REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

AUDIO: SIKILZA INTERVIEW AMBAYO ADEBAYO ALISEMA KUWA MAMA YAKE AACHE KUMLOGA

12:41:00 PM Add Comment

MKALI WA “KABUMBUMBU” kunako klabu ya Totenham nchini Uingereza Emmanuel Adebayor amekosana na mamaake kwa madai kwamba anatumia uchawi kumharibia kazi yake.

Lakini mchezaji huyo wa zamani wa kilabu ya Arsenal anadai kwamba mamaake aliondoka mwenyewe na kwamba hawana mawasiliano yoyote kati yao kwa kuwa amekuwa akitumia uchawi kutaka kumuharibia kazi yake.

'' Ninawezaje kuzungumza na mama ambaye yeye na dadaangu wamekuwa wakijaribu kuniroga''


Mchezo wa Adebayor katika kilabu ya Tottenham umeathirika katika kipindi cha miezi kadhaa iliopita huku Tottenham ikidaiwa kujaribu kumuuza kwa mkopo mchezaji huyo katika dirisha la uhamisho mnamo mwezi January kufuatia kushuka kwa mchezo wake.

(AUDIO) DARK MASTER: NIMEBAKI MWENYEWE..NYOTA TATU KATIKA MAJINA YA NGWEAR NA GEEZ MABOV KATIKA MWILI WANGU YANAAMNISHA ZINAMAANISHA HIVI

7:15:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/HQ
KAMA Hujapata Taarifa, ni Kwamba, Mwanachemba aliyebakia Lonely, DARK MASTER, amechora Tatoo zenye Majina Mawili ambayo ni ya rafiki zake GEEZ MABOVU pamoja na ALBERT MANGWEA, Katika Kifua Chake

Katika Kufafanua, Dark Master amedai kuwa, Kiujumla Hivi sasa, anajiona kama amebaki  peke yake katika familia ya washkaji zake wa karibu, na ndio maana ameamu kuweka majina yao katika Mwili, ili kuonesha kuwa alikuwa nao Kimwili, lakini siku zote bado atazidi kuwa nao katika Mwili wake na Kiroho Pia.


Tofauti na Hilo, dark maesema kuwa, hivi sasa kuna kitu kizuri kinachokuja kwa ajili yao, na hata kwa Manufaa Mazuri ya familya Nzima Kiujumla.

Msikilize alichokisema wakati akipiga Story na TTM

NYOTA DOGO NA MAPROMOTA WANAFIKI..IKO HIVI

7:00:00 AM Add Comment

BLACK TOUCHEZ HQ/KENYA
NYOTA NDOGO amekuwa Kimya sana huku akionekana kustruggle sana kurudi katika Game ama Music Industry

Lakini kupitia account yake Twitter, Nyota ndogo ambaye alihit na Vibao kadha wa kadha ikiwemo WATU NA VIATU, ameonekana kukerwa sana na Promoters Feki pamoja na watu Wengine, wanaopenda kumtumia Bure hasa katika Kipindi hiki ambacho hana Mkwanja (Inavyoonekana)


Katika Tweet Hiyo, Nyota Ndogo ambaye hivi sasa ameonekana kushiriki katika Baadhi ya harakati hasa zinazowahusu akina mama Nchini Kenya, amedhihirisha kabisa kuwa hiyo imekuwa ni tabia ya watu wa aina hiyo ambao hupenda kukutumia pindi tu unapokuwa hauna Mkwanja, ili wao waingize Mkwanja, lakini kipindi ukiwa na Mpunga Hawafanyi Hivyo.



LADIES AND GENTLEMENT.....GUESS WHAAAT...COLLO IS BAAAAAAAAAAAAAAAAACK

6:26:00 AM Add Comment
COLLO-KING WA RAP

BLACK TOUCHEZ HQ
KENYA is totally being hot na itakuwa hivyo siku zote hasa ukizingatia Kitu rap na Ufalme wa rap umekuwa ukipiganiwa sana.

SASA, Yule anayeitwaga Mfalme wa Rap, Call Him COLLO- KING WA RAP, ameamua kurejesha ubabe wake kwa wale ambao wamekuwa wakimchukulia Po asana kiasi kwamba wakadhani hajui kinachoendelea Kutoka kwao.

Hivi sasa Collo ameachia Brand New Track ambayo Ni Video, na ameamua kuipa Jina la COLLO (Whats that Boys Name) ambayo kiujumla ina utamu wa Rap yake Mwenyewe
COLLO-KING WA RAP
Collo amekuwa Kimya kwa Muda kadhaa, huku ukimya wake ukishambuliwa na watu hasa wasanii ambao hawapendi jinsi anavyojiita King wa Rap Kutoka Nchini Kenya.


Maswali Mengi hivi sasa kuwa, nani ambaye atajitokeza kudhihirisha kuwa Collo Siye King Wa Rap Kenya…maana Collo kasema hakuna rapper atakaye Mgusa

RIPOTI: DIAMOND TUMUACHE TU....HUYU NAYE NUSURA WAMTOE ROHO KISA DIAMOND

6:06:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim/Youtube
OKAY, siku ya jana, TTm tulikupa Mtonyo mzuri kuwa, Chibu Dangote, namzungumzia Diamonds Platnumz, ameachia Brand New Track ambayo inakwenda kwa jina la Nitampata wapi, amabyo imezua maswali Mengi.

Tofauti na Kuachia AUDIO, Platnumz ameachia na Video siku hiyo hiyo ya jana, ambayo imedhihirisha kuwa, yeye ni Platnumz na kamwe hawezi kukamatika

TAKWIMU MPAKA KUFIKIA MAPEMA LEO
Baada ya kupita leo kunako Channel yake ya YOUTUBE ambayo Video hiyo iliweza kuwekwa, Ikiwa ni Ndani ya Siku Moja, Video hiyo Imeweza kutizamwa na Mara 129,049, jambo ambalo linadhihirisha kuwa, ndani ya masaa 24, video hiyo inawezekana kuwa imeshatizamwa na watu zaidi ya Laki Moja

Tofauti na Kutizamwa mara nyingi Kiasi hicho, Video Hiyo imeweza kupata Likes, yaani kupendwa na watu 2,124 na kupata Dislikes 185 mpaka ninakamilisha mchakato


HUYU NA COMMENT YAKE..NUSURA WAMTOE ROHO KISA DIAMOND
Aidha kunako mchakato wa Comments, kulitokea kama Kijiubishi Kidogo hasa baada ya jamaa mmoja anayefahamika kwa jina la  NORMAN ERIC kucomment hivi :

“Hakuna lolote , diamond alishafika kwenye level za juu kabisa na ngoma yake ya my number one. Ni ukweli usiopingika kuwa hatakaa afikie pale tena. Kwa sasa kila wimbo wake mpya anazidi kuwa anashuka chini. Angalia kitorondo na huu uchafu mwingine hapa. Na anachokosea pia ni kuweka hao wazungu anaona dili. Keli kuzaliwa tandale bwana. Ni shida fukara wa fikra. Poor diamond.. Graph yazidi kushuka. My number one hutakaa fikia tena. Nani anabisha???

Sasa, Baada ya Norman kufanya hivyo, comment karibia zote zikahamia katika kumshabulia..moja wapo ni hii hapa 


“Diamond Anajaribu Kua Mbunifu Tatizo Wabongo bhado Tuko Nyuma Sana Yupo Mtu ana kwambia Mbona Video Haipo kama #ma no 1 Kwa hyo Alitaka Daimond Atoe video za Aina moja tu Music Unabadilika Au Ulitaka Diamond atoe Videos kama Za Jason Derulo  Wakati Uwezo wake Haujafikia kule Kila kitu kina enda kwa Wakati, Alipofikia Diamond Mpaka Sasa ni Hatua kubwa Sana kibongo bongo, Tujifunze kutoka kwa Wenzetu Tusikariri Check Video Ya Psquare  #chop ma money na Ejeajo graphic  na kila Kityu kipo Tofauti ila Kuna Watu  watasema Video ya EJeajo Mbaya Coz Washazoea Ma video ya Marangi Rangi Big up Diamond kazi Nzur #Wabongo tuna tabia za Kichawi na Wivu

(COMMENT NYINGINE HATUJAWEKA SABABU ZILIKUWA NA MANENO MAKALI. AHSANTE)

MNADA BANNER