REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KENYA BADO HAPAKALIKI...11 WAUAWA TENA

5:04:00 AM Add Comment

Watu kumi na mmoja wameuawa katika mapigano zaidi katika eneo la Tana River Kusini Mashariki mwa Kenya, Ripoti zinasema miongoni mwa waliouawa katika shambulio hilo lililotokea alfajiri ya siku ya Alhamisi ni watoto watano.
Watu wengine tisa waliuawa siku ya Jumatano pale wapiganaji wa Pokomo walipoishambulia kijiji kimoja cha watu wa Orma na kutetekeza nyumba na kuiba mifugo.
Uchunguzi wa awali umebainisha kuwa shambulio hilo ni la kulipisa kisasi mauaji yaliyotokea katika eneo hilo usiku wa kuamkoa siku ya Jumatano dhidi ya watu wa jamii wa Orma.
Shirika la Msalaba Mwekundu limesema kuwa watu waliokuwa wamejihami kwa silaha walivamia kijiji cha watu wa Orma na kuwaua watu sita.


SPOPRT FLASH- UNAZIONA HIZI?, KIBONGO BONGO NANI MKALI?

4:49:00 AM Add Comment
 Jason Lee

 Jamie Lawrence

 Neymar

 Romania Team

 Backary Sagna

 Ronaldo De Lima

 Calros Vardellama

 Chris Waddle

 Taribo West

Abel Xaviel

ALIKUWA BONGE HUYU...muone alivyo baada ya mazoezi

4:36:00 AM Add Comment
 Anaitwa Lola Adeoye, 43, kutoka Marekani...hivi sasa ameamua kupunguza Ubonge Nyanya alio kuwa nao




MNADA BANNER