REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

MISHE ZA MPITA NJIA: KWA WALE TUNAOKUNYWA MAJI YA BEI RAHISI, HILI LINATUHUSU

1:59:00 AM Add Comment

MONEY BOY: JAGUAR KUINGIZA NDINGA MPYA JUMAPILI HII

1:36:00 AM Add Comment



Ulalalaaaaaa!!!..Wajajooo!!
Iko hivi jamani wala Nisishangae sana…

Mkali wa kipepeo na One of the Successful Artist Nchini Kenya, Jaguar, Jumapili Hii anaingiza Brand New Car.

Ingawa hakutaka kutoa Ufafanuzi zaidi kuhusu hilo, Jaguar alisema kuwa Ndinga atakayoingiza safari hii ni JAGUAR XJ, ambayo kiujumla inaweza kugharimu kati ya MILION 6.29 za Kenya au Milioni 13.3 Za Kenya.

Cheki mfano wa Gari Hilo…


UPDATE: UKWELI KUHUSU NDOA YA JAY Z NA BEYONCE KUINGIA DOSARI

1:18:00 AM Add Comment



HAINA HAJA YA KUGUNA GUNA..Inabidi kusikia Nini ambacho kimeweza kutokea. Mara nyingi tumekuwa tukisikia ndoa za mastaa zinavunjika kwa sababu mbali mbali, lakini Kuwa Bize ndo imkuwa sababu kubwa kabisa.

Jana kupitia Mtandao wa hollywoodlife.com, zilitolewa taarifa kuwa kunauwezekano wa Ndoa ya JAY Z na Mkewe BEYONCE imeingiwa na Dosari, na Bey yuko katika harakati za kudai talaka.

Kwa mujibu wa Chanzo kilichoulizwa kuhusu Ishu hii, kilidai kuwa, wawili hawa wamekuwa Mbali kwa Muda Mrefu wakifanya Shughuli zao hasa za Muziki.

Aidha imebainika kuwa, Mwanamama Beyonce alihisi kuwa Mume wake huyo ambaye Jina lake halisi ni Shawn Carter, amekuwa Bize sana kiasi cha kushindwa kutimiza majukumu hasa kama Mume na Baba wa Mtoto wao waMiezi 19, BLUE IVY

 Pia Chanzo hicho kiliongeza kuwa, hatua ya Jay Z kusafiri kwenda Bara la Ulaya kwa ajili ya Shughuli zake, na hatimaye Beyonce kupiga Tour yake ya MRS CARTER TOUR hukooo Australia, ilileta Mtafaruku, huku Beyonce akihisi kuwa Mume wake ameanza kusahau majukumu yake.

Katika Ufafanuzi, Chanzo hicho kilidai Bey alikuwa anahitaji Jay Z waambatane naye katika Tour yao, ili waweze kuwa karibu hasa kuilinda Ndoa yao na hata familia Yote Kiujumla.


Tofauti na hayo yote, Jay Z aliweza kufanya jambo la Busara kuahirisha mishe zake, na kumfuata Beyonce Australia alipokuwa akiendeleza Tour yake, ili kuweza kumaliza Tofauti zao

PREZZO : HUDDAH AMELALA NA ULIMWENGU MZIMA

1:09:00 AM Add Comment



Baada ya Kuitwa Mbwa Koko au Jamaa aliyefulia na Huddah Monroe, Finally Prezzo ameamua kutoa Uvivu na kumvunjia uwazi hasa kwa Public kama alivyofanyiwa.

Wakati akishusha interview na One of the Media Nchini Kenya, Cash Money Brother Prezzo alikiri kuwa alishea zaidi kugusana mikono na hata kupiga picha na mwanadada huyu ambaye alikuwa akiwakilisha nchi ya Kenya kunako BBA The Chase
Bila uwoga na kwa Kujiamini kabisa, Prezzo aliongeza kuwa, yeye na Crazy babe huyo waliweza Kubiringika zaidi ya mara tatu, na inaonekana alidata na kile alichokipata kwa Mkali huyu wa MARY MARY.


Pia Prezzo aliongeza kuwa, Yeye hakuwa na mpango na huddah, jambo ambalo lilimfanya Mrembo huyo kuhaha huku na kule na hata kuwazingua vibaya na Wasichana wote ambao wataonekana kuwa Karibu na Prezzo

Kama haitoshi, Prezzo aliripua bila huruma Hudah Monroe kuwa ni binti ambaye huwezi kumtofautisha na Mali ya Serikali, maana ameshabiringika na takriban Wanaume wa dunia Nzima, sasa Prezident ataishi vipi na Mwanamke waaina hiyo?

MNADA BANNER