REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

JAY Z NA KANYE WEST WALAMBA SHAVU KATIKA TAMASHA LA SAMSUNG

1:55:00 AM Add Comment

TTM Tumepata mtonyo kuwa, Rappers wawili waliohusika katika Albam ya WATCH THE THRONE, JAY Z “Jigga” na KANYE WEST “Yeezy”, watashusha heavy burudani katika tamasha la Simu ya mkononi la Samsung

Kwa mujibu wa Statement ambayo imetolewa na SAMSUNG wenyewe inasemekana kuwa, Jay na Kanye watajumuika na Kampuni hiyo ya Samsung kwaMuda wa Siku nne, ambapo tamasha hilo litafanyika katika maeneo mbali mbali ikiwa ni pamoja na kutangaza Bidhaa yao hiyo.


Aidha maeneo ambayo yatapata Burudani kali kutoka kwa Vichwa hivi viwili ndani ya tamasha hilo, ni pamoja na AUSTIN sanjari na TEXAS, huku sehemu nyingine zikitangazwa baadaye wakati tamasha hilo likiendelea ndani ya Maeneo hayo

P-UNITY WAMEZUNGUMZIA HILI KUHUSU E MAIL FEKI INAYOWACHAFUA..

1:51:00 AM Add Comment

Siku kadhaa kumezuka E mail moja inayowazungumzia Membaz wawili wa Kundi la P-Unity Nchini Kenya, huku ikisambaa kwa kasi Kunako Mitandao Mbali mbali za kijamii.

Kwa mujibu wa maelezo yaliyokuwa katka Mail Hiyo, inasemekana Eti, Vichwa viwili ambavyo vinaunda kundi hilo (Havijawekwa wazi) vimewatelekeza mabinti wawili ambao walizaa nao watoto, jambo ambalo lilizua kimuhe muhe cha aina yake.


Kwa Mujibu wa maelezo ya Meneja wa kundi hilo wakati akipiga Story na MONDAY BLUES Nchini humo, amekiri kupokea taarifa hizo, na kukanusha kuwa E mail hiyo haina ukweli wowute Ndani Yake.


Pia Ameongeza  mashabiki wa kundi hilo la P-Unity wanatakiwa kutokuiamini E mail Hiyo, maana inadhamiria kupotosha na hata kupandikiza Chuki hasa Kwa mashabiki wao

PICHA: HIKI NDICHO KILICHOFANYIKA UGANDA KATIKA TAMASHA WOMEN'S DAY CONCERT (INSPIRING WOMEN CONCERT)

1:41:00 AM Add Comment
 TAMASHA HILO LILIWAHUSISHA NYANDA WA BRICK & LACE PAMOJA NA CINDY SANYU, NA WA SANII WENGINE NCHINI UGANDA

MTOTO WA MICHAEL JACKSON ALIYEIBUKA HIVI MAJUZI..HATOGUSA MALI WALA FEDHA ZA FAMILIA..

1:25:00 AM Add Comment
MTOTO aliyeibuka Hivi majuzi na kudai kuwa ni Damu halali ya Michael Jackson (marehemu), huku Vipimo vya DNA vikithibitisha kabisa kuwa Ni kwelio, inasemekana kuwa amechimbwa Bit kutumia, Kugusa wala kudai sehemu ya Fedha au mali za Mkali huyo wa zamani wa Pop.

Kwa upande wake Mtoto mwenyewe ambaye jina lake ni BRANDON HOWARD, amedai kuwa hilo wala lisiwaumize kichwa watu, maana Yeye hana Mpango wala Nia ya Kuomba au kutumia mali yoyote ya Michael Jackson, maana hakuhusishwa tangia Awali katika mali hizo.

Pia ameongeza kuwa, wala familia isitarajie kupata usumbufu kutoka kwake maana Wahusika halali katika mali hizo, ni Watoto watatu ambao ni PARIS JACKSON, PRINCE JACKSON na BLANKET JACKSON.


Hata hivyo kwa Mujibu wa Wosia wa WACKO JACKO, inasemekana kuwa, wanaotakiwa kugusa ama kufaidika na mali zake, ni pamoja na watoto wake Watatu pamoja na baadhi ya Vituo vya Misaada vilivyokuwa vikihudumiwa na Michael Jackson Mwenyew, Enzi za Uhai wake

MNADA BANNER