REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

VIDEO: 2 CHAINZ HATIANI TENA?

7:27:00 AM Add Comment

RAPPER 2 Chainz anaweza akasalimisha USD MILL 5 baada ya Ushahidi kupatikana kwa kumdhalilisha Binti mmoja ambaye alielekea upande wa Back Stage ambako Rapper Huyo alikuwa akijiandaa kwa ajili ya Show.

CHRISTINE CHISSHOLM ambaye mpaka hivi sasa Umri wake haujafahamika, Mnamo March 2014 alikutana na udhalilishaji  huo, kwa Kuitwa Jina baya, ambalo wafukuza mapepo tumelitafsiri kama Kahaba wa Kutupwa, pindi aliokuwa Back Stage, akiwa na Timu Nzima ya 2 Chainz.

PICHA LILIVYOANZA:
Bibie Huyo alionekana kuongea na 2 Chainz huku baadhi ya Maneno akichapia, hali ambayo iliwafanya watu wamcheke hasa waliokuwa kunako Back Stage.

Kilichoua zaodi, ni Bibi huyo kumuita AUGUST ALSNIA kama AGUSTA ASELINA, hali iliyowafanya wamcheke balaa huku “Kaka Baunsa” ambaye alikuwa anahakikisha Usalama upo wa Kutosha kwa Msanii huyo na Timu yake kule Back Stage akimtimua Binti Huyo katika Eneo hilo.

KILICHOTOKEA KWA BINTI.
Christine anadai kuwa, baada ya Video hiyo Kupostiwa kunako Mtandao wa YOUTUBE, alijikuta akidhalilika na hata Hadhi yake kuonekana imevunjiwa Heshima kiasi kwamba mpaka hivi sasa anajihisi vinaya kila anapopita.

Tofauti na Hilo, mamito huyo Mrembo Kweli alijikuta akipoteza kazi yake katika Salon ya Kiume, ambapo anadai kuwa Boss wake aliogopa kuendelea kufanya naye kazi kutokana na udhalilishaji huo uliofanyika, ili kuilinda heshima yake, na biashara yake.


TIZAMA VIDEO HIYO HAPO CHINI:
(Usisahau kutembelea www.blacktouchez.com)


SKENDO YA TYGA: HAYA NI MAWILI MAPYA KUHUSU TYGA NA SKENDO YAKE YA USALITI.

7:11:00 AM Add Comment
KUANZIA siku ya jana, Social Network zilikuwa zimezagaa taarifa kadha wa kadha lakini kubwa amabyo inazidi kushika hatamu, ni ile ya Sextape ya Tyga na Model aliyebadili Jinsia, kuingia Mtaani.

KAULI hiyo “ilifyatuliwa” na Model Huyo ambaye anakwenda kwa jina la MIA ISABELLA, na hata kudiriki kuachia Picha ya Uume wa Tyga, ambayo inasemekana kuwa Tyga alimtumia,.

TYGA KUTUMIA FBI KUMFAHAMU ALIYESAMBAZA PICHA YAKE:
MPAKA hivi sasa, “wafukuza Mapepo” tumedaka Mchongo Kuwa, Tyga ameamua kuingia Ndani zaidi kuhakikisha kuwa anampata mtu ambaye alisambaza Picha hiyo kunako Mitandao Mbali mbali ya Kijamii.

Ingawa awali Tyga alikataa kuwa Ile Picha haikuwa ya Kwake, baadaye wakili wake alithibitisha kuwa, Mzigo Ule ni Wa Tyga, hasa Ukizingatia kuwa Tattoo zinazoonekana katika Tumbo ni za Kwake, hivyo wameamua kuingia Mbele zaidi ili Kukamata Mhusika.

Tofauti na hilo, Mwanasheria huyo wa Tyga, LEE HUTTON amesema kuwa, wameamua kuwaomba FBI wawasaidie katika Uchunguzi, na hivi sasa wamefanikiwa kupata Baadhi ya E mails ambazo zinaonekana kuhusika na usambazaji wa Picha Hiyo, pamoja na Blog ambayo ilikuwa ya kwanza kabisa kupost Picha Ya UUme wa Tyga.

TYGA ANATISHIA KUMUUA MIA ISABELLA
BIBIE huyo ambaye anadai kuwa, amekuwa katika mahusiano ya Kimapenzi na TYGA kwa Miaka 3, hivi sasas anatishiwa kuuawa na Rapper Tyga. Akiyasema hayo kunako Instagram, Mia anadai kuwa Tyga ni Mtu wa Ajabu sana, maana yeye ndiye aliyempigia Simu na Kumuomba Huduma ya Kupewa Mahaba na Mia, na alilipwa USD 270, lakini bado alihitaji m,ambo hayo yafanyike mara kwa mara, na hatimaye kudumu katika Mahusiano ya Kwa Miaka 3.


Hata Hivyo, Mia amesema yeye haogopi kufa, nab ado yuko katika Msimamo wa Kuachia Mkanda huo wa Ngono ambao unamhusisha Tyga na Yeye Mwenyewe

MNADA BANNER