHIA BENKI MOJA NCHINI NIGERIA, NA SABABU IKO HAPA

2:59:00 AM Add Comment

NIGERIA
KAMA WIKI 3 hivi ambazo zimeshapita, Memba wa P.SQUARE, Peter Okoye, alizama katika mtandao wa Tweeter na kutishia kutaja jina la Benki ambayo imeonekana kumfanyia Umafia katika Account yake, huku akiahidi kuifikisha mahakamani…

SASA baada ya Kitengo Chimbua Chimbua Kuzama Ndani, kilikuja kubainiChanzo kikubwa ambacho kilimfanya Mkali huyo kutishia kutaja jina la Benki hiyo, jambo ambalo lingejenga Sifa Mbaya sana kwa Kampuni kama kampuni kiujumla.
Stri Nzima sasa Iko Hivi.

Kipindi Ca Hivi karibuni kabla ya Wiki hizo ambazo nimekutajia, Peter alibain kuwa katika moja ya Account zake Binafsi katika Benki Hiyo, ilikuwa imepungukliwa na Kiasi cha Mamilion ya Fedha, huku Zikibakia Naira 300,000 tu jambo ambalo hakukubaliana nalo.

Hatua aliyoamua kuichukua Peter, ni Kuufuata utawala wa bank hiyo, ili kufahamu ni kipi kimetokea, mpaka ikaonekana kuna fedha ambazo zimetolewa katika Account yake pasipo yeye kufahamu, na Benk hiyo kuahidi kutatua tatizo hilo haraka Iwezekanavyo.

Mpaka inafikia august, bado hakuna chochote ambacho kilikuwa kimeshafanyika licha ya kuwapa Siku 5 wakamilishe suala hilo, jambo ambalo lilimfanya Peter awatishie katika Mitandao ya Kijamii.

Sasa, baada ya Uongozi wa Benki hiyo kuona inaweza kuwa hatari, walimuita Peter Okoye na kumuomba asifanye hivyo, bali awape Siku 11 waweze kukamilisha Mchakato huo.


Lakini hata hivyo mpaka hivi sasa hakuna ambacho kimeshafanyika, na kuna uwezekano hivi karibuni, Peter akawaharibia kwa kuwataja jina …

RAPPER LIL KIM AMEMAIND BALAA BAADA YA NICKI MINAJ KUITWA MALKIA WA RAP

2:56:00 AM Add Comment

JANA katika Chimbo la Twitter, mambo yalikuwa Si mambo baada ya Lil Kim kuwashiana moto na Muimbaji kutoka ATL, K.Michelle kuhusu Title la U-Queen alilopewa Nicki Minaj..Mchakato uko Hivi..

K.Michelle ambaye ni rafiki wa Lil Kim Pia, aliingia katika account yake ya Twitter na Kutweet kuwa Nicki Minaj ni Malkia wa Rap kutokana na kile alichokifanya katika Performance ya MTV VIDEO MUSIC AWARDS 2014, zilizomalizika hivi karibuni.

Aidha baada ya Kupost hiyo kitu, basi mafanz wa Lil Kim walianzisha Timbwili ikiwemo kumsasambua Bibi Huyo, K Michelle kutokana na kile amabacho amekiandika, jambo ambalo K Michelle hakukubaliana nalo, na kuamua kuwavaa mashabiki hao wa Lil kim.

Mbwadidi zaidi likaamua kuingiliwa kati na The Queen Bee Mwenyewe ambaye soon anadondosha Mixtape yake sokoni, Lil Kim, na kuamua kumueleza ukweli kuwa, ameingilia Sekta ambayo ni Mboni sana Kwake.

Tofauti na Kujitetea kuwa Yeye (K. Michelle) na Lil Kim ni marafiki na Wanafahamiana kwa Muda Mrefu lakini Mafanz wake ndo wamemfanyia Kitu mbaya , Bado Lil Kim mbaye aliwahi kuhit na Mzigo LIGHTERS UP, alisema kuwa, hiyo ya kufahamiana ni Kweli nay eye anampenda sana Michelle, lakini suala la kuzinguana na mashabiki wake hivi hivi tena wazi katika Mtandao wa Twitter, ni Kosa kubwa ambalo yeye hakubaliani nalo.


LIL KIM na NICKI MINAJ bado wamekuwa katika Bifu kwa Muda wa Miaka kadhaa, huku dai kubwa la Lil Kim, ni kuigwa has Style ya Muonekano wake na YMCMB First lady, NICKI MINAJ

MNADA BANNER