REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

KAKA YAO P SQUARE, JUDE "ENGEES" OKOYE AOMBA RADHI KWA KUPOST PICHA YA BASTORA ZAKE

6:37:00 AM Add Comment



ALSHABAAB: HAKUNA MATUMIZI YA INTERNET NCHINI SOMALIA

6:22:00 AM Add Comment

Wanamgambo wa kundi la al Shabab wametangaza marufuku ya kutumiwa intaneti katika maeneo ya Somalia yaliyo chini ya udhibiti wao.

Kundi hilo limetoa muda wa siku 15 kwa mashirika yote yanayotoa huduma ya intaneti kusitisha huduma zao.


Taarifa iliyotolewa na kundi hilo imeeleza kuwa, kampuni au mtu yeyote ambaye hataheshimu ONYO hilo atachukuliwa kuwa anashirikiana na adui. Hata hivyo waasi hao wa Somalia hawakueleza ni kwa nini wamechukua uamuzi huo.

Kundi la as Shabab lenye misimamo mikali na mtizamo finyu kuhusu dini ya Kiislamu, limefurushwa katika miji mikubwa ya Somalia kwa ushirikiano wa vikosi vya nchi hiyo na askari wa kulinda amani wa Afrika walioko Somalia (AMISOM).



Hata hivyo bado wanamgambo wa kundi hilo wanadhibiti baadhi ya maeneo ya nchi hiyo.

HUYU NDIYE MCHUGAJI ANAYEWALISHA WAUMINI WAKE NYASI KAMA NG’OMBE

6:16:00 AM Add Comment

HAKIKA Mungu Tuwie radhi tu Sie TTM (#TUKOMBELE) kwa Kuisema Hili, lakini Ni ujinga wa Aina gani ambao Wanadamu Muda mwingine wanakuwa nao?... yaani Unafuata na Kuheshimu Maamuzi ya Kikatili, Kinyama , Kijinga, na hata Kipuuzi?...

IKO HIVI JAMANI

MCHUNGAJI Mmoja Nchini Afrika Ya Kusini, nayefahamika Kwa jina la MCHUNGAJI DANIEL LESEGO, anayeongoza Kanisa lake la RIBBON CENTRE MINISRIES Lililoko katika Eneo la GA-RANKUWA, Kusini Mwa Mji wa PRETORIA, ametoa kali pengine ya Kufungulia Mwaka Mpya, Kwa kuwaamuru waumini wake kula Nyasi, na wao Kufanya hivyo.

Ukitaka Kujua sababu ya Mchungaji huyo kufanya hivyo, ni kwamba Eti alitaka Kudhihirisha Kwa Umma kuwa ROHO Mtakatifu anaweza kumuongoza Binadamu yeyote kufanya kitu chochote.


Aidha katika kuthibitisha kauli Yake, Mchungaji LESEGO aliwaamuru waumini wake kutafuna Nyasi Kwa Nguvu ya Roho Mtakatifu, na hatimaye Kufanya hivyo. Ikiwa ni kuonesha kuwa, Roho huyo mtakatifu anaweza Kuwaongoza Binadamu Kushiba ama kupata Chakula chochote endapo watasikia Njaa.

CHECK PICHA ZA WAUMINI WAKITAFUNA NYASI KAMA MBUZI 






LICHA YA KURUDIANA, JUSTIN BIEBER NA SELENA GOMEZ KUZINGUANA NI KAMA KAWA..

6:01:00 AM Add Comment

Unaweza Ukajiuliza Why wanaorudiana Siku zote lazima kilichosababisha wao Kutemana kinaendelea kufanyika, tena zaidi ya Awali…

Iko hivi

Siku za hivi karibuni tulipata Mitonyo ya Uhakika Kuwa Waliomwagana, yaani JUSTIN BIEBER na SELENE GOMEZ, hatimaye wamerudhisha mahaba yao kama kawaida.

Lakini Baada ya TTM Kulivalia Njuga Suala Hilo, Finaly Tumebaini Kuwa, The Majanga Boy JUSTIN BIEBER na SWEET POTATOE wake SELENA GOMEZ, bado wanazinguana mara Kadhaa licha ya Kuamua kurudisha mahusiano yao

Kwa Mujibu wa Chanzo kilichoko karibu sana na wawili hao, Kimevujisha data kuwa, Licha ya kuwa wamekubaliana kuondoa mapungufu yaliyojitokeza Kipindi Cha Awali na kusababisha seke seke hilo, bado wawili hao wanaonekana Kuzinguana mara Kadhaa hasa wanaposhindwa kufikia Muafaka wa Sual;a Fulani.

Licha Ya hayo yote kutokea, Justin Bieber aliwahi kukiri kuwa Anampenda sana Mpenzi wake Selena Gomez, na Mikwaruzano ya hapa na pale haitowazuia wao Kuonesha mahusiano yao, na hasa mahaba yao hadharani.


Pia Chanzo hicho kilipiga Hitimisho kwa Kusema Kuwa, Bwana Bieber amekuwa akitumia Kila Mbinu aijuayo na Akili ya Ziada ili kuhakikisha Kuwa mahusiano hayo yanakuwa imara, huku Selena naye akijitahidi kufanya Hivyo kwa kutosikiliza maneno ya rafiki zake na watu wa Pembeni.

ASHANTI ANAHASIRA JAMANI!!!

5:55:00 AM Add Comment


Baada ya Kukaa Kimya Kwa Muda Mrefu sana, Finaly The Boys Heart Shocker, ASHANTI ameamua Kuonesha Kuwa hajashindwa Kurudi katika Level zake.
TTM (TEAM TUKO MBELE) Tumeweza Kubaini moja Ya Cover ya ALBAMU yake Mpya ambayo anaplan Kuishusha Soon Kunako Soko la Muziki Duniani
Wakati akipiga Story Pia na Baadhi ya Media Nchini marekani, Ashanti ambaye alivuruga akili za watu na Track ya ALWAYS ON TIME akiwa na JA RULE all The way From MURDER INC, kwa hivi sasa anakuja na Ujio mwingine kabisa baada ya Kuwa kimya kwa Muda Huku Mashabiki zake wakiuliza mara kwa mara mahali aliko na Hatma ya Mishe za Muziki.
Aidha katika Kulifafanua Hilo, ASHANTI amesema kuwa tayari analo Jibu la Maswali yao, Kwani Albam atakayozima nayo, itafahamika kwa Jina la BRAVE HEART ambayo itaachiwa rasmi FEBRUARY 18 Mwaka Huu
Tofauti na Hiyo, Hivi sasa Mrembo huyu Mwenye Ngozi tamu na laini ya Kiafrika, anasumbua na Kwaju la I GOT ambalo Pia Ndani kamjaza The MMG BOUS, RICK ROSS “ROZAY”, THE TEFLON DON HIMSELF
Ashanti ambaye Jina lake halisi ni ASHANTI DOUGLAS aliyezaliwa OCTOBER 13,1980 Huko GLEN COVE, NEW YORK CITY, MAREKANI, alitikisa Sana na Mikwaju kama Vile ALWAYS ON TIME, WHAT IS LOVE, RAIN ON ME na vinginevyo Kibao Kuanzia Mwaka 2001, na amewahi Kubiringika na Mkali Mwenzake NELLY

MNADA BANNER