REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MWANAFACEBOOK awakamata Watano

10:26:00 AM Add Comment





Isack Elias











Hivi ndivyo tunavyoadhibiwa tukishaiba?...I dont Know Isaack Kaipata wapi hii Ishu..but Ndivyo alivyoiweka Picha Hii. Wizi Noooma

***************************************************************************


Ray Ramadhan















Oooh...Yeah...Mwanaface book alivutiwa sana na Hii///Ray Ramadhani yeye Kaingiza New Photo. Kupitia Black Touchez, Mwanafacebook nakupongeza..U look so Cute.

***************************************************************************



Cloudian Muchunguzi



Haha ha haaaa....Kujipa Swagg ni Mule Mule....Huyu Ni Cloudian Muchunguz, Memba wa RCT (royal College Of Tanzania. Mwanafacebook kakuta Jombaa ameongeza new Pic......safi...Umetoklezea.

********************************************************************************************************

 

Hubert Agnes Kiwale




Kaazi Kweli kweli...Hubert Agnes Kiwale, ambaye ni Assistant C.E.O wa WAKAVVU BLACKAZ INC & BLACK TOUCHEZ ENTERTAINMENT, yeye alitupia Hii katika wall yake.
Mwanafacebook kaipenda.

********************************************************************

Suzie Frank Chibaya













Hahaaa..Guuud one. Mwanafacebook Shaaaaa...Mpaka kwa Mhusika Mwenyewe, Suzie na kukuta kaongeza Picture Nyingine...Bonge Moja la Pouz.
Dah.....Mwanaface Book Kaipenda hiyo ! Safi. 
Eti Siku hizi Bous anakuta wewe......halafu we unamuita "baba Yao"...
aaah Mmetisha.

*************************************************************

Wapendwa, nashukuru sana kwa kupitia "Mwana Facebook" kwa siku ya Leo. Bado nitazidi kupita kwenu, nikimuwakilisha Hasta La Vista Baby, Frankie Joacqium.

Endeleeni Kumwaga Vitu vyenu Facebook, mimi nikivipenda, kama kawaida utavikuta humu humu.

Vinavutia, Vinapendeza na Vinahamasisha kupamba Blog yetu.

Pamoja.

APPLE YAISHINDA SAMSUNG MAHAKAMANI

7:23:00 AM Add Comment




I PAD YA APPLE

 

                                              I PAD YA SAMSUNG



Na Frank M Joachim & DW

Mahakama ya mjini San Jose, katika jimbo la Kalifonia nchini Marekani, imeiamrisha kampuni ya simu ya Samsung kuilipa kampuni ya Apple zaidi ya dola bilioni moja, baada ya kugundulika kuwa kampuni hiyo ya Korea kaskazini ilinakili sehemu muhimu za bidhaa za iPhone na iPad za Apple na kuzitumia katika bidhaa zake za Galaxy.

 Baraza la wazee katika mahakama hiyo lilitoa hukumu hiyo baada ya majadiliano ya  siku mbili. Hii ni moja tu kati ya migogoro mingi ya kisheria kati ya makampuni hayo mawili ya kutengeneza vifaa vya elektroniki, na ambazo zinauza zaidi ya nusu ya simu za smartphone duniani kote.

 Hukumu hii inaweza kusababisha  kupigwa marufuku uuzaji wa bidhaa muhimu za Samsung nchini Marekani. Kufuatia uamuzi huo, mauzo ya hisa za Apple yalipanda kwa zaidi ya asilimia mbili katika muda wa saa mbili.

MLIPUKO MKUBWA WA GESI NCHINI VENEZUELA

6:12:00 AM Add Comment







Na Frank M. Joachim & DW
Mripuko mkubwa wa gesi umetokea katika kiwanda cha kusafisha mafuta nchini Venezuela na kuua watu 7 huku wengine 48 wakijeruhiwa. Mripuko huo katika kiwanda cha Amuay kilichopo magharibi mwa nchi hiyo , umetokea majira ya asubuhi, lakini gavana wa eneo hilo, ambaye amethibitisha vifo hivyo, ameiambia televisheni ya taifa kuwa hali imedhibitiwa na kwamba hakutakuwa na mripuko mwingine.

 Kiwanda cha Amuay ni sehemu ya kituo cha usafishaji cha Paraguana, ambacho ni moja ya vituo vikubwa zaidi vya usafishaji mafuta duniani. Kiwanda hicho kina uwezo wa kusafisha mapipa 955,000 kwa siku. Waziri wa nishati wa Venezuela, Rafael Ramirez amesema mripuko huo ulitokana na kuvuja kwa gesi. Pia miundombinu ya kiwanda hicho imeharibiwa vibaya.

BAADA YA MIAKA 7 Hatimaye arejea Kwenye game.....

5:49:00 AM Add Comment
 




HATIMAYE Yule Mkali wa “PAPARAZ” na Mtangazaji wa Kipindi Cha “PIMP MY RIDE” katika Kituo cha TV cha MTV, X_ZIBIT ameamua kurejea Tena kunako MIC.
Ikiwa ni  tangia mwaka 2006 asikike, X-zibit ameamua kurejesha Tena Fani yake kama kawaida, huku akionekana kuwa na Mzuka wa Hali ya Juu.

X- Bit amekuwa Kimya kinoma noma luanzia mwaka 2007, baada ya Kipindi chake cha PIMP MY RIDE kupotezewa kama sio kuopigwa Chini, na hatimaye kuamua kukomaa na mishe nyingine ikiwemo kucheza Muvi
Katika Albamu yake atakayoipa jina la NAPALM, anatarajia kushirikisha Vichwa kama WIZZY KHALIFA< THE GAME, na Wengineo ambao watasikika katika Ngoma zake mpya.

XZIBIT anatarajia kungonga Mzigo na Maprodyuza kama Vile Dr. Dre, Akon, David Banner S1. Na Wengineo Kibao

ISHARA SABA ZA KIFREE MASON katika Video ya Ney wa Mitego

4:55:00 AM Add Comment










 
Na Frank M. Joachim
 Kama Ulikuwa Hujui, dahmira kubwa ya Maisonic Society Duniani, ni kufikia wakati waumini wake wawe wanajitambulisha kihuru kabisaaa...endapo utamuuliza yeye ni Dini gani, basi awe huru kukujibu kuwa, "Mimi ni Free maison", kama ambavyo Mkristo anasema "mimi ni Mkristo", au Muislam kusema "Mimi ni Muislam"

Kiujumla, mimi sina utaalam kivile na haya Masuala ya Ki-maisonic, lakini ufahamu Mdogo nilionao juu yao, huwa unanifanya niweze kubaini alama zao.

HIZI NI ALAMA NA MATUKIO SABA YA KI-FREE MAISON KATIKA VIDEO YA "NASEMA NAO", ya NEY WA MITEGO.
Unaweza ukakubaliana na mimi au usikubaliane na mimi....hakuna tatizo.



Tukio hili limetokea mara tatu na zaidi katika Video yake. 1. Mwanzoni mwa Video, 2. Katikati ya Video, 3. Mwishoni mwa Video. Ney anaonesha Mgongo wake ambao umechorwa tatoo ya Malaika ambaye haeleweki ni wa aina gani, huku juu yake kukiwa na Msalaba. Unaifahamu hiyo ishara ya kunyoosha Mikono hivyo?.....fananisha na kichwa cha Mbuzi au Ng'mbe.
Huyo ni Ney wa Mitego akiwa na Video Model. Hiyo "Car wash" nyeusi alovaa huyo Mrembo ina alama ya Kifree maison, ambayo mara nyingi hutumiwa sana na Waumini wa SECRET SOCIETY hiyo

HIyo ni alama au Tukio lingine ambalo limetokea katika Verse ya Kwanza ya Ney, ambapo damu zinachuruzika Ardhgini huku Rozakli ikiwa Imeshikiliwa Pia. Mara nyingi Free maisons hutumia Rozali kama Kigezo cha Kujificha pia, ili wasitambulike kirahisi, huku wakiwa na maana yao kuwa.....Ukristo.........(Malizia hivyo hivyo)
Hili ni Tukio na Ishara Nyingine ambayo ameitumia Ney wa mitego katika Video yake. Mkono wenye damu unaonekana ukiwa umeshikilia Rozari........
Soma Mistari Hiyo...........

Soma na Hiyo nyingine, utaelewa nini nakimaanisha
Katika Ishara hii, Ney anaonekan kuwa na Watu, mabo wamevalia mavazi ambayo hutumiwa na Wafuasi wa Kifree Maison katika Ibaada zao, au Sadaka zao. Katikati ni Ney wa Mitego akionesha Ishara za "Mapembe" ambazo hutumiwa na Waumini wa Free maison Society

MNADA BANNER