REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

UMASIKINI NDIO ULIOMFANYA WALE ASIRUDI NIGERIA

4:03:00 AM Add Comment




HATIMAYE WALE amezungumza rasmi kuhusu sababu ambayo ilimfanya Asipate japo hata nafasi ya kurejea Nchini NIGERIA

Akizungumza na Moja ya Redio nchini NIGERIA, Wale ambaye ni memba wa kundi la MMG (Maybach Music Group), amesema kuwa Umasikini wa wazazi wake ndio Ulimfanya asirudi Nchini Nigeria.


WALE amesema kwamba, wazazi wake hao wawili ambao wanatokea katika jamii ya ONDO, walikuwa wanaishi naye maisha Magumu huko WASHINGTON DC Marekani, lakini Umasikini wao ndio Uliowafanya Kushindwa hata Kugharamikia Tiket ya Ndege ambayo Ingemfanya apate nafasi ya kurudi Nigeria.

Aidha Wale ambaye Asili yake ni NIGERIA, anadai kuwa akiwa na Umri wa Miaka 15 alijiingiza katika Ajira, ambayo hata hivyo mshahara wake usingeweza kumfanya apate gahara za nauli.


Pia Wale akaongeza Kuwa, alifanikiwa kujiunga Na Elimu ya Chuo ambayo hata hivyo hakufanikiwa kumaliza, ambapo alipigana nayo Chini baada ya kupata Dili la Muziki ambalo anakomaa nalo hadi sasa

BT PROG. MANAGER : KUISHI NA WATU VIZURI NI MAFANIKIO YA BAADAYE

2:57:00 AM Add Comment
PROGRAMMANAGER wa BLACK TOUCHEZ, Frank Magnus Joachim (Kushoto), akiwa na Mgeni wake JOEL RYAKA Kutoka Neem FM Mwanza, alipomtembelea katika Studio za 99.4 Metro Fm Mwanza.
Wawili hawa wamesoma Chuo kimoja (ROYAL COLLEGE OF TANZANIA)


Frank Akiwa na Jaktan Msafiri.....

MNADA BANNER