REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

TUPENI TAFSIRI: CAITLYN JENNER (ZAMANI BRUCE JENNERS) ALIFURAHIA SIKU YA BABA DUNIANI NA WATOTO WAKE WAWILI, KYLIE NA KENDALL

2:57:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Leo Sijui tunafanyaje, Ila Hebu Tupanic Tena Kidogo..................... Jumapili ya Tarehe 18 June ilikuwa ni Siku ya Baba Duniani, Si Ndiyo jamani?.. na kila Mtu alitumia nafasi yake Vizuri, ila kama Hukufanya Hivyo, Basi Pole..subiri Mwakani

Sasa Caitlyn Jenner, Mwanamke aliyebadili Jinsia kutoka Uanaume mpaka Kuwa Mwanamke, Siku ya Jana alitumia Nafasi nzuri Kuspend Siku ya Baba Duniani, maarufu kama FATHER'S DAY akiwa na Mabinti wake wawili, Kendall na Kylie Jenner

Bi Mkubwa huyo mwenye Miaka 69 kwa Hivi sasa, alifanya Tukio Hilo huko Marekani maeneo ya Beverley Hills, huku wakitembelea Magari kadha wa kadha na hata kupose kwa ajili ya Picha Nyingi Tu

Baada ya Kupiga Picha aliyoifurahia, aliingia kunako Instagram account yake na kuandika Kuwa
"Siku Nzuri katika maonesho ya Magari ya Siku ya Baba Duniani nikiwa na Watoto wangu wawili hapa RODEO DRIVE. Heri ya Siku Ya Baba Duniani kwa Nyote Mlioko Huko"

Tofauti na Hilo, PiaCaitlyn alijishindia Tuzo ya Kuwa na Gari ambalo liko katika Fashion Kali, na hapo ndipo alipojikuta akimwaga Machozi baada ya kumkumbuka Baba Yake Mzazi ambaye Hivi sasa Ni Marehemu, huku akimpongeza na kumshukuru kwa Kila alichomfanyia

HAIWEZEKANI!!! :HUYU NDIYE MSANII WA R&B NCHINI MAREKANI ANAYETUHUMIA KUTOA HARUFU MBAYA YA MWILI !!!!

2:19:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  


#WatuWaMungu Hapa Nchini Marekani kuna Msanii wa Kike wa RnB ambaye anatuhumiwa kutoa Harufu Mbaya almaarufu kama Kunuka !!!!

Kama mtakuwa mnakumbuka Vizuri, Hapa Tanzania Pia iliwahi kuvuma kuwa Msanii Fulani wa Tasnia ya Bongo Movie  alituhumiwa kutoa Harufu mbaya katika Maeneo Fulani ambayo ni Ficho kidogo, basin a Nchini Marekani kuna huyu ambaye ametajwa kutoa harufu mbaya 

KEHLAN, msanii anayefanya Vizuri pia katika Ulimwengu wa RnB anadaiwa kutoa Harufu mbovu mwilini, tuhuma ambazo zimeanzishwa na Wadau wanaomfahamu, kupitia Mitandao ya Kijamii

Kehlan aambaye miezi sita iliyokata ameachia Video yake ya DESTRUCTION, alifahamika zaidi kupitia Umahiri wake wa kucheza na Sauti katika Mtindo wa RnB kipindi mashindano ya AMERICA HAS GOT TALENT na tayari ana Mikwaju Mingi sana

Moja kati ya watu waliomtuhumu , ni huyu ambaye anafahamika kwa jina la GHETTO SNOB, aliandika hivi kupitia Twitter

“Kehlan Hakika anakera sana. Alikuja Kazini kwangu na Studio Nzima ikajawa na Harufu mbaya ya Mwili.”

Baada ya Kulianzisha Hilo, Wengine walijitokeza na kuanza kukazia Katika Hilo, ambapo mmoja aliamua kuibua Kila Kitu na Kudai kuwa, Binti huyo anathema kila Kona na anakera mnoo

Naomba Nimnukuu
“Jasho la Kwenye Matiti, Harufu ya Kwenye Kikwapa, Harufu ya bangi, na Spray yenye harufu MATANGO YENYE MALIMAO, hatari “

TUMUOGOPE MUNGU !!! : ETI MAKE UP ZA KIM KARDASHIAN ZINABADILISHA NGOZI NA KUWA NYEUSI ???

2:12:00 AM Add Comment

Na Baba Juti    
#WatuWaMungu Naomba tupanic kwa Dakika Moja .......................................... Sasa Sijui kama Ni Kweli ama Lah, ila naomba tuishushe Tu Kwenu kama wadau na Nyie mseme kabisa

Inasemekana kuwa Bidhaa za Urembo za Shemeji Yetu kwa Kanye West, KIm Kardashian West, zimeanza Kukosolewa kwa Madai kuwa eti zinabadili muonekano na Kuwa Mweusi

Kwa Mujibu wa Tweet ambazo tumezinyaka kama Kitibitishio katika Madai ama Ukosoaji Huo, inasemekana kuwa Mchakato huo umesababishwa na Tangazo la Bidhaa hizo za Urembo ambazo zinaitwa KKW BEAUTY LINE, zinamuonesha Kim Kardashian akiwa katika Ngozi ya WEUSI WA KUNG'AA kitu ambacho wengi wanafahamu Kim hayuko Hivyo

Ukiachilia Mbali suala Hilo, Wengi wameanza kudai kuwa Huenda Kim keshaambiwa na Mumewe Kanye, aanze kuufukuzia Weusi, hivyo hata Make Up zake zitakubadilisha na kuwa katika Muonekano wa Weusi pale unapozipaka

PANIC KWA DAKIKA !!!: RIHANNA KAMTAFUTA CHRIS BROWN NA KUMWAMBIA HAYA

2:00:00 AM Add Comment

Na Baba Juti 
#WatuWaMungu hakuna kitu kizuri kama kubaini kabisa kuwa Mwenzi wako wa Kipindi cha Nyuma, bado anakujali na hata kuijali familia yako ama kile ambacho uko Nacho

Hii Imeweza kudhihirishwa Weekend Hii baada ya Rihanna kutoa Ushauri mzuri unaovutia kwa Ex-Wake Chris Brown kuhus kile ambacho kinaendelea Hivi sasa

Kama utakuwa hujavuruga "Memory" ya kichwa chako, utakuwa unafahamu kabisa kuwa kama Mwenzi mmoja uliokata, Ex-wa Brown Karrueche Tran aliamua kufungua Mashtaka dhidi ya Hitmaker Huyo wa AYO akidai kuwa amemtishia Kumuaa mara kadhaa na hata kumdhuru kitu ambacho wengi tunahisi kinaweza kumchanganya Breezy sababu tayari ana Mtoto mdogo

Sasa Taarifa ambazo tuko nazo mpoaka Hivi sasa, Ni kwamba, Baada ya Rihanna kusikia Jambo hilo, aliamua kumsaka Chris Breezy na kumuambia kuwa  hivi sasa anatakiwa Kuishi maiasha Mazuri na kumjali zaidi Mtoto wake, kitu ambacho ma-ex wengine hawawezi kukifanya kikawaida yani

Raifiki wa Karibu wa Rihanna alivujisha Info hizo akidai kuwa, Rihanna alichukua Jukumuu hilo pasipo kuzingatia Kipigo ama Tofauti ambazo zimeshawahi kutokea baina yao wawili

   Tunamnukuu     
" Rihanna alimuonya Sana Chris Brown ili ajifunze somo muhimu hivi sasa, hasa ukizingatia Nafasi yake kama Baba. Anafahamu namna ambavyo Royalty ni Muhimu sana kwa Chris Brown, hivyo alimuambia ajikite zaidi na kutizama mbele zaidi na aaishi Maisha Bora kwa ajili ya Mtoto Wake"

MNADA BANNER