REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MKWAJU: WALA USIPITWE..MSIKILIZE MREMBO HUYU

10:51:00 AM Add Comment
Off Course She is One Of My Best Vocalist Girl Kwa hapa Tanzania. I Do believe katika Ubunifu wake and the way she know how to Use her Voice

SUZAN "Suzy Mutesy The Matron"  Kwa hivi sasa amaeamua kuja kwa style ambayo sikuwahi dhani akama atafikiria hata kuifanya. She is has done rap tingz in this Hot track ambayo Kwa mara ya kwanza naishusha Kwenu kupitia BLACK TOUCHEZ.

Track inafahamika kwa jina la I SAW YOU, na Producer aliyehusika ni DAY DREAMER kutoka jijin Dar Es Salaam

Apart From music, Suzzy hivi sasa nagonga Stashahada ya uandish wa habari na utangazaji katika Chuo cha Uandishi wa habari na Utangazaji Cha Royal (ROYAL COLLEGE OF TANZANIA-RCT), kilichopo jijini DSM pia.

Hebu pata nafasi ya kusikiliza hapa, naikibidi ondoka nayo kabisa (Download for Free) kwa burudani zaidi. Lets Go

UKIMYA WANGU: NIKO POTE POTE..

9:58:00 AM Add Comment






Kuna Muda nakuwa Kimya hapa maskani Kwangu. lakini Ni kwa sababu nina Majukumu haya ambayo ni sehemu ya kutoa info na burudani kwa wasikilizaji wangu wa 99.4 Mhz Metro Fm -Mwanza Tanzania... 

Na Mara Nyingi hata Staff wangu wananihitaji hasa Kushare na Mimi Furaha zao, na hata Masihala pale tunapokuwa katika Uwaibikaji, ili Kuisukuma Siku

 MWAAAA: With My Sister Happy, In The Office Chilling and having Fun after Kazi ndefu mazee

 TEAM METRO: Kutoka kushoto Ni Julieth, Dullah "Bigg daddy Oxs", Happy, na mie. Poz Moja hilo
 TUNAJIPANGA: Team Metro tukiwa Tunasikiliza kupigwa Mnato
 TUKO SAWA: Moja.....Mbili...Tatu..Lets Go....

 USHALALALALAAA!: Kucheka ni sehemu ya Maisha Yetu coz tunapendana jaman

 YA MWISHO: Tukiwa tunachukua Pic ya Mwisho

 POWER OXS: Mi nilikuwa Siamini kama kibonge Huyu "Big dady Oxs " anaweza kuninyanyua Kwa Mkono Mmoja.
 HAPPY DADAZ; Kutoka kushoto, Happy, Edna "Natty E" & Juliet
 MZUKA: Happy dadaz wakiwa wamepoz again

 TEAM ANACONDA:  Sio jide Tu, hata 99.4 Metro Fm kuna akina Anaconda. Just See Them

TEAM ANACONDA: Big daddy Oxs na Mie. nani Best Team Anaconda?

MNADA BANNER