REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SIDE 2: UNAWEZA KUTAMANI KUKAMATWA NA POLISI HUYU....

9:37:00 PM Add Comment
HATA Kama Utakataa, Kazi ya U-Polisi Imekuwa ni kazi isiyo na Mvuto wala maslahi kwa baadhi ya watu Hasa Vijana. Tumekuwa Tukishuhudia Wengi  wakiamua Kuingia katika Kazi hiyo baada ya Kushindwa kufanikisha Ndoto zao.

Lakini Nchini Kenya, Kazi hii inamvuto hasa Kwa mabinti warembo. Hebi Tizama mabinti hawa Warembo wakijivunia Kazi ya, huku wakiwa na tabasamu Zuri Lenye Kuhamasisha Kupendwa.

Hakika hata kama ningekuwa Mie, ningetamani Nikamatwe na Mmoja kati ya Hawa...






WIRE MKALI: TASH ALIPATA WAKATI MGUMU HAPA, WAKATI AKIFANYA SESSION YA AUDIO YA B-YE B-YE

7:02:00 AM Add Comment



Katika Moja ya Kitu ambacho Kilimpa tabu yeye na Producer wake MENSEN SELEKTA wa DE FATALITY, Tash anasema ni ile Sehemu ya Kurap kwa Kutumia Lafudhi ya Kimasai.

Tumepata Nafasi ya Kuongea na tash Pia Kupitia WIRE MKALI ya JAM SESSION, kuhusu video yake Mpya ya B-YE B-YE alomshirikisha P BLING.

Pata nafasi ya Kutizama Video Hiyo...Kisha Sikiliza Kile alichokisema


SAKATA LA KUFUMANIWA: "NI KWELI TULIKUWA TUNASHOOT MOVIE..LAKINI IMELETEA MATATIZO. NIMESHINDWA HATA....

6:44:00 AM Add Comment
Juma lililopita, Zilienea habari Mbali Mbali kuwa Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya Nchini Tanzania (BONGO FLAVA), Spince Sseme (Pichani), alifumaniwa makaburini akiwa na Mchumba wa rafiki yake.


Baada ya kuliona hilo, kwa Upande wetu tukaamua kumtafuta Mkali huyo wa AYAYA, ili atuambie ukweli halisi kuhusu hilo, na hiki ndicho alichokisema kupitia Kipindi cha JAM SESSION cha METRO FM 99.4 MHz

MISHE ZA MPITA NJIA: Huyu Anafahamika Kama Mikanda Sita.Msikilize...

6:32:00 AM Add Comment

Katika Wabunifu ambao Pengine Hutumia japo hata Muda Kadhaa Kubuni namna ya Kuwa Tofauti na Wenzao, Huyu Jamaa angu Nahisi Yumo Pia. Hebu Msikilize akibonga nami...

JUSTIN BIEBER- The Majanga Boy, SASA YAMEMKUTA

6:19:00 AM Add Comment




Eti aliwekewa Sumu Kwenye Msosi kabla Hajapanda Kwa Stage
Kama Kuna mtu ni fan na Role Modal  wa Justin Bieber, basi tambua kuwa kadri Siku zinavyokwenda Utaingia Choocha Jeshi, na hata kupotea Endapo hutomtema

Sasa Iko hivi Wajameni.

Katika Uwanja BUENOS AIRES RIVER PLATE, Justin Biebr The Majanga Boy aliweza Kuambulia Ma-Booooooooooo ya Kutosha Toka Kwa mashabiki wake waliolipia Dolari za Kimarekani 325, sawa na takribani Shilingi 480,000 za Kitanzania, kuja kucheki performance ya Bwana mdogo huyo.

Tukio ambalo lilisababisha Maboo ya kutosha, ni Baada ya Majanga Boy huyo kukatisha Perfomance yake akiwa On Stage hiyo ya America ya kusini kwa Kudai Kuwa Hajisikii Vizuri, maana anahisi Nguvu zimemuishia, hivyo anaomba radhi kwa kukatisha Perofamce yake, na Kutoa Kiss kwa Wote, lakini bado wana hawakumuelewa na kurusha Maboooooooo ya kuchota kwake

Aidha baada ya Tukio hilo, Meneja wa Justini Bieber, SCOOTER BRAUN alimtetea Bwana Mdogo huyo na kusema kuwa, kabla ya Perfomance Justin Bieber alilishwa chakula ambacho inasadikika kilikuwa na Sumu, na kuifanya hata Weekend yake kupata dosari na kyuwa mbaya zaidi, mpaka Kutundikiwa Drip

Pia Meneja Braun aliongeza Kuwa, baada ya Bieber kubainika amekula chakula hicho chenye sumu, alipewa huduma ya Kuokoa maisha yake, ikiwemo kutumia Masaa 8 akiwa amelala na kupewa Drip
Tamasha hilo lilianza majira ya saa 10:30 Alasiri ambapo zilianza Show za kawaida wakati Bwana Bieber akipewa huduma za awali ili apande kwa Stage, na hatimaye kufanya Hivyo ilipofika saa 10:00 Usiku, lakini baada ya muda wa karibu saa moja Bieber alikatisha Show yake na kuongea maneno hayo.

Tofauti na hilo, Kiukweli tour ya bieber imekumbana na majanga haswa, ikiwemo kukatisha Show Tena Nchini Brazil baada ya Kupondwa na Chupa, huku akisakwa na polisi baada ya kuingia mkenge wa kuchoraGraffiti kwenye Ukuta, jambo ambalo lilikuwa Kinyume na Sheria
*****************************

LADY GAGA ASHANGAZA DUNIA….ETI YEYE HAYUKO HIVYO…

6:01:00 AM Add Comment




Dunia ina maajabu ya kutosha haki ya nani Jamani. Inakuwaga Mbaya sana pale madot com wa Siku hizi kupigwa Picha kwa ajili ya Kuuza Nyago, afu wasifanyiwe Usafi wa Uso wao ili waonekane so soft, Lakini kwa Crazy busting Hot Chick Lady Gaga.

Gagalicious amezua Mshangao baada ya Kuikosoa Picha yake iliyowekwa katika ukurasa wa Mbele wa jarida la GLAMOUR.
Kwa Mujibu wa maelezo yake Baada ya Kupanda kunako Stage ya NEW YORK CITY’S CARNEGIE HALL, Lady Gaga alidai kuwa amefurahi sana baada ya kuwekwa katika Ukurasa wa Mbele katika Jarida Hilo. 

Pia Gaga aliongeza kuwa, Baada ya kuiona Picha yake hiyo, alihisi amekuwa Mrembo kupitiliza, Maana inaonekana Ngozi yake ikiwa safi sana haina hata Kijichunusi, Nywele zake zilionekana zikiwa Nyororo na laini sana, pamoja na vazi Zuri safi alilovaa.

Licha ya kuongea hayo, Mkali huyo wa ALEJANDROalisema kuwa, yeye kamwe huwa havai hivyo kama picha inavyomuonesha, na kamwe sio Mrembo Kiasi Hicho,na kubwa ya yote, yeye hana 
Muonekano Mzuri Kiasi hicho.

Ili kutilia mkazo Suala hilo, Gaga alisema kuwa, Dhamira yake ni kuwafanya Vijana wadogo mbali mbali kupingana na Uwongo na hata Maisha ya Kujilazimisha kuwa Mtu Fulani wakati Siyo Kweli. Tofauti na Hilo, Pia gaga aliwasihi wahusika wa Jarida Hilo kufanya mabadiliko katika Picha yake, kwani hata akiamka Asubuhi, huwa hafanani hivyo. 
Na Endapo Jarida hilo litafanya Mabadiliko katika Picha hiyo, basi Jamii Nzima Itabadilika na Kuwa wakweli na hata Kujikubali
*********************

MNADA BANNER