REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BSS 2015 KUWA ORIGINAL: MWANZA NDIO TUMEFUNGULIA

8:25:00 AM Add Comment

DHAMIRA Ikiwa Ni Moja Tu, Kuibua na Kufikisha Mbali Vipaji ambavyo Vimejificha Nchini tanzania, Tayari jiji la Mwanza Limedhihirisha Kuwa kuna Vipaji vya kutosha (Vilivyo Bora, Vinavyochechemea na Vinavyozingua) Kutokana na "Nyomi" ambalo Liliweza kujitokeza Pale LA KAIRO HOTEL katika Siku za Usaili.

Majaji ambao walionekana kuwepo na kutoa Support katika Mchakato huo, Ni pamoja na RITHA PAULSEN (Madam Ritha), SALAMA JABIR na MASTER JAY. Tunaamini mikoa Mingine itafanya Vizuri Pia katika Mchakato Huu wa kumpata Mshindi Husika.













































NITAMUONA SIWEMA NI MNAFIKI AKIJA KUMTEMBELEA MWANAGU HAPO BAADAYE- NEY WA MITEGO.

6:59:00 AM Add Comment
Na BLACK TOUCHEZ
Ney Wa Mitego atamuona Siwema “Mnafiki” pindi atakapokuja Kumtembelea na kumuona Mtoto huyo baadaye akishakuwa Mkubwa


Ney amesema, licha ya mama wa mtoto huyo kuwa na mawasiliano na ndugu zake wengine kutoka familia yake, kama mama anayetakiwa kumjali mtoto wake mdogo, hajawahi kusikia hata jitihada ya aina yoyote ya Siwema kujaribu kumuona mtoto, kitu ambacho akikifanya hapo baadaye, binafsi atamuona kuwa ni mnafiki.

Bofya Hapa Kuingia kwenye Website Yet ya BLACK TOUCHEZ
www.blacktouchez.com

“UPEPO MZURI UKIPITA, MARASHI YAKASIKIA, MAMBO YATAKUWA KAMA ZAMANI”- KAULI YA OMMY DIMPOZ JUU YA DIAMOND

6:18:00 AM Add Comment



Na BLACK TOUCHEZ.
SIKU ya Ijumaa Usiku kupitia kipindi cha FNL Cha EATV, wafukuza mapepo tulifuatilia kwa Ukaribu sana interview ya Ommy Dimpoz ambaye kila mtu anafahamu vzuri kuwa ni Msanii wa Muziki wa Kizazi Kipya hapa 255-Bongo Flava.

Licha ya maswali Mengine Yote, Ommy aliweza kuzungumzia Mahusiano yake baina yake na Swahiba wake wa Kitambo, Diamond Platnumz, na kudai kuwa, hakukuwa na tatzio lolote baina ya wawili hao.

Lakini Baadaye Mtangazaji SAM MISAGO aliweza kumbana kuwa, wakati Ali Kiba anaachia Video ya Chekecha Cheketua, Ommy alipost Instagram kwa ajili ya Promo, ila Kuhusu Ishu ya Diamond Kuomba Kura kwa ajili ya Tuzo za MTV AFRICA MUSIC AWARDS- MAMA 2015, Ommy hakupost Chochote hata promo za Baadhi ya harakati zake

Kauli ambayo Ommy Dimpoz aliitoa, ni kwamba Upepo Mzuri ukipita, marashi Mazuri yakasikika, Kila Kitu Kitakuwa kama zamani, akimaanisha Baina yake na Diamond.


Unadhani Hii kauli inamaanisha Nini?    

MNADA BANNER