REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MPIGA DEBE: YAMESEMWA HAYA KUHUSU "SHIKA ADABU YAKO" YA NAY WA MITEGO

5:23:00 AM Add Comment
Nay Wa Mitego
Na Baba Juti
MPIGA DEBE Katika Kipindi cha HIT ZONE ya 93.7 JEMBE FM-Mwanza, Leo imetizama namna ambavyo wadau Wameupokea Mkwaju Mpya wa NAY WA MITEGO-Shika Adabu yako.

Wasikilize

KUMBE SHILOLE ALIKUWA BARANI ULAYA KWA AJILI YA LIKIZO FUPI.

3:15:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
JUZI Black Touchez tulikutupia Picha kama 9 Hivi za Shilole akiwa Paris-Ufaransa akila Bata, ingawa kwa akili zetu tulihisi kuwa ameenda kwa ajili ya Project aidha ya Video Mpya au Audio.

Lakini Kumbe Shishi alienda Likizo Fupi, na hivi sasa amesharejea Bongo... Hiyo ni kwa Nujibu wa POST yake katika account yake ya Instagram

NUKUU 
Baada ya kuwa barani ulaya kwa likizo fupi.. Shishi nimerudi salama salmin. Watu wangu wa Bangaore kaeni mkao wa kupata show KABAMBE. ☕☕🍮

BAADA YA KUSHINDWA KUPUMUA NA KUKIMBIZWA HOSPITALI, BMX AKANUSHA KUTUMIA DAWA ZA KULEVYA

1:23:00 AM Add Comment

SIKU ya Jumatatu ziliibuka Taarifa za Uhakika Kuwa, DMX alikimbizwa Hospitali baada ya Kuzidiwa na tatizo la Kifua Kubana (Asthma)

Kwa Mujibu wa Mtu aliyekuwa naye, Inasemekana kuwa, Tukio hilo lilimtokea Rapper DMX Nje ya Chumba cha Hotel ya RAMADA YONKERS iliyoko New York Marekani, ambapo alianza kukosa Pumzi na hata kupoteza Fahamu

Kutokana na Hali hiyo, DMX alidondoka Chini, hali iliyowafanya wamkimbize Hospitali ili kuoka Maisha yake, ambapo Gari la Msaada lilifika na kumchukua.

MADAI YALIYOTOKA.
BAADA ya Taarifa Hizo kuwafikia Walimwengu, DMX alianza kutajwa kuwa, alikutana na hali hiyo kutokana na kutumia na hata kuzidiwa na Dawa za Kulevya

Kwa Mujibu wa Shahidi ambaye alikuwa akitoa Ushuhuda kwa askari Polisi aliyekuwepo eneo la Tukio, inasemekana kuwa, DMX alionekana akijindunga Sindano ambayo ilikuwa na Dawa Za Kulevya.

MAJIBU YA DMX.
MARA Baada ya Kurudi katika Hali yake ya Kawaida, DMX anadai kuwa, hakuwa ametumia Dawa za Kulevya kama ambavyo shahidi amezungumza, bali ana Tatizo la Asthma kama ambavyo imeshawahi kufahamika

Tofauti na hilo, Familia ya DMX inasema kuwa, Mkali huyo baada ya kugundua kuwa anaanza kukosa Pumzi, basi aliomba Kifaa cha Kusaidia kupumua.

TAARIFA YA JESHI LA POLISI
DMX hatofunguliwa Mashtaka ya Matumizi ya dawa za Kulevya au umiliki Dawa za Kulevya maana vipimo vinadhihirisha kuwa hakutumia vitu Hivyo bali ni Asthma tu

KUHUSU CIARA KUMSHTAKI FUTURE KWA KUMDHARIRISHA.

1:19:00 AM Add Comment
Zahir, Ciara na Future

Na Baba Juti
CIARA amechukua Jukumu la Kumshtaki Mzazi Mwenzake Rapper Future, ambaye walikuwa katika Mahusiano kipindi cha Nyuma na Mwisho wake kupigana Chini

STORY ILIVYOKUWA.
SIKU chache zilizokata , Future alitweet katika account yake ya Twitter  kuwa Ciara amekuwa akimbania kuonana na Mtoto wao Zahir, kitu ambacho anadai kinamuuma, na anahitaji kuonana na Wanasheria ili apate msaada.

Lakini katika Malalamiko hayo, Future alitumia maneno makali kama vile "kahaba", jambo ambalo lilimfanya Kila Mtu aanze kumpondea Ciara kwa hali hiyo.

HIVI SASA !!
BAADA ya kukutana na Kauli hiyo Mbaya, na hata kuitwa jina Baya, Ciara, amechukua Uamuzi wa kufunga Masghtaka Dhidi ya Future, kwa madai kuwa, amedharirishwa, na hayuko tayari kulivumilia hilo Suala.

Tofauti na Hilo, Katika madai yake, Ciara anaomba kulipwa USD Million 15 kwa madai kuwa amedhalilishwa na ameathirika Kisaikolojia.

CHA AJABU SASA!
Kutokana na malalamiko ya Future, na Hatua Ya Ciara Kuingia Mahakamani Kufungua Mashtaka, Still mashabiki wa Future wanazidi kumuandama na kumjia Juu Ciara kuwa hakustahili kufanya hivyo, bali anafanya maamuzi hayo sababu hana Mkwanja, na hata kimuziki hafanyi poa,

Tofauti na hayo, picha na Video Clip za Utani zimeanza kuhit Mitandao ya Kijamii, kumtania na hata Kumcheka Ciara kwa uamuzi aliouchukua dhidi ya Baba wa Mtoto wake, Future.

OMMY DIMPOZ KWA NAY WA MITEGO: HAKUNA MWANAMKE AMBAE ANAWEZA KUISHI NA MWANAUME MWENYE TABIA ZA KIKE KAMA ZAKO.

12:12:00 AM Add Comment
Ommy Dimpoz/Instagram

Na Baba Juti
HATIMAYE Ommy Dimpoz amejibu "Dongo " La Nay Wa Mitego kuwa "jogoo lake Haliwiki" Kauli aliyotamka katika Wimbo wake wa SHIKA ADAMU YAKO.
Nay Wa Mitego/Instagram

Kupitia Account yake Ya Instagram, Ommy alipost Video Clip akiwa Na Binti (Tunahisi Labda ni Mpenzi Wake), kisha akaandika "Bonge La Post" ambalo linadhihirisha kuwa Ommy alikuwa amejaa Povu (hasira)

NUKUU:
Barua ya wazi kwa Neema wa Mitego kwanza pole kwa Malezi ya Watoto ambao mama zao wamekukimbia, hakuna Mwanamke ambae anaweza kuishi na mwanaume mwenye tabia za kike kama zako 😂 inatakiwa ujiulize una tatizo gani maana km umaarufu mavi unao,nyumba unayo,magari unayo na hivyo ndo vitu dada zetu wanapenda lakini kwanini wanakukimbia pili kila nikiwaangalia watoto naona kabisa hamjafanana kuna umuhimu wa DNA Da Neema trust me. Hiyo video nimekuwekea hapo juu ni kukuonyesha kuwa mimi na wewe Ligi zetu hazifanani 😄 vitu navyokula mimi wewe utaishia kuviona kwenye TV maana kuvipata mpaka uwe Unapanda sana Ndege sasa mimi najaza passport ya Tatu wakati wewe hata kurasa 4 za passport yako ya kwanza hujamaliza 😜 Sasa wewe ushazoea wanawake zako wa jumuiya basi unataka kila mtu apost demu wake haya sasa Chuma hiko kimetoka ulaya kuja kufuata dodoki 😋🍆nimekujibu ili nikusaidie promo ya nyimbo yako Atleast upige na Vishoo baba 😄😄 Sema nakuomba usirushe ngumi tu maana nakujua Mzee wa Kupanic Maana katika hao mabebi mama wako kuna mmoja nilishapitaga nae Uliza vizuri atakwambia kama jogoo anawika au vipi .Ukitaka kudownload wimbo wa @naytrueboy #ShikaAdabuYako nenda kwenye bio ya Da Neema

MNADA BANNER