REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KUDADADEKI !!!! : "HUWA TUNAWABAKA WANAWAKE WALIOLEWA KUPITILIZA"- KAULI YA WALINZI NA MACHOKORAA !!!

2:16:00 AM Add Comment

Na Baba Juti : SOURCE: MPASHO   
#WatuWaMungu Hii Kitu imetushtua na kuamua kuishusha kwako ili japo nawe upate kujua kile ambacho huwa kinaendelea katika ulimwengu wa sasa aisee

Nchini Kenya, Kuna Taarifa Imtoka kuwa, Wanawake Wengi huonekana katika Maeneo ya Starehe katika Viunga Mbali mbali vya Jiji La Nairobi wakiponda Bata, pengine kuliko hata wanaume

lakini Ukiachilia mbali suala Hilo, Pia imebainika kuwa, Wanawake Wengi Nchini Kenya kuanzia Siku Za Ijumaa, huonekana kwa Wingi katika Night Clubs kibao ambazo hupatikana katika Viunga mbali mbali vya Jiji la Nairobi

na kama haitoshi, Wanawake Wengi Nchini Kenya hasa katika Jiji la Nairobi, hulewa kupita Maelezo na huwa wanashindwa kujizuia ama kuji-control katika Suala la matumizi ya "Tungi" tofauti na Wanaume ambao wanajua namna ya Kujicontrol

Hali hiyo huwafanya Wanawake kukutana na majanga Mengi, ikiwemo kugongwa na Magari wakiwa wamelewa, Kuibiwa ama Kuupigwa Roba, sanjari na hili jipya ambalo ni Kubakwa mara kadhaa

Taarifa ambayo tumeipata Mpaka Hivi sasa , ni kwamba, kuna makundi mawili ambayo yamekiri bila kificho kuwabaka Wanawake Jijini nairobi ambao hulewa kupita maelezo. Makundi hayo ni pamoja na WALINZI na MACHOKORAA (Watoto/Vijana waishio Mitaani)

WALINZI:  walikiri Kuwa, Ni kweli, wanawake wa nairobi asilimia kubwa wamekuwa wakilewa kupita Maelezo na hata kukatisha katika Maeneo yao mida ya Usiku wakiwa wamelewa. lakini wanawake hao huvalia mavazi ya kikorofi ambayo huwafanya Washawishike na kuamua kuwabaka

Tunamnukuu Mlinzi Mmoja
"Watakuwa Wamelewa Sana, na wakati huo wamevalia Mavazi ya Kichokozi. Basi Walinzi huwachukua na kuwapeleka Sehemu zenye Giza ambazo wanalinda, na kisha kuwabaka"

MACHOKORAA:  pia wamekiri kukutana na wanawake wa aina hiyo ambao huwashawishi na kuwafanya watamani kufanya nao Tendo la Ndo. Hivyo hulazimika kuwakamata na kuwapeleka katika meneo ya kujificha na Kumalizana nao

Tunanukuu mmoja ya Wabakaji akisema
"Wanawake Waliolewa wakijichanganya Tu katika Maeneo Yetu, tunawashughulikia Ipasavyo"

KENYA !!! HAWA NDIO NYANI WALIOFUKUZA WAPANGAJI (VIDEO)

1:47:00 AM Add Comment

CHANZO: K24 TV 
#WatuWaMungu Mmeshawahi kukutana na Balaa la Nyani katika Maisha Yenu?, au mmeshawahi kukutana na Kipigo kutoka kwa Nyani katika Hanagika Zenu?

Sasa, tumekuletea hii Info kuhusu Nyani ambao kiujumla wamekuwa ni Kero Moja kubwa kwa Wakazi wa Kenya

   TIZAMA HAPA    

TUPANIC KIDOGO !!! : HII NDIYO HUKUMU ILIYOTOLEWA NA HAKIMU, BAADA YA MTOTO KUUAWA NA MBWA WAKATI MAMA YAKE AKIVUTA SIGARA

1:29:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hukumu Ikishatoka itabidi ukubaliane nayo maana ndivyo ambavyo mahakimu wanaona ni sahihi.

Hakimu wa Mahakama ya KENT huko Michgan, Chris Becker, ametupilia Mbali Mashtaka ya Mtoto Kuuawa Na Mbwa Wakati mama yake akivuta Sigara.

Jumataytu Hukumu rasmi ndipo Ilitoka, ambapo Hakimu alidai kuwa, Tukio Hilo ambalo lilitokea May 25 huko Michgan, ni la kuumiza Sana ambapo Mtoto mchanga wa Kike mwenye Wiki 3 alifariki Dunia Siku Iliyofuata baada ya Kung'atwa na Mbwa waliokuwa Nyumbani Hapo.

Taarifa kamili zinadai kuwa, Siku ya Tukio, Mtoto huyo alikuwa amelazwa Sebuleni na Mama Yake na Mbwa watatu wakiwa pale pale, kisha Mama yake mzazi akatoka Nje Na Rafiki yake kwa ajili ya Kuvuta Sigara.

lakini Baada ya dakika 5, mama wa Mtoto alikuta mwanaye tayari ameshajeruhiwa maeneo ya Kichwani, na alipochunguza kwa makini kujua ni nini kilichomdhuru, alimuona mbwa Mmoja akiwa na Damu Mdomoni mwake

Pia hakimu akaongeza kuwa, Mama yake hana Hatia yeyote maana hakuwa Mzembe wala hakusababisha Kifo Hicho, lakini pia Hakuna aliyefikiria kama Mbwa hao ni wakorofi na wana uwezo wa Kumjeruhi ama kumdhuru Mtu

TAYARI: JUMBA LA KIFAHARI LA LIL WAYNE LILILOPO MIAMI, LAPIGWA BEI

1:17:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Rapper Lil wayne na Hit maker wa "A MILL", Dwayne Carter maarufu kama LIL WAYNE, ameuza Mjengo wake uliko MIAMI , Marekani

Kwa Mujibu wa Taarifa ambazo tuko Nazo Mpaka Hivi sasa, Lil wayne aliingiza Nyumba Hiyo Sokoni na kukaa bila kupata Mteja kwa Takribani Miaka Miwili, na ulikuwa ukiuzwa kwa USD 18 Millions.

lakini mpaka Kufikia Siku Ya Jumanne, Mjengo huo wenye SQUARE METER 1,400 ulipigwa Bei kwa Hela Pungufu, ambayo ni USD Million 10 tu

Pia Taarifa zinadai kuwa, Mjengo huo ulikaa muda Mrefu baada ya Watu kubaini kuwa, Weezy alikuwa anauuza kwa Sababu hakuwa Vizuri kiuchumi, lakini wakwa wanaskilizia mpaka Muda Bei itakapopungua

Kama utakuwa unakumbuka Vizuri, Jumba hilo la Kifahari liliwahi kuzingirwa na kufanyiwa Uchunguzi Mzito baada ya Kuwepo kwa Taarifa za Uwongo kuwa kuna Watu wanne walipigwa Risasi Maeneo hayo

Weezy aliununua Mzigo Huo mwaka 2011 kwa USD 11.5 Millions.

Jumba hilo lina Vyumba Vya Kulala 9, Bafu 9 na Nyumba za Pembeni, Uwanja wa Kutelezea na Skate, Studio Professional ya Kurecord, etc


MTOTO WA MIAKA 10 ABUNI KIFAA CHA KUOKOA VIFO VYA WATOTO WANAOACHWA NA WAZAZI WAO KWENYE MAGARI

12:59:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu tunafahamu vizuri kabisa kuwa kumekluwa na Majanga ya watoto kudhurika na hata kupoteza Maisha wakiwa katika gari kutokana na Hali ya Joto iliyomo ndani ya Gari.

Hali hutokea pale ambapo wazazi wao wanakuwa wamewaacha kwenye gari kwa shughuli tofauti huku kukiwa na Joto, ambapo mpaka hivi sasa Nchini Marekani, Takriban watoto 712 wameshapoteza Maisha mika mingi iliyopita wakiwa wameachwa na wazazi wao katika Gari huku kukiwa na JOTO

Sasa Mtoto wa Miaka 10 kutoka TEXAS Marekani, BISHOP CURRY amebuni Kifaa kipya ambacho kinadaiwa kupokoa Maisha ya watoto ambao watakumbana na tatizo hilo katika magari ambayo yanaachwa na Joto ilihali wakiwa Ndani

Bishop alibuni kifaa Hicho katika Kipindi ambacho yeye yuko Likizo, na Ni Kibox kidogo ambacho kitajumuisha Hewa, itakayomsaidia Mtoto ambaye atakutana na Tatizo hilo.

Kibox Hicho, Mtoto aliyeko Ndani ya Gari lililochemka , basi ataweza kukitumia kama Njia ya kujipatia Hewa ya ziada ndani ya Gari, huku Ki-antenna ambacho kipo hapo pia, kitatoa taarifa kwa Wazazi pamoja na Kitengo cha Dharura kuwa kuna Tatizo ndani yake, hivyo Msaada wa hali na Mali unahitajika
Sababu ya Bishop kugundua Kifaa hicho, ni baada ya kuona Taarifa ya habari kuwa  kuna mtoto anaitwa FERN alifariki katika Gari kutokana na Joto kuzidi.

MNADA BANNER