REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

CRISTIANO RONALDO NA MPENZI WAKE WALIVYOPOZ KATIKA JARIDA LA THE VOGUE MAGAZINE-SPAIN

8:44:00 AM Add Comment

RICK ROSS NA MMG WANATAFUTWA WASHITAKIWE LAKINI HAWAPATIKANI,

7:48:00 AM Add Comment

LONDON, United Kingdoms
The MMG Big Bous-RICK ROSS (rozay) Membaz wa MMG, Walle na Meek Mill wanasakwa na Promoter mmoja ili wamlipe Fidia yake, lakini hawapatikani.

Kwa mujibu wa Info za Uhakika Kutoka TTM, inasemekana kuwa, Promoter huyo anayefahamika kwa jina la EZECHIE CHRISTIAN kutoka kampuni ya EXECUTIVE, amesema kuwa anataraji kufungua Kesi ya madai ya USD 200,000 sawa na Takriban Shilingi MILIONI 300 za Kitanzania, Dhidi ya Rick Ross Kwa Udanganyifu.

Ezechiel anadai kuwa Rozay na baadhi ya membaz wa MMG walittakiwa kutoa Perfomance kali kunako Uwanja wa WEMBLEY Jijini London, Mnamo Mwaka 2012, lakini cha ajabu hawakutokea ingawa walikuwa wameshatanguliza baadhi ya malipo.

Pia ameongeza kuwa, October mwaka jana, alifungua Mashtaka yake, na kila akijitahid Kumpata Rick Ross kwa ajili ya Kesi Hiyo, anashindwa kumpata.


Hata Hivyo Ezechie na Wanasheria wake wamedai kuwa awali walipewa Anunani ya mahali ambako Rozay alikuwa anaishi, katika Jiji la Miami, lakini walipofika walibaini kuwa katika Eneo hilo, kuna Biashara ya Vifaa vya umeme Inafanyika.

EMINEM ANARAP KAMA RAPPERS WENGINE AMBAO HAWAKUBALIKI REDION-MASE

7:44:00 AM Add Comment

Muda Mrefu sana umepita tangia Tufahamu kuwa Rapper Mase ambaye aliwahi kufanya kazi na Bad Boys ya P.DIDY, ameamua kuachana na game na kuamua Kuokoka huku akiwa Mchungaji wa Kanisa alilokuwa likimilikiwa na Yeye pamoja na Mke Wake ambaye inasemekana waliachana.

Katika Interview na Jarida la XXL Nchini marekani, Mase amesema kuwa Albam yake Mpya atakayokuja nayo itafahamika kwa jina la Now We Even, ambapo amesema ana mpago wa kumshirikisha CAMRON,MEEKMILL, DRAKE na DIDDY na hata JIGGER

Katika hali iliyowashtua wengi, ni Kufunguka kuwa hana Mpango wala Hawezi kumshirikisha Eminem kwa sababu ni aina ya Rappers ambao 
walikuwa wakirap hivyo, na hawakukubalika katika Radio .


Hakuishia hapo mase, pia alimchambua Eminem na kusema Kuwa, wasanii waliokuwa wakichana Flow za Eminem, hawakuwahi kufanikiwa katika kazi zao, pamoja na Kupata Mwangaza wa kuendeleza Kile walichokuwa wanakifanya

JUSTIN TIMBERLAKE, NI KAMA DIAMOND: NI KATIKA TUZO ZA BILL BOARD (BILLBOARDS MUSIC AWARDS)

7:33:00 AM Add Comment

LAS VEGAS,Marekani
JUSTIN TIMBERLAKE na Baadhi ya wasanii wameweza kujiondokea na tuzo za kumwaga kunako BILLBOARD MUSIC AWARDS.

Kwa Mujibu wa CHIMBUA CHIMBUA, Justin Timberland aliweza Kunyakua Jumla ya TUZO 7 Kama Platnumz huku akifatiwa na Wasanii Mbali mbali ambao nao waliondoka na Tuzo Kadhaa.

Tofauti na Justin Timberlake, Wasanii Wengine kama Eminem, Robin Thicke, Pharell Williams, waliweza kusepa wakiwa na Tuzo Tofauti ambazo Zimeweza kuwafanya kuwa na Heshima ya Aina yake hasa Katika Tuzo hizo.

Hata hivyo, kitu ambacho Kiliwafurahisha wengi, Ni performance ya Kibunifu kutoka kwa Mtu aliyefanana na Michael Jackson na Kuwakumbusha Wengi kuhusu Ladha alizokuwa akizifanya marehemu Michael .


Tuzo za Billboards 2014 zilifanyika  GRAND GARDEN ARENA, Las Vegasi, Marekani, huku Perfomance tamu zikishushwa na MR WORLD WIDE-Pitbull,Katty Perry, Iggy Azaela, na Wengineo.

NICKI MINAJI HAKATI TAMAA…..ANAKUJA NA MKWAJU MWINGINE

7:29:00 AM Add Comment

LAS VEGAS, Marekani
TUZO za Billboards zilifanyika Usiku wa Jumamosi kule Nchini Marekani ambapo wasanii Kibao walihudhuria.

Lakini TTM tuliweza kupata jambo Jipya kutoka Kwa mamito wa YMCMB – Nicki Minaji hasa kuhusu Ujio wa Track Yake mpya inayofahamika kwa Jina la PILLS AND POTIONS ambayoo tunaamini itakuwa inapatikana kuna album yake ya THE PINK PRINTS.

Aidha Nicki Minaji ameendelea kutirirka kuwa, Ingawa inawezekana akawa anatoa taarifa mape sana,Ila Track Hiyo itaachiwa rasmi ALHAMIS wa Wiki Hii..

Pia Minaji amemalizia kuwa, Mashabiki wake wanatakiwa kuwa tayari na kuvumilia kidogo, Kwani Albam ya THE PINK PRINT, itatoka kabla ya Mwaka 2015


MNADA BANNER