REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SATUR-FASHION With Mary Nahceeb

11:51:00 PM Add Comment


  •  LADIES.....HAVE YOU NOTICED THIS?

There are a lot of hot trends out there right now, and frankly, we’re not all running around showing off our burgundy sparkle lips or emerald eyeshadow every day. Simply put: we need good, clean makeup for Winter that makes us look fresh and glowy on the random Tuesdays when we’re not all decked out in things with names like “Shimmer Tushy.” So, here’s a little rundown of what every good face needs:

1. Hourglass Foundation. A little really goes a long way, and it comes in a ton of shades to match your getting-paler-by-the-minute complexion. And, if you notice in a month or so that you’re looking particularly washed out, try mixing a dab of this with your daytime moisturizer for lighter coverage on lighter skin. Top it off with a dab of rosy blush and you’ll look like a million bucks in no time flat.

2. A good lipstick. Long lasting lippies are a must, in any shade. Apply one in the morning, like this cheapie by Avon, and you’ll be set for a few hours. Honestly, who has time to apply lipstick more than a couple times a day?

3. Perfect Hair. Scientific studies show that women with curly hair appear younger and more fertile to men. So basically, keep your hair curly in the non-humid-and-perfect-for-curls days of winter and you’ll look cute enough to snag a totally perfect man before you can say “Happy New Year!” Miss Jessie’s Pillow Soft Curls keep gentle curls to tightly wound ones in their place without giving the a weird, greasy texture. Now that’s love.

4. A Thick Coat of Mascara. Try a double coat of Elizabeth Arden’s Ceramide Mascara for a gently dramatic look. It’s all you need, really. Good hair, flawless skin, a rougey lip, and bright bold lashes.

WATOTO 20 Wauawa

11:44:00 PM Add Comment



Mtu aliyekuwa na silaha nzito amefanya mashambulizi katika shule ya awali iliyoko Newtown kwenye jimbo la Connecticut, nchini Marekani na kuwaua watu 26 wakiwemo watoto wadogo 20 wenye umri kati ya miaka 5 hadi 10.

Mtu huyo anayekadiriwa kuwa katika umri wa miaka 20, alivamia darasa kwenye shule hiyo ambayo mama yake alikuwa mwalimu na kumfyatulia risasi mama yake pamoja na wanafunzi 18 darasani humo kabla ya kuwauwa watu wazima watano na kisha kujiua mwenyewe.

Wanafunzi wengine wawili walifariki wakiwa hospitalini kutokana na majeraha waliyopata. Polisi wamesema kuwa hilo ni moja kati ya matukio mabaya ya mauwaji ya raia katika historia ya Marekani. Polisi imesema kuwa mtu huyo alikutwa amekufa ndani ya shule hiyo.

Muuwaji anaripotiwa alikuwa na silaha nne za mkononi na alivalia mavazi ya kujikinga na risasi. Mtu mwingine alikutwa amekufa kwenye mji huo wa Newtown na kufikisha idadi kuwa 28.

Obama awalilia watoto waliouawa

Rais Barack Obama akizungumzia mauwaji ya Newtown Rais Barack Obama akizungumzia mauwaji ya Newtown

Rais Barack Obama ametoa tamko akiwa katika hali ya majonzi makubwa kwenye Ikulu ya nchi hiyo White House na kuapa kupigania udhibiti wa silaha kwa kiwango kikubwa.

Obama alionekana akijifuta machozi mara kwa mara wakati anazungumza na waandishi wa habari kuhusu vifo vya watoto wadogo ambao aliwaita "watoto wazuri wenye umri wa miaka kati ya 5-10".

Alisema "leo mioyo yetu sote imevunjika. Wazazi, bibi na babu, dada na kaka wa watoto hawa wadogo na pia familia familia za watu wazima waliouawa kwenye kisa hiki" alisikika Obama katika sauti ya mtu anayelia.

Mara baada ya kuenea kwa tarifa hizo za mauwaji, wazazi waliokuwa na wasiwasi walikimblia shuleni hapo kuwatafuta watoto wao wakati wanafunzi waliokuwa wamelwa damu walipokuwa wanatolewa nje ya jengo. Mamia ya wakaazi wa Newtown wamekusanyika katika kanisa laKatoliki la Mtakatifu Rose wa Lima lililopo umbali mdogo kutoka eneo la tukio kuwaombea waathirika.

Taarifa kuhusu mshukiwa

Taarifa kuhusu mshukiwa wa mauwaji hayo zinasema kuwa kijana huyo anatambulika kwa jina la Adam Lanza na mama yake aliitwa Nancy Lanza. Silaha zilizotumiwa na kijana huyo zilinunuliwa kisheria na mama yake mzazi. Jirani wa mama huyo amesema kuwa aliwahi kumweleza kwamba anapendela kwenye kwenye mafunzo ya kufyatua risasi na wanawe
Kikosi cha usalama kwenye eneo la tukio Kikosi cha usalama kwenye eneo la tukio

Hapo awali vyombo vya habari viliripoti kuwa kijana ajulikanae kwa jina la Ryan Lanza mwenye umri wa miaka 24 ndiye mshukiwa wa mauwaji hayo. Baadae ikafahamika kuwa Ryan ni kaka mkubwa wa Adam.

Ryan alikuwa kazini New York City wakati muuwaji alipofyatua risasi katika shule ya awali ya Sunday Hook. Miongoni mwa watu wazima waliouawa ni pamoja na Mkuu shule hiyo ambaye ni mwanamke aliyefahamika kwa jina la Dawn Hochsprung.

Hochsprung alikuwa miongoni mwa watu watatu waliokimbilia kwenye madarasa ilikosikika milio ya risasi pamoja na msaidizi wake na mwalimu wa saikolojia shuleni hapo. Baada ya muda mkuu msaidizi alitoka nje ya eneo akiwa amejeruhiwa mguu na wawili hao hawakurejea na baadae kufahamika kuwa wameuawa.

MKAZI WA MAKETE....Usikose WEEKEND DRIVE SHOW leo Hii, Na KITULO FM RADIO, 97.0 Mhz

10:09:00 AM Add Comment

HAWA ASKARI MAGEREZA NI BALAA...

10:02:00 AM Add Comment
 Katibu Mkuu katika Wizara wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Mhe.Mbaraka Abdulwakil akikagua Gwaride la Wahitimu wa Mafunzo ya Awali, Kozi namba 26, Katika Chuo cha Magereza Kiwila, Kilichoko Mkoani Mbeya.

 KWA ! KWA ! KWA ! KWA ! KWA ! KWA !....Gwaride Hilo mbele Ya Mgeni Rasmi, Mheshimiwa Mbaraka Abdul Wakili.

 Kudaaadeki....Hapa Hasumbui Mharifu au Jangiri yeyote...Tumeiva vilivyo..wewe binafsi ukijaribu hii bila mafunzo tuliyopata, Lazima Uchafue Hewa..



 Wahitimu wa Mafunzo hayo wakionesha Umaridadi wa Kujihami dhidi ya Maadui au Wavamizi, au Waharifu

Jesca Simatya akipokea Tuzo ya Heshima kwa Kuwa Mwanafunzi Bora kwa Usafi Chuoni Hapo

REDD'S MISS TANZANIA 2012, Brighiter Alfred alivyotoa Misaada BUKOBA, Katika Shule ya WALEMAVU, MUGEZA MSETO

9:43:00 AM Add Comment







HIVI NDIVYO JK alivyokabidhi Nyumba Mpya 35 Za Waathirika Wa Mabomu Ya Ngongo La Mboto

9:28:00 AM Add Comment
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na mmoja wa walionufaika na hatua ya serikali ya kujenga  nyumba mpya 35 kwa ajili ya  waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala jana Desemba 13, 2012. Mama huyu ambaye alipoteza mume, amejengewa nyumba ya vyumba vitano pamoja na fremu ya duka


Baadhi ya  nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala kama zinavyoonekana  leo 






Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiakata utepe kuashiria uzinduzi rasmi wa nyumba mpya 35 ambazo serikali imewajengea waathirika wa mabomu Gongo la Mboto katika eneo la Msogole, Toangoma, Wilaya ya Ilala leo

MNADA BANNER