REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

AMBER ROSE ANATOKA KIMAHABA NA KAK AKE FRENCH MONTANA?

2:16:00 AM Add Comment

Na Frank M Joachim & TMZ
Moja kati ya mahusiano ambayo yaliushtua sana ulimwengu hasa wa Burudani, ni ule wa Amber Rose na Wiz Khalifa “kuvunjika”. Lakini tofauti na huo, uhusiano kati ya French Montana na Khloe kardashian kufikia Kikomo pia ulikuwa ni story kubwa, na bila Kusahau Vibuti vya Mariah carey na Nick Cannon

SASA, baada ya kuhisiwa sana kuwa, “Mama Sebastian”-AMBER ROSE, hivi sasa “Anavunja Amri ya Sita” na Nick Cannon, finally yamevuja Mengine kuwa “ETI” Amber ana-date na Kaka yake French Montana, anayefahamika kwa jina la ZACK

Full details zimeshushwa na Mtandao wa TMZ kuwa Inawezekana ni kweli Amber na Zack wakawa katika “Mchakato wa Kuingia katika Mahaba” hasa baada ya kufumwa Siku moja wakitoka kunako Club Moja ya wacheza UTUPU, yaani “Strip-Club” huku siku Nyingine tena, wakitokea kunako Night Club Moja Jijini New York.

Pia Inasemekana kuwa, wanapokuwa Hadharani, basi Amber Rose huwa hataki kukaribiana na Zack ambaye ni Bro ake French Montana ili kuficha Uhusiano wao, lakini Full info zinadai kuwa, wawili hao huenda wakaingia kunako Dimbwi kubwa la mahaba.


Amber Rose na Wiz Khalifa wamepigana hivi majuzi tu, na mpaka hivi sasa, bado haifahamiki ni kipi kitaendelea baada ya wawili hawa kuonesha bado wanapendana mazee.

MNADA BANNER