REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

ROLLING STONE: ALBAM 20 BORA ZA HIP HOP 2013

5:57:00 AM Add Comment



Rolling Stone's “20 Best Hip Hop Albums Of 2013” is as follows:
1. Yeezus, Kanye West
2. Nothing Was The Same, Drake
3. Old, Danny Brown
4. The Marshall Mathers LP 2, Eminem
5. Acid Rap, Chance the Rapper
6. My Name Is My Name, Pusha T
7. Born Sinner, J. Cole
8. Doris, Earl Sweatshirt
9. Trap Lord, A$AP Ferg
10. Magna Carta Holy Grail, Jay Z
11. B.O.A.T.S. II: Me Time, 2 Chainz
12. Long.Live.A$AP, A$AP Rocky
13. The Luca Brasi Story, Kevin Gates
14. Run The Jewels, Run The Jewels
15. Wolf, Tyler, the Creator
16. I Am, Yo Gotti
17. The Night’s Gambit, Ka
18. Excuse My French, French Montana
19. Watching Movies With the Sound Off, Mac Miller
20. Self Made Vol. 3, Maybach Music Group

BEYONCE AMEFUNGA KAZI

5:45:00 AM Add Comment



Siku Kadhaa Zilizopita Tulikupa Mtonyo kuwa Mwanamama Beyonce Huenda akavunja Record kwa Kuuza Albam kuliko Wasanii wengine baada ya dalili Kuonekana mapema.

Kwa Mujibu wa takwimu Kutoka Kwao I TUNE, Finally Beyonce ameuza Jumla ya Copy ama nakala MILIONI Mojaya Albamu yake ya BEYONCE ndani ya Siku Sita na Kupewa Nafasi ya Juu katika mauzo hata kufikia PLATNUM.


Aidha Albam Hiyo ambayo ilitoka kama Surprise, na wala haikufanyiwa Promo Ya aina yoyote, Imefikia hatua Hiyo huku ikiwa bado haijaingizwa rasmi Sokoni kwa ajili ya mauzo rasmi ambayo inaaminika kuwa Beyonce atafanya makubwa.


ALBAMU Hiyo imeingia rasmi Sokoni Siku ya Leo, na Moja kati ya Nyimbo ambazo Zinaonekana Kuvuta watu zaidi Mpaka Hivi sasa, ni Pamoja na BLUE, na Kwaju ambalo kamshirikisha Mumewe Jay Z, DRUNK IN LOVE ambayo Tuko nayo kwa ajili yako.

KENYA TUTAWASIKIAGA TU…WAMEFANYA MAKUBWA TENA !!

5:31:00 AM Add Comment



Angalau tushukuru tu kwamba Kenya Ni Sehemu ya Nchi Mwanachama wa Afrika mashariki, Kiasi Kwamba hata wakifanya Vema lazima tutajivunia tu kwamba wametuwakilisha.

Mmoja kati ya waliofanya mazuri ni pamoja na Nonini ambaye kila atakapoingia Studio kwa ajili ya kurecord, basi huwa amevaa Headphones, na moja kwa moja kuanza Kutema Flows kwenye Mic, na hatua ya Mwisho, huwa anasali kwa hali na mali ili aweze kuhit na hiyo Track Mpya.

Lakini Mungu hamtupi Mja wake, Sala zakena juhudi zake, Zimeweza Kumfanya aungane na baadhi ya wakenya Wenzake Kuingia katika Kinyang’anyiro cha RADIO AFRO-AUSTRALIA AWARDS 2013, huku akichuana Vikali na wasanii wengineo wengi sana kutoka barani afrika.

Nonini atakuwa pamoja Camp Mulla na  Rap Damu, wakiwa katika Kipengere  WIMBO BORA WA KIAFRIKA KWA MWAKA 2013 (African Song Of The Year), huku Camp Mulla wakiingiza Track Mbili za PARTY DON’T STOP na ALL IN ambao wamemshirikisha MANIFEST.

Track ya KENYA ya Nonini Pia Imeweza Kuingia katika Kipengere Hicho bila Kusahau Track ya HEY MAMA ya Rap Damu, ambayo pia, Ipo katika Kivumbi Hicho

Tukiachana na Mbwembwe Hizo, huku wabongo Tukikosa japo hata nafasi Moja, Wakenya hawa wanaenda kukutana na Mtiti Mzito kutoka kwao P,SQUARE,BEBE COOL, D’BANJ,FALLY IPUPA,ICE PRINCE, DAVIDO,MAFIKI ZOLO,WIZ KID na BURNA BOY,ambao Pia Wamo Katika Kipengere Hicho

MNADA BANNER