REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

LEO NIKO POSTA< KUKAMILISHA VIDEO YANGU MPYA- SALVY MANYIKA

9:52:00 AM Add Comment



Salvy Manyika Yuko katika Harakati zake za Mwisho katika kukamilisha Video yake Mpya ya "WANANUNAJE"...

Jioni ya Leo, Salvyi alikuwa katika Mitaa ya Posta katika Kupiga Picha zake za Mwisho ili kukamilisha zoezi hilo.

Kaaeni Mkao wa Kula!!

MNADA BANNER