REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MWANZA !!!: KUNGUNI WANAVYOWATESA ABIRIA KATIKA DALADALA

5:39:00 AM Add Comment

Na Sadick  Mwenda  
#WatuWaMungu kuna taarifa ambazo Baba Juti Blog tumezipata na tukaona sio mbaya kushare na Nyie, hakuna mtu ambaye hawafahamu Kunguni

Kwa Mujibu wa Wakazi wa Mwanza wanaotumia Usafiri wa Magari madogo ya Umma maarufu kama "Dala Dala" katika Jiji la Mwanza, wamedai kuwa kuna tatizo la Kunguni katika Magari hayo, kitu ambacho kimeonekana kuwapa hofu watumiaji wengi wa Usafiri huo

Wakizungumza na babajuti.blogspot.com leo asubuhi katika Kituo cha Magari kilichopo Soko Kuu, Wakazi hao wamelalamika kukutana na adha hiyo katika daladala mbali mbali mbazo wamekuwa wakipanda

Akizungumza kwa Hizia kubwa kuhusu hilo, Mkazi wa Eneo la Bwiru amedai kuwa ameshakutana na Kunguni hao si zaidi ya Mara moja, hali ambayo imesababisha kuwahamishia nyumbani kwake.

"Yaani Mara ya kwanza nilidhani mie ndio ninao, nikaona aibu kusema maana wale wadudu sio wa kawaida. cha ajabu, leo wakati nimepanda gari ya Bwiru - Kisesa, nikaona kwenye Siti ya Mbele, kuna kunguni kama wawili wakaongozana. Ikabidi nipekue, kutizama hivi, nikaona balaa la Kunguni na Mayai yake" alisema Bi. Bhoke Mutaira


Tofauti na shuhuda huyo wa Kwanza, Mwingine alidai kuwa ameshakutana nao sio jana wala leo, ila ni muda Mrefu, kitu ambacho kinampatia umakini mkubwa sana katika Usafi
"Kunguni hawa wapo muda tu, hasa kwenye mafgari yenye Siti chafu kabisa. si unajua hawa wakiamka, wao wanajali abiria tu, na sio usafi. mie nimeshawabeba mara nyingi mno, na mpaka sasa niko makini. hasa hizi gari za Kisesa kuja Mjini au Machinjioni kuja mjini na hata Bugarika kuja Mjini, yaani ndo zimejaza hawa wadudu" alisema Boaz Marundi

Walipotafutwa Madereva na Makondakta kujibu suala hilo, nao hawakusita kuzungumza
"Kwenye Gari langu hawamo maana ninazingatia usafi, lakini nimesikia pia kwenye Magari mengine wapo. hii ni kwa sababu tunakutana na abiria mbali mbali, na huwezi kusema unamkagua kama ana kunguni au lah. ila asilimia kubwa, Abiria wenyewe Ndio wanaowaleta" alisema mmoja wa Madereva katika Stand Hiyo ya Magari yaendayo Bieru

BIRTHDAY VIBES: LEO NI BIRTHDAY YA TUNDA... CHECK OUT HOT PICKS ZAKE 5 TU

5:04:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Katika "BIRTHDAY VIBES" leo ni Birthday ya Video Vixen na Ex-Girlfriend wa Young Dee (Paka Rasta), TUNDA.... Chek utamu wake kwa Uchache tu






MUNGU OKOA JAHAZI !! : WANAWAKE WAWILI WAZICHAPA NA KUVUANA MBELE YA WANAFUNZI...KISA?....APPOINTMENT

4:38:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Kimenuka haswa, na hii bwana iwafikie wale wote ambao huwa "Mnachanganya Madesa" katika kuandaa appointment, maana itakula kwenu

WANAWAKE Wawili Nchini Kesha, wamejikuta wakitoa "Utamu" mbele ya Wamnafunzi baada ya kufumuana Vilivyo mpaka kuvuana mbele ya Wanafunzi, baada ya kujikuta wakigongana katika "appointment" waliyokuwa wamepewa jkatika Shule moja Nchini Humo.

Kwa Mujibu wa Taarifa kutoka kwa moja kati ya watu wa Usalama walioshuhudia na kukutana na Kesi hiyo, anadai kuwa, wawili hao walizichapa baada ya kukuitana katika Shule hiyo kwa madai kuwa kila mmoja kapewa appointment na Mpenzi wake ambaye ni Mwalimu Mkuu katika Shule Hiyo

Katika Ugomvi huo, wawili hao walisikika wakituhumiana kila mmoja kuharibu mahusiano yake mna mwamu huyo, huku mwalimu mwenyewe akibaki kutizama na kushindwa afanye Kitu gani

Lakini hali ilivyozidi kuwa mbaya, baada ya mwanamke mmoja kuonekana kumzidi nguvu mwenzake na kuanza kurarua nguo zake, ndipo mwalimu mkuu msaidizi ambaye pia ni mwanamke kwa kusaidiana na Mlinzi wa shule hiyo waliingilia kati na kuamua ugomvi huo.

Hata Hivyo, baadhio ya wanafunzi, na wafanyakazi katika Shule hiyo, walidai kusikitishwa na tukio hilo, ukizingatia mwalimu Mkuu huyo ana heshima kubwa sana katika Jamii yao

MAMBO YA MKWANJA !!: ETI JAY Z NA BEYONCE WAMEAJIRI WATU 18 KWA AJILI YA MAPACHA WAO

4:15:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#WatuWaMungu Familia ya Wasanii ambao wanamiliki "Mpunga" mrefu katika Tasnia hii, JAY Z na BEYONCE wameendelea kuonesha Jeuri yao ya Fedha, baada ya kuwaajiri watu 18 kwa ajili ya Mapacha wao

Info ambazo tuko nazo mpaka hivi sasa, ni kwamba, watu hao 18 wamepata nafasi hiyo ya kazi  baada ya Mapacha wa wanandoa hao waliopewa majina ya RUMI na SIR kuwasili Nyumbani kwa ajili ya kuanza Maisha yao katika Familia yao kawaida

Watu hao 18 wameajiliwa katika Nafasi kadha wa kadha wakiwemo MAYAYA (walezi wa Watoto) 6, Wasaidizi wa Ndani 2, na Wauguzi ambao watakuwa wakigawana majukumu ya kuwajali watoto hao masaa 24 kila siku

Mmoja kati ya watu wa Karibu katika Familia hiyo aliongeza Hivi, tunaomba tumnukuu tafadhari ili kupata utamu

"Ulinzi umeongezwa haswa, Magari ya Bullet Proof yameboreshwa zaidi, na Kubwa zaidi wameajiliwa Wasahuri wa Masuala ya Uwekezaji wa Masuala ya Fedha kwa watoto hao, kuandaa Trademarks na vitu vingine katika jina la Mapacha hao"

Na kama Haitoshi, Mvujishaji huyo kaongeza kuwa, wameshaajiriwa watu maalum ambao watahusika vilivyo katika kuendesha na kuboresha accounts za mitandao ya kijamii hasa kwenye majina na Tags ambazo zitahusika"

HAIWEZEKANI !!! : ASHUSHWA KWENYE NDEGE NA ULINZI MKALI KISA TATTOO

3:57:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu mnaweza kudhani kuwa vitu kama hivi huwa ni masihala, lakini hii ndivyo ilivyotokea na inabidi tufahamishane katika hili

DAVI STRETTON-MELLOR alijikuta akishushwa katika Ndege aliyokuwa akisafiri yeye na familia yake na kukatishwa safari kwa madai kuwa Tattoo yake ilichangia yeye kufanyiwa hivyo.

Kwa Mujibu wa Maelezo yake, DAVI anadai kuwa, yeye na familia yake walikuwa wamepanda Ndege ya Kampuni ya RYANAIR kwa ajili ya kuelekea GRAN CANARIA akiwemo mke wake, Mwanae, mkwe wake na wajukuu wake kwa ajili ya matembezi na shughuli nyinginezo

Lakini wakiwa ndani ya Ndege , kuna watu ambao walikuwa Nyuma ya "Stiti" zao ambao walikuwa wakipiga Kelele na kurukia katika Sizti zao kitu ambachpo kilionekana kuwasumbua sana

Baada ya kuona Hivyo, DAVI (33) ambaye ni raia wa Uingereza, aliwaambia kuwa waache Kelele na baadaye hali kwenda sawa, lakini baadaye walipofika katika Uwanja wa Ndege wa SANTIAGO DE COMPSTELLA ulioko HISPANIA

Tunamnukuu
"Hata Sikuwajibu kwa Sauti kubwa, ilikuwa Taratibu tu, kisha nikapitiwa na Usingizi. Lakini baadaye niliona Ndege Imesimama, nikafahamu kuwa tayari tumeshafika tunakoe;lekea. Ghafla nikashtuliwa na Polisi wa Hispania wakiwa kama 13 Hivi kuwa nishuke katika Ndege. Walinikamata Kola yangu ya Shingo na kunitoa kwa nguvu sana"

Katika Hatua Nyingine, DAVI anadai kuwa alipotolewa mpaka upande wa wageni wanaowasili akiwa amesindikizwa na POLISI hao, alishangaa Mke Wake na Familia Nzima inaletwa hapo, kisha wakatolewa Nje ya Uwanja wa Ndege, na kuambiwa kuwa safari yao ndo imeishia hapo, hivyo watajijua wenyewe

Tunamnukuu
"Kuna askari mmoja aliniambia kuwa nimetolewa Nje kwa sababu ya Tattoo yangu iliyopo Usoni"

MSANII WA KUNDI LA LINKING POARK NCHINI MAREKANI AMEFARIKI KWA KUJINYONGA...

2:33:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Hivi sasa, wanafamilia wa Kundi la Muziki wa Rock Nchini Marekani, LINKING PARK, wako katika Majonzi mazito baada ya kumpoteza mwanafamilia mwenzao anayefahamika kwa jina la CHESTER BENNINGTON.

Bennington ambaye alikuwa na Umri wa Miaka 41, alikutwa amefariki Nyumbani kwake baada ya Kujinyonga juu ya Dari la Nyumba yake.

Tukio hilo limetokea katika Kumbu kumbu ya Siku ya Kuzaliwa ya Rafiki yake, Marehemu CHRIS CORNELL ambaye pia likutwa amejinyonga Katika chumba cha Hotel ya DETROIT mnamo May 18,2017

Mfanyakazi wake ndiye aliyetoa taarifa katika Kitengo cha dharura Nchini humo 911 baada ya kubaini kuwa Bosi wake amejiua.

Mpaka hivi sasa, sababu ya Kujinyonga kwake haijafahamika, na tutazidi kufuatilia ni kipi ambacho kimetokea

LINKING PARK waliwahi kufanya Kazi na BUSTA RHYMES katika Mkwaju wa WE MADE IT, halikadharika na JAY Z katika Mkwaju wa NUMB/ENCORE







TIZAMA Video ambazo CHESTER alikuwa akifanya Kazi

OKAY!!!! : MEET THE 6 NEW WORSE TRENDS

1:58:00 AM Add Comment

SOURCE : P LIVE
While fashion is all about expressing yourself, there are some trends that are somewhat confusing and people are not quite sure how to feel about them

There are a couple of men’s fashion that have been going viral of late that have left us with mixed reactions.
Here’s a list of some of them.

1.Men’s rompers 
The male rompers were another fashion statement that people could not quite wrap their heads around.

2.Men in skirts and heels
Another trend that made its rounds on social media has got to be the new fashion line by American designer Thom Browne which showcased men in skirts and heels.

3.Lace shorts
When a photo of men dressed in lace shorts matched up with lace tops made its rounds on social media, a lot of users were quite confused with the majority not really feeling the new fashion trend.

4.Male crop tops
It seems like women aren’t the only ones that want to show off their belly buttons as there are now male crop tops.

5.Men’s clip-in buns
Men have for the longest time been hating on women’s hair extensions with a majority of them being completely against them.
Well it may seem that the need for long hair is not only a woman’s problem but a man’s as well.
Men now have access to clip-in buns that they can use to give their hair that extra length that they desire.

6.Male chokers




MNADA BANNER