REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

POTE PATAMU: HUKU CHADEMA (UKAWA), HUKU CCM.

7:38:00 AM Add Comment



LEO Wafukuza Mapepo Tumepata nafasi ya Kupitia Namna ambavyo wasanii Mbali mbali Nchini Tanzania (Muziki na Filamu) wanavyokaza katika Kuhakikisha kuwa, Wanasupport vyama vyao vya Siasa.

Ukitizama katika Accounts zao Mbali mbali, asilimia kubwa Utakuta Wanatumia Kauli Mbiu zao mbali mbali.


Mfano UKAWA, wanatumia #Mabadiliko au #MpakaKieleweke, Wakati Ukija Upande wa CCM, utakuta #MbeleKwaMbele au #HapaKaziTu, au #WataisomaNamba.

Na Ukiangalia Vikosi Vyote, Doh, Vimeshona Vichwa hasa. Hapa patamu aisee

JACQLINE WOLPER: MSIJALI MASHABIKI, SIASA ZIKIISHA, MAISHA YETU YANAENDA KAMA KAWAIDA.

7:26:00 AM Add Comment



HOT BABE kutoka Bongo Muvi, Jackline Wolper, amewatoa hofu Mashabiki wake ambao wamekuwa wakitoa Duku duku zao kuhusu Mwisho wa Wasanii ikiwa ni baada tu ya kumalizika kwa Siasa.

Kupitia Instagram account yake, Wolper ambaye hivi majuzi tu amevalishwa Pete ya Uchumba, amedai kuwa Mashabiki waiwe na hofu nao, maana Maisha ya kawaida yataendelea baada ya Shughuli za kumsupport Mgombea Urais kupitia CHADEMA-Ndani ya UKAWA, Edward Lowasa.

Tofauti na Hilo, Wolper ameongeza kuwa, Wao kazi yao ni Kamera Tu, na Sio Kukaa Kwenye Viti Vyekundu (Bungeni)

Wolper Aliandika Hivi:
Msijali Mashabiq siasa Zikiisha Maisha yetu yanaenda kma kawaida Maana sisi zetu kamera syo viti vyekundu ila hapa pipozii tuu paka kieleweke #mabadiliko20

MNADA BANNER