REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

FLAVIANA MATATA KUONEKANA KWENYE VIDEO YA LADY GAGA

9:11:00 AM Add Comment






Mwamitindo wa Tanzania ambaye hivi sasa anavuma kimataifa na Miss Universe Flaviana Matata jana katupia picha akiwa na Mkali wa Pop na Chizi waKuheshimika kule U.S of A,Lady Gaga ambaye hata hivyo sura yake haionekani vizuri kwakuwa anaonekana usoni akiwa amevaa maua yaliyozungushwa kwenye duara.

Kali zaidi ni kwamba, Miongoni mwa picha hiyo, kuna picha ambayo anaonekana msanii huyo wa ‘Alejandro’ akimbusu Flaviana Matata.

Katika picha hiyo Flaviana ameandika maneno ambayo alimnukuu Lady Gaga akimtell “thank you for doing my video gal,u killed it”.

Kwa maelezo hayo inaashiria kuwa Flaviana ataonekana kwenye video ya msanii huyo mwenye vituko kibao.

Right now Flaviana Matata yupo mjini London, Uingereza kwenye tamasha la London fashion week,huku chizi Gaga naye yupo London kwaajili ya uzinduzi wa perfume yake, FAME ambapo imedaiwa ametumia paundi milioni 1 kwenye uzinduzi huo.
MIKWAJU YA LADY GAGA :
1.   TELEPHONE-Ft. Beyonce.
2.   ALEJANDRO

ODAMA KUPATA SHAVU NIGERIA NA MALAYSIA

8:57:00 AM Add Comment



Staa wa tasnia ya filamu za Kibongo, Jennifer Kyaka ‘Odama’ amekula shavu la kufanya ziara ya kikazi nchini Malaysia na Uingereza.

Kwa Mujibu wa MPEKUZI,staa huyo aliondoka nchini hivi karibuni baada ya kupata shavu kutoka kwa maprodyuza wa  Nigeria ambapo atafanya nao ziara ya kikazi katika nchi hizo mbili kisha atarejea Bongo kuleta maujuzi ya kuendeleza tasnia hiyo.

MOVIE ALIZOWAHIKUCHEZA ODAMA.
1. ODAMA
2. YATIMA.
3. CHOCOLATE (Mpya)



MNADA BANNER