REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Swagg Touchez

8:02:00 AM Add Comment
Noorja Ibrahim, among of ma Best friends from RCT, enzi hizo tukiishi Hostel moja na Kusoma Chuo kimoja. I miss those Days.
Lilian Lucian Kikoti. Huwa namkumbuka sana coz she is My best Friend from O Level at St. Anne marie Academy.
Now anakomaa na Life lake kama kawa coz anapenda kuwa Hard working, na aliwahi kunitabilia Makubwa sana in my talents
Thanx alot Lizzle, May Lord bless You
My College Fanz ambao ni moja kati ya Watu ambao huwa nawakubali saaaana wakikaa nyuma ya Mashine...yani Mixer na Mic na Vitu Kibaaaaaaaaao
Kulia ni Cloudian Mchunguzi na Patrick Mengo
Mic u Hommies


My Brother, Awadh Mnyika. He is the Role Modal to me coz of his kindness, charming, Understanding, and Mostly caring.
Amenisaidia Mambo Mengi sana..na ndo most supporter katika Suala zima la Internet na kubuild this Blog kila siku.
Our Good times ni pale wakati tunapiga Msosi huku tunacheki Muvi...weeeeeh, noumar



Joshua Kibona, From Neema Hostel
Jembe langu la Uhakika....Addicted to movie
Much respect Bro!!
Kuanzia Kulia ni Jombaa Peter Mpaki, Hubert Kiwale, na Patrick Mengo
Mic u Hommies




35 Wafariki kwa Mafuriko Nigeria

1:07:00 AM Add Comment

Mafuriko makubwa yamelikumba eneo la katikati ya Nigeria na kuuwa watu 35. Mvua kubwa ilinyesha kwenye jimbo la Plateau usiku mzima wa jana na kuharibu nyumba 200.

Rais wa Nigeria, Goodluck Jonathan


Shirika la msalaba mwekundu kwenye eneo hilo linaripoti kuwa miili hiyo imeshapatikana akiwemo mzee wa miaka 90 pamoja na mtoto wa miezi mitatu. Mkuu wa shirika hilo Manasie Phampe amesema kuwa huenda idadi hiyo ikaongezeka. Mafuriko yaliyotokana na mvua kubwa pamoja na maji kutoka kwenye bwawa lililofurika yalivisomba vijiji kadhaa kwenye eneo la Jos ambalo ni makao makuu ya jimbo la Plateau. Miili mengine 25 bado inatafutwa huku mingi kati ya hiyo ikiwa ni ya watoto wenye umri wa miezi mitatu hadi miaka 13 ambao walisombwa wakiwa usingizini.

Nigeria kwa sasa iko kwenye msimu wa mvua za mwaka ambazo zimekuwa zikija na madhoruba yanayotoa changamoto kwa maisha ya watu na miundombinu. 

Mmoja wa Waathirika wa Mafuriko katika Nchi ya Nigeria




















Wiki iliyopita watu watatu walikufa kutokana na mafuriko kaskazini mwa Lagos kwenye eneo la Ibadan. Mwaka jana pia watu 120 walikufa kwa mafuriko kwenye eneo hilo.

SYRIA- Ni kweli Tuna Siraha za Kemikali

12:55:00 AM Add Comment






Syria imekiri kwa mara ya kwanza kuwa inamiliki silaha za kemikali na kibaolojia ambazo ingezitumia kama mataifa ya nje yangeivamia kijeshi.

 Msemaji wa Wizara ya Mambo ya Kigeni ya nchi hiyo Jihaddi al-Makdissi amewaambia waandishi wa habari kwenye mkutano kuwa kamwe silaha hizo haziwezi kutumika dhidi ya waasi lakini zinaweza kuzitumiwa kujibu mashambulizi kutoka nje.

Bashar Al Asad, Rais Wa Syria

 Waziri wa Mambo ya Nje wa Ujerumani Guido Westerwelle amesema kuwa kitendo hicho cha kutishia kutumia silaha kama hizo ni cha kushitua. Naye Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Ban Ki Moon amesema kuwa ana wasiwasi mkubwa kuwa huenda Syria ikashawishika kuzitumia silaha hizo. 

Nchi hiyo haijasaini mkataba wa kimataifa wa mwaka 1992 unaokataza kutengeneza, kutumia au kuwa na shehena ya silaha za kemikali. 

Hapo siku za nyuma, maafisa wa nchi hiyo walikana kuwa na silaha za aina hiyo.  

50 Cents Ageukia Upromota Wa Bondia

12:23:00 AM Add Comment











Mnamo Mwezi April Mwaka Huu, Bondia Maarufu sana Nchini Marekani, Floyd Maywether alichonga na Jarida la XXL la nchini Marekani kuwa Mkali wa Hip Hop na Big Bous Wa G- UNIT, Jackson Cartis goes by tha a.k.a ya 50 Cents, anajaribu kuchumpa kwenye suala zima La Masumbwi maaruf kama Boxing katika Lugha ya Wenzetu
"Katika upande wa Boxing, nahisi Mshikaji utakuwa katika upande wa Upromota"..alinena Maywether
 Sasa Basi....Taarifa zinabainisha kuwa, Mkali huyo wa 'Get Up', ameingiza jina lake katika usajili wa Mapromota
50 Cents akiwa na Maywether


Vyombo mbali mbali vinalipoti kwamba 50 ameanzisha  "TMT Promotions"—kifupisho cha "The Money Team" ambayo tayari ishapata Leseni Jijini New York na yuko kwenye process a kuomba leseni pia katika Jiji la Nevada.

MNADA BANNER