REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SMART: KUTANA NA DEREVA MATATU (DALA DALA ZA KENYA) AMBAYE NI SMART BALAA !!!!

1:37:00 AM Add Comment

Na Owuno-Kenya  
Kutana na JAMES MAINA, moja kati ya Wakongwe wa Kuendesha Matatu (Dala Dala za Kenya) ambaye amejichukulia Umaarufu kwa Kuvaa vizuri kupita Maelezo na hata Kumatch nguo zake na kila kitu, yaani Simu, Miwani, na mengineyo

Maina anadai kuwa, Kipindi cha Nyuma alikuwa ana shati moja tu, na alipokuwa aklimaliza kazi, basi alikuwa analifua na hakuna ambaye angegundua kuwa amevbaa kauka nikuvae, sababu alikuwa Mtyu msafi sana

Pia anaongeza kuwa, Zamani alikuwa akionda kuazima nguo kwa Rafiki yake halafu akanyimwa, basi alikuwa anajiskia Vibaya sana, kiasi kwamba alikuwa akimuomba Mungu amnyooshee njia Siku moja

NICK CANNON: MASE SIO MCHUNGAJI SAHIHI, ANAPOTOSHA WAUMINI WAKE

1:30:00 AM Add Comment
NICK CANNON : MASE sio Mchungaji Sahihi, anapotosha Watu

Na Rich Sam   
Imekuwa ni jambo zuri sana pale ambapo uansikia mtu fulani anaahidi kuokoka na kuachana na masuala mengine ambayo amekuwa akiyafanya kipindi cha Nyuma

Muendelezo huu umekuwa ukifanywa na watu wa kawaida,. lakini safarei hii tumeshuhudia hata Wasanii mbali mbali wa muziki wa kiazazi kipya na wenyewe wakifanya hivyo, na hata kufikia hatua ya kuaznisha Makanisa yao, kitu ambacho kimekuwa nikama story kubwa sana

NICK CANNON Ex wa Mariah carey ambaye pia ni mzazi mwenzake, ameamua kuweka wazi kuhusu namna ambavyo anamchukulia Rapper MASE , Ex memnber wa Bad Boys, ambaye kwa hivi sasa ni Mchungaji na anamiliki kanisa lake huko Nchini Marekani

MASE: Licha ya Kuwa Mchungaji na kumiliki kanisa lake, Mase amekuwa ni Mtu wa Ma-bifu ya hapa na pale, na Hivi karibuni, Mchungaji huyu aliachia Track inayomdiss Rapper mwenzake CAMRON
Cannon ambaye anasema kuwa ameshawahi kuhudhuria ibaada katika kanisa la Mase, amebaini na anaamini kabisa kuwa Mchungaji Mase anawapotosha watu hasa waumini wake kutokana na kileambacho anakifanya na katika maisha yake ya kawaida

Nick Cannon ambaye pia ni Muigizaji wa Filamu kadha wa kadha na Mchekeshaji pia, anasema kuwa alipohudhuria ibaada ya Mase, kuna vitu vingi aliviona ikiwemo kumshuhudia Mase ambaye kipindi cha nyuma alikuwa ni Mtu tofauti kabisa, akihubiri, lakini undani wake ni kwamba , siyo mchungaji sahihi, maana bado udunia ni Mwingi sana

HAKIMU: DMX RUKSA KUSAFIRI

12:42:00 AM Add Comment
    DMX     

Na Baba Juti
LICHA ya kukabiliwa na Mashtaka kadha wa kadha ya kiuhalifu na hata kupandishwa kizimbani mara kwa mara, hatimaye Hakimu amemruhusu Rapper DMX kusafiri na kufanya shughuli yake ya msingi

DMX ambaye hivi sasa ana Umri wa Miaka 47, anakabiliwa na Mashtaka ya kukwepa Kulipa Kodi huku Deni likiwa ni kubwa kiasi kwamba huenda ikamlazimu aishie Jela kutumikia Kifungo cha zaidi ya Miaka 6
DMX amekuwa akiandamwa na matukio mbali mbali ambayo inasadikika kuwa yameanza kumfanya asiwe sawa kisaikolojia

Awali iliripotiwa kuwa, DM haturuhusiwa kutoka Nje ya Jiji la New York kutokana na Makosa ambayo yanamkabili, lakini hivi majuzi, hakimu ambaye anaendesha Kesi yake, amemruhusu Rapper Huyo Mkongwe kutoka New York na kwenda Hawaii kwa ajili ya Perfomance ya Show yake iliyoandaliwa huko

Ukiachilia mbali Perfomance hiyo ya Hawaii, DMX pia ameruhusiwa kuisafiri kwenda St Louis hapo Baadae mwezi huu, kwa ajili ya Perfomance yake pia, lakini kwa kuwa yuko chini ya Uangalizi, basi ataambata na Mshauri wake katika Gari lake kwa ajili ya uangalizi zaidi

PARIS JACKSON: MTOTO WA MAREHEMU MICHAEL JACKSON AIBIWA NA WATU ALIOWAPATIA LIFT KATIKA GARI LAKE

12:27:00 AM Add Comment

Na Rich Sam   
#WatuWaMungu Kama wewe una gari lako binafsi na una roho ya huruma kwa binadamu wenzio ambao wanaishi katikamazingira tofauti na hali tofauti, basi inabidi usikilize hii kwa umakini , pengine labda unaweza ukajifunza jambo fulani

Mtoto wa Kike wa Marehemu MICHAEL JACKSON, anayefahamika kwa jina la PARIS JACKSON, alijikuta katika wakati mugumu ikiwemo kuibiwa Kitu chake cha Msingi na kundi la watu ambao aliwapatia Msaada wa Lift katika Gari lake huko LOS ANGELS
Hitchhickers hutumia Mbinu hii kuibia watu hasa kwa kuomba Lift

Kupitia Instagram account yake, Binti huyo mwenye miaka 19 kwa hivi sasa, alilalamika juu ya jambo hilo na kusema kuwa usamalia wema wake umemmponza na anajuta kuwapatia Lifti watu hao ambao hufahamika kwa jina la HITCHHICKERS

Katika vitu alivyoibiwa, ni pamoja na Credit Card yake ambayo huitumia katika Matumizi yake muhimu ya kifedha na mengineyo. Tunamnukuu

"Sasa, Usiku wa Jana, niliwapatia Lift Hitchhikers na binti mmoja mrembo hakuwa sawa, yaani alikuwa na matatizo. Nakumbuka nilichukua Pea za socks zangu na kumvalisha kisha tukasimama katika Sehemu ya kuuza vyakula na nikawanunulia chakula cha jioni. Kahaba huyo aliiba kadi yangu ya Benki. Sasa niliwasaidia usafiri kufika LOS ANGELS na nikajitahidi kuwa Muendesha gari kama uber hata kama mimi sio Dreva wa Uber, lakini bado mnaniibia aisee?, Mambo gani haya?"

14TH JANUARY: TODAY IS INTERNATIONAL KITE DAY

12:03:00 AM Add Comment


DAYS OF THE YEAR 
They’re pretty, they’re colorful, and they flutter and float in the air….what could they be? Kites, of course! Who could imagine a better way to spend time than with flocks of other people, every person with his or her own beautifully decorated kite? If you’re a fan of such happy, vibrant holidays, International Kite Day is not a holiday you’d like to miss.


  • The History of International Kite Day
International Kite Day originated in India, in the state of Gujarat, which is famous for the amount of festivals taking place there every year. The inhabitants of Gujarat begin manufacturing the kites months in advance so they can be sure to have enough, as millions of people visit Gujarat during it. The kite festival, called Uttarayan in Hindi, celebrates the day that winter ends and summer begins, as well as the upcoming harvest season, and the kites symbolize the spirits of the gods that are awaking from their deep winter sleep. Originally, kite-flying was a sport practiced by royalty and the very wealthy, but in the recent years it has become a festival for all that people come from all over the country and even the world to take part in, especially people from Japan, Italy, the UK, Canada, Brazil, Indonesia, Australia, the USA, Malaysia, Singapore, France, and China.


  • How to Celebrate International Kite Day
If you are a person who enjoys travelling and has the opportunity to be in Gujarat for the actual festival on January 14th, actually participating in would be the best way to celebrate International Kite Day. It is guaranteed to be an absolutely incredible experience you will remember for the rest of your life, what with the thousands, or even millions of colorful kites that will be floating above the area, the enormous amounts of delicious, traditional Indian dishes available at all hours of the day and night, and the amount of new people you could meet and friends you could make. Aside from the numerous food stalls and of course the kites, there are also many performers putting on acrobatic shows, so not a moment goes by that something exciting doesn’t happen. The celebration starts at 5 a.m. and goes on all day and all evening, until late at night, when illuminated kites filled with lights and candles known as tukkals are launched, creating an unforgettable spectacle in the dark sky.
If you aren’t able to be in Gujarat for International Kite Day, however, that does not mean you cannot enjoy it in your own way. A great way to do this would be to simply purchase a kite and take it to a nearby park to fly it. There is something about a breezy day spent with a kite in hand that is incredibly relaxing, so you will be able to enjoy your day anyway. In fact, if you have a child/children, perhaps this would be a great day to spend some quality time together? All too often these days parents and children rarely even speak to each other anymore, so preoccupied are both sides with their technological gadgets. A small picnic and an afternoon spent outdoors may well be just what you and you son or daughter need to have a talk and laugh together and feel close to each other.

MNADA BANNER