REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WEEKEND SPECIAL- Camera yangu Weekend Hii

9:46:00 AM Add Comment
Maisha kokote na Kivyovyote. Hili ni Jembe Langu SULE...Ni mjasiriamali Makini Sana Hii ndyo Biashara yake. Mara Nyingi Familia Yangu huwa Tunanunua Bidhaa zetu za MAAKULI hapa
Hapa Anapanga Bidhaa Zake kama Kawaida....huku akikufafanulia Bei Vizuri na kwa Ustadi Mkubwa


My Big Bro AWADH and My Young Bro IMMA (B-KISS)..Big Mnato


MY BIg Bro Awadh...huwa anapitia Mashine kama Iko sawa kwa Shughuli zetu za Kila siku....Hapa nilimvamia kama hivi ...na kumpiga Mnato huu


Our Elder Brother Allawy akipata Big Lunch baada ya Kupiga usafi wa Viwalo vyake vya Ofisini...Nilimvamia na kumpiga Mnato huu......


BIG REVIEW....Baada ya kupiga Kazi za Blog, Moviez huchukua nafasi kubwa...My Sisters and I tukicheki Muvi

Kudadadaddeki...Hakuna Kitu ninachokipa kipaumbele kama CHAI...Nikiwa na Kikombe changu cha chai kama kawaida

HUU NDIO MTAA WANGU...NAJIACHIA SANA NINAPOKUWA HUKU

8:17:00 AM Add Comment
Mara nyingi hii huwa ndiyo Njia yangu ninayopita Kwenda kununua Kitafunwa kwa ajili ya Chai Asubuhi..na Mahitaji yangu Mengine yote.

Pale kwa wale akina mama, ndipo ninaponunua Kitafunwa Changu safi kabisa ambacho huwa nakipenda...yaani SAMBUSA ZA VIAZI.

Nikiosa sambusa, basi pale huwa Kuna mama anapika CHAPATI....Full Bata.

MNADA BANNER