REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

NANDY: "TANGU MWANZO KAMA NINGEPENDA MUZIKI WANGU UENDE NA KIKI, NINGEFANYA HIVYO"

2:56:00 AM Add Comment

Na Joe Mwangi  
KATIKA Music Industry Nchini Tanzania, kitu ambacho mpaka hivi sasa kinaendelea kuwa tafuna wengi hasa wasanii, ni kitu kinachoitwa KIKI, kiasi kwamba hata wasanii wanaochipukia sasa hivi, wanaanza kuamini kuwa muziki wao ili ufike mbali na hata kusikilizwa, ni lazima watumie Kiki.

Hapa ndipo utakuta wengi wanawatusi wasanii wenzao kupitia mashairi ama interviews, wengine wanapost picha za utupu mitandaoni, wengine wanafanya video za utupu, na mengineyo mengi ili mradi wapate attention

Lakini kwa Msanii Nandy ambaye doa lake lilitokea na anaanza kujitahidi kulifuta ingawa waungwana bado hawajamuacha mpaka hivi sasa, bado anaamini kuwa Sauti Yake Nzuri ambayo ni Natural..yaani asilia ambayo haijapitia vikorombwezo vyovyote, ndiyo iliyomfikisha hapa alipo na wala Sio kiki.

Pia akaongeza kuwa, kwa wale wasanii wenzao hasa wa kike ambao huamini kuwa ili kujikwamua kimuziki ni lazima wahusishe Skendo za ajabu ajabu, huwa wanawaonesha njia za kupita na sio vinginevyo

CARD B KASHUSHA MZIGO MWINGINE.... UNAITWA I LIKE IT (UTIZAME HAPA)

2:29:00 AM Add Comment

Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Jumatatu, Card B alitoa taarifa kuwa tutarajie kuona Video yake Mpya ambayo inaitwa I LIKE IT, na hatimaye amefanya hivyo Siku ya Jana

Katika Video hiyo ambayo imekuwa chini ya Director EIF RIVERA, Card B amewashirikisha wasanii wawili kutoka Latino Areas ambao ni Bad Bunny na J Balvin

Itizame hapa

WEDNESDAY SMASH: RUBBY FEAT. THE MAFIK-Niwaze (Video)

2:19:00 AM Add Comment

Na Baba Juti   
Ruby is a Tanzanian Musician and also a beauty queen in the eyes of many. She is popularly known for her hit song “yule”. 

Ruby, this new music sensation from Tanzania thinks her star is about to shine. When she released the Na Yule video , very few knew the Tanzania House of Talent-signed singer. In fact, those who knew her only related with her thanks to her win in the 2014 Serengeti Fiesta Supa Nyota Diva, the moment she first got her showbiz breakthrough.

She started singing in church when she was very young. Her professional music career started when she joined a competition in Tanzania, Serengeti Fiesta Supa Nyota Diva and won in 2014. When she first ventured into secular music, she did not get much support which is says was because those that knew her then thought she was doing something sinful whereas she believes that music is business like any other and she is just using her God-given talent to get returns.
She has already done notable collaborations with key artistes in Tanzania such as Yamoto Band, AbduKiba, and Baraka da Prince.

The Na Yule hit maker is the surprise new artiste has been launched in the  Coke Studio TV show where she is joining Kenya’s Nyashinski and Nigeria’s Yemi in a rare fusion.
Ruby has performed at the Kili Music Awards, the launch of the presidential campaign and the Zanzibar International Film Festival (ZIFF) 2015 among many other places.

MZEE WA UPAKO : " ACHENI UZINZI...MTAKUFA"

2:11:00 AM Add Comment

Na Hezron Munisi : SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS  
KAMA mtakuwa mnakumbuka Vizuri, Mchungaji wa KANISA LA MAOMBEZI (GRC) lililoko Kibangu-Ubungo, Dar Es Salaam, Anthony Lusekelo maarufu kama "Mzee wa Upako", aliliamsha dude la Msanii Ali Kiba na Team Kiba kiujumla baada ya kudai kuwa anamkubali sana Diamond Platnumz na Sio Ali Kiba kwa madai kuwa, Kiba ni msanii mwenye dharau, majivuno na hata kujibu kwa madaha/Maringo sana

Kauli hiyo aliitoa hivi karibuni alipokuwa akifanya Interview na kituo cha Redio cha TIMES huku akizungumza Mengi sana kuhusu wasanii, Muziki na masuala mengineyo ya kijamii

Baada ya kutokea kwa kauli hiyo, Ali Kiba alimjibu Mchungaji huyo kwa kudai kuwa hawezi kuzungumzia maisha yake maana hajui alikoanzia, hivyo aachane naye, huku team Kiba wakiporomosha comments za matusi kwa Mchungaji Huyo kila alipokuwa akipost Kitu katika account zake za mitandao ya kijamii

Baada ya kukutana na mbango hayo, Mzee wa Upako alidai kuwa yeye hawezi kujibishana na watoto wadogo maana umri wake na hadhi yake anaweza kuwazaa kabisa, hivyo kuwajibu ni kinyume cha maadili yake. Pia Mchungaji huyo akaongeza kuwa, ni kweli kabisa Ali Kiba huwa anajibu hivyo na watu huwa wanaona

Lakini katika kutoa ushauri kwa Wasanii, Mchungaji Lusekelo amedai kuwa, Wasanii wanatakiwa Waache "Uzinzi", bila hivyo watakufa

Msikilize

AMBER LULU : "SIDHANI KAMA PREZZO ATANIELEWA"

1:40:00 AM Add Comment

Na Hezron Munisi : SOURCE: GLOBAL PUBLISHERS
#WatuWaMungu tunaimnai mtakuwa mmeshakutana na Videro Clip ambayo ilisambaa sana kunako social networks ikimwaonesha Wasanii wawili wa Muziki wa Kizazi kipya Nchini, Amber Lulu pamoja na Nuh Mziwanda wakiwa katika Pozi la kimahaba.

Baada ya kusambaa kwa Video Hiyo, wengi walianza kutoa maoni yao kadha wa kadha kuhusu Video Clip hiyo huku wengine wakisema kuwa ni utovu wa maadili hasa katika matumizi sahihi ya mitandao ya kijamii, ukizingatia hivi sasa sheria imekuwa kali na wengi tayari wameshakutana na rungu hilo bila kificho

Katika Video clip hiyo ambayo ilirekodiwa na Nuh Mziwanda, inamuonesha Amber Lulu ambaye pia anatajwa kuwa na mahusiano na msanii kutoka Kenya, Prezzo, akimbusu Nuh Mziwanda Tumboni mara kadhaa, kitu ambacho kimetafsiriwa tofauti

Akifafanua kwa upande wake Nuh Mziwanda, anadai kuwa Clip hiyo ilikuwa ni Behind The Scene na wala hajahusika katika kuivujisha, ila anamlaumu Amber Lulu ambaye ndiye kavujisha video Clip hiyo na hata kumuharibia mpiango ya Project Zake

Kwa upande wake Amber Lulu, amefafanua kuwa, hajavujisha video hiyo makusudi bali ilijisave katika upande wa Snap chat kutokana na kutokuwa na Bundle la Internet muda huo, lakini alipoongeza bundle ikajipost yenyewe

Ingawa anadai kuwa hakuna kitu cha ajabu katika VCideo Clip hiyo, ila anahofia kuwa Mpenzi wake Prezzo hatomuelewa kutokana na hilo...Msikilize hapa

MAY 30 : WATER FLOWERING DAY

1:16:00 AM Add Comment

DAYS OF THE YEAR 
If it hadn’t been for coffee, cocoa, vanilla, lavender, camomile, marijuana, and many other flowering plants and trees, our world would have been a barren, dismal place. So Water a Flower Day is that yearly reminder to show our flowers how much we appreciate them for their sumptuous colours, their fragrant blossoms and their medicinal, or sometimes lethal, properties.

The best way to celebrate Water a Flower Day is by giving all of your household and garden plants an aquatic treat. Also, studies show that gently caressing them in the way that a diaphanous zephyr would in their natural habitat promotes growth, so don’t be shy, give their leaves a tender squeeze.

Unless you own a Rafflesia Arnoldii, the largest flower on the planet, which doesn’t have any leaves and is also known as the ‘corpse flower’ due to the odour it oozes when disturbed. That’s one plant we wouldn’t mind forgetting to water, isn’t it? Best stick to roses and lilies, I say, and water them, stroke and sing to them like you would to a child. You’ll be a better person for it and you’d make the world a brighter, sweeter and more colourful place.

MNADA BANNER