REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

PICHA: BARAKA DA PRINCE NA MO MUSIC NDANI YA STUDIO ZA 99.4 -METRO FM, KATIKA KIPINDI CHA JAM SESSION

6:08:00 AM Add Comment











MAMBO BADO HAYAJAWA TAYARI JAMANI…..COVER ILIYOTOKA SIYO YA ALBUM YA LIL WAYNE

6:05:00 AM Add Comment

INFACT jana ilikuwa ni stori kubwa hasa kwa mashabiki wa RAPPA Lil Wayne Baada ya Mchezaji wa Mpira wa kikapu katika ligi ya NBA-Nchini Marekani, KOBE BRYANT, kutweet picha yenye alama ya V, ikionesha kuwa kama Cover ya ALBAM uiliyoko Njian ya Lil Wayne, inayofahamika kwa Jina la THE CARTER V

Lakini watu wakiwa bado wanajiuliza maswali kuhusu kitu hicho, kama ni COVER ya ALBAM  ya Rappa Huyo wa YMCMB, muda mchache baadaye Lil Wayne aliretweet, yaani alijibu Tweet Hiyo ya KOBE, kwa Kusema “BELIEVE ME” yaani “NIAMINI” jambo ambalo liliwafanya wengi kuamini kuwa Mzigo tayari unakaribia Kuingia Sokoni Muda Si Mrefu.

Baada ya TTM kukaa Kimya na ATTENTION ili kufahamu kipi Kitajili baadaye, hatimaye Meneja wa WEEZY, CORTEZ BRYANT aliibuka kunako account yake ya Tweeter na kukanusha kuwa, Cover hiyo ambayo imekuwa ikisambaa kama Virusi kunako mitandao kibao ya Kijamii, SIO OFFICIAL COVER YA ALBAM YA THE CARTER V kutoka kwa Msanii Wake.

Katika Kulifafanua Hilo, Cortez ambaye amekuwa Meneja wa Lil wayne Muda Mrefu sasa, amesema kuwa Picha hiyo, ilikuwa ni kama Kiashirio na Mtego mkubwa hasa kwa Mafanz wa Lil Wayne, hasa kuhusu Ujio wa Albu yake hiyo mpya inayotarajiwa kutoka ndani ya Mwaka Huu


Pia ameongeza kuwa, walichoamua kukifanya Lil Wayne na Kobe Bryant, ni kuutarifu Umma hasa unaokubali kazi za Lil Wayne kuwa, Msimu wa Lil Wayne kufanya Mbwadidi la hatari kunako Music Industry, Hakika Ndio Huu hapa.

DJ KHALEED KUKUTANA NA JAY Z KUNAKO MIC MOJA….

5:36:00 AM Add Comment

Dj khaleed representing WE THE BEST, Still hajaridhika na kila Mbwadidi la Burudani analolifanya kunako Music Industry Nchini marekani na hata Ulimwenguni kote,

This Time Mkali huyu wa NO NEW FRIEND ameplan kumshirikisha Rapa Nguli-JAY Z “Baba BLUE Invy” kunako moja ya Ngoma Zake atakazopika.

Akionekana mwenye Furaha ya Kutosha na Mzuka mkali wa Ki-sambidudu, Dj Khaled alionekana akipiga Kelele kuwa Msimu huu ni wake, nay eye ni Mfalme wa Sauti kibao za Mikwaju

DJ Khaled amemshirikisha Jay Z kwenye wimbo wake alioupa jina la ‘They Don’t Love Your No More’ utakaokuwepo kwenye albam yake ijayo, akiwa na wakali wengine kama Boss wa MMG, Rick Ross, Meek Mill na French Montana.

Katika kufafanua zaidi, Dj Khaleed amedai kuwa anajisikia Furaha sana kufanya kazi na mtu kama JAY –Z kwa sababu amekuwa akiitafuta nafasi hiyo kwa Muda Mrefu na Kwa Nguvu zote.

Pia Khaleed akaongeza kuwa, Mashabiki zake watarajie Vitu Vikali na Vikubwa, na Wanatakiwa kumfanya aendelee kuwa Mkubwa zaidi maana anaamini katika Ushindi wa Kila anachokifaya, ikiwa ni baada ya kufanikisha mambo Mengi katika Biashara zake hasa kiburudani

Dj Khaled ameeleza kuwa kabla hajautoa wimbo huo, aliamua kutembelea mitaa ya Brooklyn alipokulia Jay Z ili kupata baraka alizopata Jay Z wakati anaishi huko na amepiga story na vijana wanaoishi maeneo hayo.

RIHANNA AFYATUA PICHA ZA NUSU UTUPU TENA

5:25:00 AM Add Comment
Kuna Kipindi TTM tulikupa Mtonyo kuwa Mamito Rih Rih amefyatua almost Picha za Nusu Utupu kunako Moja ya Jarida ambalo lilimuweka Front Page.

This Pia Amefyatua Picha Nyingine za Nusu utupu katika jarida la LUI linalopatikana Nchini Ufaransa, na TTM tumezinyaka.

Kupitia Kitengo Maalum cha Chimbua Chimbua, Ripot imemiminika kuwa, Katika Picha Hizo, Mkali huyo wa WE FOUND LOVE ameonekana akiwa ameachia Chakula Ya Mtoto Nje Nje huku wengi tukiwa tunaamini ni kitu ambacho kimekuwa ni kawaida.

Aidha Kitengo chetu kimebahatika kuinyaka Picha Nyingine ikimuonesha Mrembo huyo Kutoka Visiwa vya BARBADOS akiwa ameacha Boflo Zake Nje Nje, huku Mchoro wa kufuli ukiwa bado unaonekana kunako Picha Hiyo

Kupitia Account yake bya Instagram, Rih Rih alianza kumimina Picha hizo zilizomuonesha akiwa Nusu Mtupu, huku akitoa taarifa kuwa ni kwa ajili ya Jarida Hilo la Watu wazima Nchini Ufaransa ambalo pia Uhusisha Picha Mbali mbali za Utupu, linalofahamika kwa Jina la LUI.
Tofauti na Picha Hizo, Rih Rih alishusha Mzigo Mwingine wa Picha ambazo alifotoa kwa ajili ya jarida la VOGUE la BRAZIL…






KAHAMA KUMEIVA TAYARI: CHECK PICHA

2:26:00 AM Add Comment

Kinyang'anyiro cha kumtafuta mlimbwende wa halmashauri ya Msalala wilayani Kahama kimemalizika , huku taji hilo kuchukuliwa na Mshiriki Namba 08 Sophia Julius huku nafasi ya pili akienda kwa mshiriki namba 10 Nyange Warioba.

Katika  mashindando hayo mshiriki namba 02 Anna Charles ameshika nafasi ya tatu, Mshiriki namba 07 Pendo Maximillian ameshika nafasi ya nne na mshiriki namba 03 Magreth Victor ameshika nafasi ya tano































MNADA BANNER