REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#DakaHiiFasta : GAME AMESARENDA KWA KANYE WEST AISEE

10:35:00 AM Add Comment

Na Baba Juti.
THE GAME ameamua kukiwasha tena kwa Kurudia Kauli yake ile ile ambayo ilimfanya aandamwe na kujibiwa Vikali na Familia ya Kardashian alipodai kuwa “aliwatindua” Kim Kardashian, Khloe Kardashian, na safari hii amemuongeza Black Chyina

Hiyo yote imetokana na The Game kuchana katika Mkwaju wa SAUCE aliomshirikisha  DJ KHALED, ambapo alisema Hivi

“Nilikuwa nikiwatindua Mademu wote ambao Usher Rymond amepita nao… Kisha Nikawatindua akina KARDASHIAN watatu”, hali ambayo ilizua balaa.

Leo, Rapper The Game kupitia THE WENDY WILLIAMS SHOW, The Game alijikuta akimtaja Pia Black Chyna kama ni moja kati ya watu ambao aliwapiga tena fasta na ghafla

Lakini ili kuweka Soo Likae sawa, The Game alidai kuwa, Kanye West ni rafiki yake wa Karibu, na hivi sasa Yeye na Kim Kardashian, wanawatoto na familia nzuri, hivyo, hataki kabisa kuwakosea Heshima




Lakini kwa Upande Mwingine, alipoulizwa kuhusu kwanini ameamua kuingia katika Bifu kali na Meek Mill pamoja na Sean Kingston, The game alidai kuwa, ni kweli, kuingia katika Mabifu katika Ulimwengu wa sasa, ni utoto tu, na yeye ameshakuwa mtu mzima, ila alijibu kwa sababu alikosewa heshima na kudhalilishwa mbele ya Watu

MWIGULU NCHEMBA: UPOKEAJI RUSHWA, UONEVU, UBAMBIKAJI KESI..SASA "NO"

9:39:00 AM Add Comment

Na Baba JUTI
WAKAZI wa Musoma, Tarime, na Ikibidi Nchi Nzima, huenda ikakutana na Neema hii ambayo MHeshimiwa Mwigulu  Nchemba ameizungumza kupitia Tweet Yake katika account yake ya Twitter,.

Mhe. Mwigulu Nchemba Kutoka katika Wizara ya Mambo ya Ndani, mapema Leo amepost Tweet akiwa na Baadhi ya Maofisa wa Musoma, Tarime, ambako alizungumza nao kwa undani kuhusu masuala ya Usalama na haki za raia

Mhe. Nchemba ameandika Kuwa, L:eo Askari waliokengeuka kimaadili, wajirekebise. Upokeaji wa Rushwa, uonevu, ubambikaji wa Kesi na kadhalika sasa "NO"


VIDEO : KING SILVER NI MUUZA MIHOGO

9:06:00 AM Add Comment

Na Baba Juti.
Kutoka Jijini Mwanza, Safari Yake ya Muziki imeanzia Mbali ingawa Imekutana na Misukosuko Kadha wa Kadha lakini Bado hajakata Tamaa

Wengi walimfahamu akiwa na Kundi la Wakubwa Wa Jiji (liliwajumuisha Yeye Mwenyewe KING SILVER, OP MTATA, DOGO DEE, ABOU MKALI na MO MUSIC) ambalo hata Hivyo halikuweza kudumu baada ya kila mmoja kuanza kujitegemea na kuachana kwa Misuguano ya hapa na Pale

Walijitahidi kuliruidisha Kundi lakini Mwisho wa siku Imekuwa Tofauti, na badala yake aliweza kuimarisha Undugu wake na OP MTATA, ambaye mpaka hivi sasa wameamua kila mmoja kufanya SOLO PROJECT

KING SILVER, baada ya Kuachi MTAA WA NYUMA, ambayo haikufanya Vizuri Kihivyo, safari Hii ameamua kurudi na MUUZA MIHOGO


MAFISI MPO!?: PICHA MBILI ZA BAD GAL SHISHI AMBAZO TAYARI ZISHAWATOA MACHO MIDUME

8:44:00 AM Add Comment

Na Baba Juti.
MAFISI MPO?, Tunaamini kabisa hamtoweza kuvumilia na kupotezea Kutizama hili "Jipajaz" la Mwanamama Shilole.

Okay, Tofauti na Kuwa katika Headlines kipindi kile baada ya Kuingia katika mahusiano na Nuh Mziwanda, Mara wakapigana Chini na hata kutuhumiana katika masuala Mbali mbali, Banange !!, hamuwezi kuacha kumzungumzia anavyokuwa mtamu.

Safari Hii Shilole ameamua kuwatoa Udenda Midume ambayo inatamani utamu kama alionao, kwa Kupost Picha Hizi mbili ambazo zimeweza kupata Commentz zaidi ya 100 kwa kila Post, huku baadhi ya Mijamaa ambayo imemfollow ikionesha Uchu dhidi ya Fugure yake


Unadhani utaacha kutamani Kweli?

#DakaHiiFasta : KIZIMBANI KWA KUDHALILISHA JESHI LA POLISI KUPITIA WHATSAAP

8:31:00 AM Add Comment


By Tausi Ally, Mwananchi-Dar es Salaam. 
Zikiwa zimepita siku tano tangu wakazi watano wa Dar es Salaam walipopandishwa kizimbani katika Mahakama ya Hakimu Kisutu kwa kosa la kumdhalilisha Rais John Magufuli na Jeshi la Polisi kwa kutumia mitandao ya Facebook na Whatsapp, mkazi mwingine ameongezeka.

Jana, mfanyabiashara Christon Mbalamula (28), alifikishwa katika mahakama hiyo akikabiliwa na shtaka la kutumia mtandao wa Whatsapp kwa kulidhalilisha jeshi hilo.

Akisoma hati ya mashtaka mbele ya Hakimu Mkazi Mkuu, Dk Yohana Yongolo, Wakili wa Serikali Winifrida Sumawe alidai mshtakiwa huyo alitenda kosa hilo Agosti 26, 2016 eneo la Kigamboni.
Alidai siku ya tukio, mshtakiwa huyo alilidhalilisha Jeshi la Polisi baada ya kusambaza ujumbe uliosema,

 “Natangaza ndoa na askari yeyote atakayejipendekeza kwangu siku hiyo ataolewa bila mahari.” 

Baada ya kusomewa shtaka hilo alikana na upande wa mashtaka ulidai upelelezi wa kesi haujakamilika.

Hakimu alimtaka mshtakiwa kuwa na wadhamini wawili wanaoaminika na kila mmoja asaini bondi ya Sh1 milioni na kati ya wadhamini hao mmjoa awe na mali isiyohamishika.

#DakaHiiFasta: OMG !!! CHIDI BENZI HAWEZI KUZUIA MACHOZI HAYA

7:06:00 AM Add Comment

Na Baba Juti.
INAWEZEKANA kabisa kwamba asilimia kubwa ya Wadau mbali mbali wa Muziki wanazidi kumuelewa zaidi Rapper Chidi Benz na hata kufikia hatua ya kumfanya alie akiwa Jukwaani.

Awali kabisa , Chidi Benzi alikuwa Rapper ambaye alikuwa ni Gumzo katika Vinywa vya Wapenzi mbali mbali wa Muziki wa Kizazi kipya hasa kupitia Hit songs ambazo aliwahi kuachia kama Vile NGOMA ITAMBAE, MASHALLAH, na Nyinginezo kibao, hali ambayo ilimfanya kila msanii atamani kumpatia KOLABO, na ikawa Hivyo Kweli.

Lakini Tofauti na Hilo, CHIDI BENZ alikuwa Ni "Hatari-Danger" linapokuja suala zima la MITINDO HURU, wenyewe mnaitaga FREESTYLE
Lakini Baadaye hali ilikuwa Tofauti baada ya Chidi kuanza kujihusisha na Fujo mbali mbali, Mara Leo kapigana na Mtu Fulani, mara Katimuliwa Stejini na Kala Pina, Mara Kampiga Dada Fulani mpaka kapoteza fahamu, na Balaa zaidi ikawa ni MATUMIZI YA DAWA ZA KULEVYA

Lakini Hivi sasa, Chidi anarudi katika Utamu wake na Hii ikiwa Ni baada ya Kuachia Track aliyomshirikisha Ray Vanny - CHUMA
Kupitia account yake, Chidi alipost Picha Yake akiwa Jukwaani (Itizame hapo Juu) na kusema kuwa, hawezi kuzuia Machozi ya Furaha hasa anapoona bado anakubalika, na amepokelewa Poa

NUKUU

"Pale furaha inapopitiliza na kulia on stage..... "

#DakaHiiFasta : SAY WHAT?, HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA LIL KIM?

6:48:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
KUDADADEKI, Hii inaitwa Kupatwa Kwa Mkorogo Banange
Kwa Hivi sasa Kama Ukimtizama Rapper Lil Kim, Huwezi kumtambua baada ya kuweza kufanya maboresho zaidi katika Ngozi yake Nyeusi na sasa unaweza ukadhani ni Pure Mzungu kudadadeki
Kupitia icha ambazo alipiga kupitia tamasha la BAD BOY (Bad Boy Family Reunion Tour), Lil Kim alionekana akiwa amejichubua mpaka basi kiasi kwamba ukiangalia Vibaya unaweza ukahisi Sio Lil Kim ambaye tunamfahamu enzi zileee

Wengi walianza kujiuliza kuwa kwanini ameamua kuibadilisha Ngozi yake kiasi hicho lakini bado majibu hayajapatikana mpaka sasa hivvi.

Tofauti na hilo, Comments kibao bado zinaonekana kumshangaa sana Bibioe Huyu ambaye awali alikuwa Full Black na Ngozi yake ilikuwa Tamu balaa.



INAMAANA MARAFIKI WAMEMTENGA ..AU

6:04:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
KWANZA kabisa , Hongera kwa Afande Sele kwa Kumlea Mtoto Tunda to The Maxmum mpaka sasa hivi amefikia Umri ambao mafisi lazima mate yawatoke
Lakini kitu ambacho kinakuja kuzua utata, ni pamoja na Kauli ya Afande Sele ambayo kwa asilimia kubwa inaashiria kabisa kuwa, Wale Marafiki zake wa kipindi cha awali na hata waliokuwa wakimshobokea enzi zake kwa Timeline ya Muziki wake, basi wamempotezea
Tunda- Mtoto wa Afande Sele

Kupitia account yake ya Instagram, Afande Sele ambaye amekuwa na Post Tata sana kunako account zake za mitandao ya kijamii, aliandika kuwa, Rafiki wa Kweli ni yule mtu ambaye anajua kila kitu kutoka kwako.
NUKUU:
Rafiki @rhymesselassie ni yule mtu anaejua kila kitu kuhusu wewe lkn bado akaendelea kukupenda...'nukuu'...kama mnataka mali mtayapata shambani...kama mnataka maarifa mtayapata vitabuni!...


MNADA BANNER