REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MAMA YAKE JAY Z: NILIPOMWAMBIA JAY Z KUWA MIE NI MSAGAJI, ALIANZA KULIA....SIKUONA AIBU

2:48:00 AM Add Comment

Na Rich Sam  
#WatuiWaMungu hatimaye Mama Mzazi wa Rapper Jay Z amefyatua ukweli wote kuhusu kile kilichozungumzwa na Jay Z katika Album yake ya 4:44 kuhusu yeye kuwa "Msagaji"

Kupitia Maelezo Yake, Mama Mzazi wa Jay Z anayefahamika kwa jina la GLORIA CARTER anadai kuwa, kwa sababu alikuwa anazungumza mengi na Mtoto wake JAY Z, ilifikia muda alihitaji kumwambia upande wake wa maisha ambayo alikuwa hayafahamu

na Pindi alipomwambia upande Huo wa maisha yake ya Usagaji, Jay Z alianza kulia kwa sababu aliamini hayo ni maisha mabovu kwake. Lakini mama yake akasema kuwa sio maisha ya ajabu, ila yalikuwa ni maisha Mengine tofauti kabisa.

Hata Hivyo Mama huyo aliongeza kuwa alipoanika maisha yake hayo, hakujionea Aibu, wala kuona aibu mbele ya familia yake, hasa juu ya kitakachozungumzwa Juu yake

HAIWEZEKANI !!!! : 50 CENTS HAMTAMBUI MTOTO WAKE WA KWANZA?

1:47:00 AM Add Comment
TUNAPAMBANA NA HALI YETU !!: MTOTO WA KWANZA WA 50 CENT, MARQUISE JACKSON, AKIWA NA MAMA YAKE MZAZI, SHANIQUE

Na Baba Juti   
#WatuWaMungu sitaki kuamini kama Kweli Rapper JACKSON "50 CENTS" CURTIS hamtambui mtoto wake wa kwanza anayeitwa MARQUISE JACKSON ama kuna kitu alikuwa anamaanisha

Kupitia Instagram account yake, 50 Cents alitoa kauli hiyo ambayo ilionekana kuwashtua wengi ingawa upande wa Marquise ambaye ni mtoto wake wa kwanza hawajajibu chochote.

ISHU ILIKUWA HIVI
Usiku wa kuamkia Leo, Rapper 50 Cents alipost Picha mtoto wake Mwingine anayeitwa DAVID huku akisema kuwa kijana wake hivi sasa ana Miaka 12 na siku hiyo ilikuwa ni Mara yake ya kwanza kuingia Chuo

Sasa, Shabiki Mmoja anayeitwa BRATH WAITE LYDIA aliuliza idadi ya Watoto wa Rapper Huyo na Ndipo 50 Cents alimjibu kuwa ana Watoto wawili kwa sababu hana mahusiano na Mtoto wa Shanique (ambaye ni Marquise)

Kiuhalisia, 50 Cents ana Watoto wawili wa kuzaaa ambao wanatambulika, ambao ni MARQUISE JACKSON (ambaye hawana maelewano mazuri) pamoja na SIRE JACKSON (Aliyemzaa na mmoja wa wanamitindo Nchini Marekani). David alitambulishwa kama mtoto wa Siri wa 50 Cents, lakini inadaiwa kuwa sio mtoto wake wa Kumzaa


MNADA BANNER