REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Kanye Plans to propose to kim Kardashian

2:09:00 PM Add Comment





Kim Kardashian na Kanye west



In the latest Kimye news, Kanye West is reportedly planning to propose to Kim Kardashian as soon as her divorce is final.
Now given that Kim’s relationship with Kanye has lasted longer than her 72-day marriage to Kris Humphries, it isn’t clear whether Mr. West’s supposed plan should be congratulated or seen as utterly insane.
But sources said  that he has already asked his personal jeweler to design an engagement ring for Kim, which will incorporate diamonds and rubies from his late mother Donda’s jewelry collection.
If reports are wrong, there have been other clues that also hint to a possible engagement, like the diamond ring West gave Kim back in June and the expensive Lambo that Kim brought him for his birthday.
Now, as crazy as many Hollywood hook-ups go, the Kimye world-wind romance goes right along with the program… of insanity. But to use this space to blast young and, well, ignorant love such as theirs is futile. Whatever’s going to happen will happen whether we scream “DON’T DO IT, KANYE!!!!” or not. So, all that can be said is God speed and good luck.”

"SASA NI ZAMU YA KICHUPA CHA NO SAY"-KACCI

1:29:00 PM Add Comment
 





 Young Rapper anayetamani anayekuja Kwa kasi katika Music Industry hapa Bongo, Aboul Mrisho "Kacci The Town Son'" a.k.a "Kaccilionaire", amedhihirisha kuwa Video ya ngoma yake Mpya kabisaaa yenye Title la "NO SAY" itakuwa Matata ile Balaa
Akipiga stori na Blog hii, Mkali huyo ambaye kwa sasa anakita na Track balaa ya " HOLLA AT YO NIGGAH" iliyepikwa na Producer GQ kutoka Mji kasoro bahari, amesema kuwa watanzania wasubiri mapinduzi ya dhati katika Ngoma hiyo mpya ambayo amemshirikisha mmoja kati ya Memba wa kundi la "Mtu Chee", Country Boy, huku akisisitiza kuwa anaamini Track hiyo itakuwa moja kati ya Headlines kunako Media kibao

"Nafanya video ya nyimbo yangu tarehe kumi na moja ngoma inaitwa NO SAY nimefanya na COUNTRY BOY studio ni DIGITAL VIBES producer GQ na Video Company ni Revolution Videos so niko kwenye maandalizi"

Katika Video hiyo ambayo inatarajiwa kufanyiwa "mandingo" mida si mingi, itakuwa chini ya Usimamizi na Uongozaji wa  GEORGE NDUNGURU ambaye yupo katika Kampuni mpya ya REVOLUTION VIDEOS.
Kacci The Town Son still anasababisha Headlines na Ngoma kama Vile Holla At Your Niggah, Haters Going Down, I like That na Butterfly ambazo zote zimetengenezwa haswa na GQ, katika Lebo ya RACERS.
Stay with joachimjunior.blogspot.com ili kujua kila step
Mauaji ya Balozi wa Venezuela Nchini Kenya....Uba

Mauaji ya Balozi wa Venezuela Nchini Kenya....Uba

12:43:00 AM Add Comment
Nyumba ya balozi wa Venezuela mjini nairobi
Ubalozi wa Venezuela Nchini Kenya (Picha na REUTERS)

 Na Frank M. Joachim

Polisi wa Kenya wanasema kuwa wanaendelea na uchunguzi, juu ya mauaji ya balozi mpya wa Venezuela nchini humo, ambaye aliuwawa Ijumaa.
Olga Fonseca, aliyeanza kazi Kenya kati ya mwezi Julai, alikutiakana ameuwawa nyumbani kwake, na watu sita wamekamatwa hadi sasa.
Watu hao sita wamekamatwa siku mbili tu baada ya balozi huyo kupatikana amefariki nyumbani kwake.
Siku ya Ijumaa, polisi walisema kuwa maiti ya Bi Olga Fonseca ilipatikana kitandani mwake lakini sababu za kuuwawa kwake hadi sasa hazijulikani.
Bila ya kutoa maelezo zaidi, polisi wamesema kuwa wanawashikilia watu sita kuhusiana na kifo cha balozi huyo.
 Taarifa kutoka wizara ya maswala ya njee ya Kenya imesema kuwa wafanyikazi katika makaazi ya balozi huyo waliwasilisha malalamiko yao kwa polisi baada ya kufutwa kazi hivi majuzi.
Inadaiwa kuwa bi Fonseca aliwafuta kazi baada ya wao kukataa kuondoa malalamiko kuhusu madai ya kunyanyaswa kijinisia na mtangulizi wa balozi huo.
Hata hivyo polisi wamesema wanachunguza madai hayo

Papa Afungukia Mauaji ya Syria

12:36:00 AM Add Comment




Papa Benedicto XVI
 Na Frank Joachim Kwa Msaada wa DW.

Baba Mtakatifu Benedikto wa 16 amerejea wito wake kwa Jumuiya ya Kimataifa, wa kumaliza machafuko nchini Syria, huku akiyataka mataifa makubwa kutosita katika juhudi za kumaliza mgogoro huo. Baada ya kutoa baraka kwa waumini wake huko Castel Gandolfo, kiongozi huyo wa Kanisa Katoliki duniani amesema anafuatilia kwa karibu ghasia hizo na ameziomba nchi jirani kuwapokea wakimbizi na kuwapa msaada wote wanaouhitaji. Ameshauri njia ya majadiliano itumike ili kufikia suluhisho la kisiasa kwa amani.   Na taarifa kutoka Jordan, zinasema kuwa serikali hiyo imefungua kambi yake ya kwanza kwa maelfu ya wakimbizi wanaokimbia ghasia nchini Syria. Kambi hiyo ya Zaatari iliyojengwa kwa maturubali iko jangwani, jirani na mji wa Mafraq na ina uwezo wa kuwahifadhi wakimbizi 120,000. Baada ya kuzinduliwa kwa kambi hiyo na serikali ya Jordan na Umoja wa Mataifa, Waziri wa Mambo ya Nje, Nasser Judeh amesema hatua hiyo ni sehemu ya  msaada wa nchi yake kwa Wasyria hao wasio na makazi, ambao wanaingia Jordan kwa makisio ya watu 2,000 kwa siku. 

MNADA BANNER