REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

JEMBEKA FESTIVAL 2016: UJIO WA NEYO JIJINI MWANZA.... HALI ILIVYO

8:14:00 AM Add Comment


SNURA: VIDEO YANGU HUTOIONA KWENYE TV NG’O

8:10:00 AM Add Comment

Snura Mushi/ Instagram



Na Baba Juti
KAMA ulikuwa unakodoa “mimacho “ yako katika Tv Station mbali mbali, huku Domo likikutoka “Udende” kuivizia Video ya SNURA inayoitwa Chura, basi Nikuambie Poleee!

Kupitia account yake Mwenyewe ya Instagra, Snura amepost akidai kuwa, Mzigo huo hautoonekana Ng’o katika Tv Stations mbali mbali hapa Nchini Tanzania, so huna haja ya kupoteza Muda.

Mkali huyo wa Nyonga, na “Matikiti” maji mazito, licha ya kuzungumziwa Kivinginevyo na baadhi ya Watu kuhusu hadhi yake na Video hiyo aliyoachia, amedai kuwa Video ya Chura inayowaonesha akina dada zaidi ya watano, wakitikisa “Tamnye Tamnye” zao, itizame Youtube, ambayo utaitizama masaa 24 

Umeshaona Comments katika Channel ya Youtube ya Snura Baada ya Kuachia Video Hiy ambayo mpaka sasa ina Views zaidi ya 85,000?

COMMENTS:
Ado Ashu :Astaghfirullah!! Mna laana wote mliojidhalilisha ktk hii nyimbo. Ama kweli thamani ya mwanamke inapotezwa na watu wachache kama nyie

fransisco njuu: hana jipya arudi tu kijijini kulima au abaki bongo movie co kutuletea upuuz kama huu kwny game la muziki mbn yy hachezi....hii ni ya kufungia kabisa 100%

Rasuly Daudi: walishapara laana kwa mama zao na baba zao na amebaki kuwadhalilisha wanawake wenzao pumbavu mungu akulaani pia
 
Felix Nyarobi: Huku ni kupandixhana nyege 2
 
Black Shark Tv: I love it

NICK GORDON: AMEZUNGUMZA HAYA MACHACHE.

2:38:00 AM Add Comment

NICK GORDON ni Mume wa Marehemu Bobbi Christina, ambaye ni mtoto wa Whitney Huston ambaye pia ni Marehemu Hivi sasa.

Kifo ambacho Bobbi Christina alikutana nacho, ni sawa kabisa na kile ambacho mama Yake Whtney Huston alikutana nacho pia, yaani matumizi ya Dawa za Kulevya kupitiliza, na kukutwa wamepoteza fahamu katika Jakuzi la Kuogea, ingawa ni kwa Nyakati Tofauti sana

Wawili hawa walifunga Ndoa ingawa walilelewa katika familia moja, yaani Nick Gordon aliasiliwa na Familia ya Whitney Huston wakati bado yuko mdogo, na kukua na Bobi Kristina.

Sasa, baada ya Bobbi Kufariki, Nicki Gordon ambaye ni Mume wa Marehemu, alianza kutuhumiwa kuwa yeye ndiye chanzo cha Kifo cha Mkewe, kwa madai kuwa alikuwa akimpiga na hata kumfundisha kutumia Dawa za Kulevya.

Na Nick Gordon kama Mume, hakupewa ruhusa ya Kumuona Bobbi alipokuwa Hospitali, na pia hakuruhusiwa kwenda kumzika Mkewe Huyo, hali iliyomfanya aingie katika Ulevi wa hali ya Juu na hata kutumia dawa za Kulevya, mpaka alipopata Msaada wa Kuingia Rehab kwa ajili ya Tiba.

Hivi sasa Nicki Gordon amemaliza matibabu yake Vizuri na amefunguka Mambo Mengi sana

1. HAKUMFUNDISHA BOBBI KRISTINA KUTUMIA BANGI/MADAWA
Nick Gordon anadai Kuwa, Kipindi hata Kabla Whitney Huston hajafariki, Marehemu Bobbi alikuwa akitumia Vitu kama Bangi, Pombe na hata sigara, pindi alipokuwa akikutana na rafiki zake katika maeneo tofauti ya burudani kama vile, CLUB, n.k.
Hivyo Nick anaomba asihusishwe na Tuhuma Hizo.


2. HALI MBAYA ZAIDI YA ULEVI KWA BOBBI KRISTINA, ILIANZA KUONEKANA BAADA YA MAMA YAKE KUFARIKI.
Tofauti na kutumia Vilevi wakati Mama yake yupo hai, Bobbi anasadikiwa kuingia katika hali mbaya ya Matumizi ya dawa za Kulevya, hasa baada ya mama yake Kufariki, na sababu kubwa ilikuwa ni stress za hali ya juu, kitu ambacho kinachangiwa na kutokuwa karibu hasa na baba yake BOBBI BROWN


3. ILIMLAZIMU AANZE ULEVI WA DAWA NA POMBE BAADA YA KUMUONA BOBBI KRISTINA AKITESEKA.
NICK GORDON anadai kuwa, ni kweli Yeye pamoja na Marehemu Mkewe, walikuwa wakitumia dawa za kulevya kwa pamoja, lakini hali ilianza kuwa mbaya kwa upande wake baada ya kushindwa kustahimili kile alichokuwa akikutana nacho Mkewe Bobbi

BIRDMAN: RESPEK IMEKUWA BRAND?

2:28:00 AM Add Comment

SASA, kama wewe utakubali kulala njaa, basi kuna watu wanatia ngumu sana, mpaka kulala njaa inakuwa tabu kila kukicha.

Lile Neno la RESPECT MY NAME, alilotumia BIRDMAN katika Interview aliyowazingua Watangazaji wa Kituo cha POWER 105.1 Nchini Marekani, hivi sasa linatumika kibiashara zaidi
Kupitia account yake ya Instagram, Rapper Birdman alionesha Sample za Tshirt ambazo mpaka hivi sasa zinapatikana katika Maduka Teule.

katika Tshirt hizo za aina mbali mbali, Birdman ametumia Sentensi tatu ambazo alizitumia kuwaonya watangazaji hao, katika kuheshimu Jina lake .

Na Maneno hayo ni kama ifuatavyo:

  • Put Some Respek On My Name
  • Got No More Talkin
  • I aint Gonna say It No Mo.

Pia unaweza kupata Tshirt Hiyo katika Website Maalum ya CASH MONEY

MNADA BANNER