REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TUHUMA: KANYE WEST NI KIBONDE WA KIM KARDASHIAN NA ANATAMANI KUWA NA NGOZI NYEUPE

11:45:00 AM Add Comment



KUSHOTO: GLC ambaye Ni rafiki yake na Rapper Kanye West (Kulia) ameamua kuweka Wazi kila Kitu kuhusu Swahiba Wake
 Na Baba Juti
#WatuWaMungu sitaki kuamini kama ni kweli lakini nawezekana ikawa hivyo hasa ukizingatia aliyezungumza tuhuma hizi ni eafiki wa Karibu sana wa Rapper Kanye West

Jamaa ambaye anafahamika kwa jina la GLC ambaye ni Rafiki wa Karibu san asana sana wa Kanye West amedai kuwa Kanye West Hivi sasa hayuko sawa kiakili hata Kidogo na inabidi tumuokoe huko aliko sababu ni kama anaburuwza na kupelekeshwa na Mke wake Kim Kardashian West ambaye hivi Majuzi wamesherekea Miaka mitatu katika Ndoa yao.

KANYE WEST (Wa Tatu Kutoka Kushoto) akiwa na Rafiki zake kitambo Hicho, akiwemo Swahiba wake GLC (Wa Kuwanza kutoka Kulia)
GLC alidai kuwa kuna mambo m,engi ambayo Wengi hatuyafahamu, lakini kubwa zaidi ni kama Ifuatavyo:

  • MAMA Mzazi wa Kanye West Sio Marehemu Donda West. Mama Yake mzazi alifariki akiwa na Miaka 12, hivyo alikutana na Donda kama mama Yake wa Pili akiwa na Miaka 15
  • Kanye West anatamanai na yuko katika Harakati za kuukata Uafrika, yaani anataka kuwa Mtu Mweupe
  • Hivi sasa Kanye West ameamua kuwa Mpole kwa Mapaparazi kwa Sababu Familia ya Mkewe, yaani THE KARDASHIANS wanataka Umaarufu kupitia Vitu kama hivyo. Hivyo akiwa na Kim ama aspokuwa na Kim Kardashian, kuna muda Maparazi huwa wanatumwa na Familia ya Mkewe ili kutengeneza Story zao na kusaka umaarufu zaidi, hivyo hawezi kuwazingua.
  •  
  • Kanye West amekuwa ni kama Mume Bwege kwa Ki  Kardashian kwa Hivi sasa, kiasi kwamba hata maamuzi ya Ndani ya Nyumba , hayatoi kwa Sauti ya Baba wa Familia, kitu ambacho hata wasaidizi wa Ndani wanajua kabisa kuwa , Kanye akitoa Maamuzi, basi ujue yamepitishwa na Kim Kardashian
  • Kanye West amefikia mpaka hatua ya Kudondosha Machozi mbele ya rafiki huyu, kitu ambacho hakikuwahi kutokea kabla hajakutana na Kim kardashian

MNADA BANNER