REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

#BRINGBACKOURGIRLS: WATU WAWILI WAMEUAWA KWA KUCHOMWA MOTO…

6:53:00 AM Add Comment

DAWATI LA TTM
KUNDI LA BOKO HARAM limezidi kuzua Vitimbi Kila kukicha ikiwa ni baada ya kusadikika Kuwateka watoto wadogo wa kike kwa Nyakati Tofauti:

Siku ya Jana Kitengo Chimbua Chimbua Tulitoa Ripoti Kutoka Nchini Nigeria Kuwa Mwanamke Mmoja katika Eneo la ABULE EGBA, jijini Lagos, aliuawa kwa Kuchomwa Moto baada ya kuhisiwa kuwa alitaka Kuiba, ama Kuteka wanafunzi ambao walikuwa wakielekea Shuleni

Lakini Siku ya Leo Pia, Tumeweza kuzipata Kuwa, Mwanaume Mmoja Mkazi wa AKURE, alikutana na Kifo cha Kikatili baada ya Kupewa kipigo kikali katika makutano ya ADEGBOLA na kasha kuchomwa Moto, kwa tuhuma za kukutwa na Mtoto ambaye inadaiwa Sio wake.

MBWADIDI LILIVYO:
Mchakato Mzima Bado unachanganya hasa Kuhusu Tuhuma dhidhi yake, ukilinganisha hili ni Tukio la Pili ambapo Marehemu wote haijathibitika kama ni Watekaji, au ni watu wa Kawaida tu waliotaka kujitolea kwa watoto hao.

Baadhio ya wananchi walidai kuwa Mtoto aliyepatikana na Jamaa huyo, allikutwa amekufa, huku baadhi ya Wananchi wakisema Mtoto huyo yuko hai.

Tofauti na Hilo, wananchi wote waliokuwa katika eneo la tukio, walioshiriki na wale ambao hawajashiriki, wadai kuwa, Kuna Uwezekano Mtu waliyemuua, alikuwa ni CHIZI, yaani hana akili timamu, ama Likuwa na ASkili Timamu.
MWISHO WA RIPOTI

KITENGO CHIMBUA CHIMBUA.

SIZE 8 NA NYWELE NYEKUNDU

6:49:00 AM Add Comment

Tunaamini kuwa Kila Mtu Huwa anapenda sana Kujishughulisha ili kujikwamua hasa Kiuchumi, pamoja na kukidhi mahitaji mengine.

Lakini tofauti na hilo, Tunaamini kuwa, kazi ya mtu ni kitu anachojivunia siku zote kulingana na hulka na mtazamo wake juu ya kazi husika.
Hivi ulishawahi kumuona mtu akiichukia kazi yake ambayo inampa Riziki?..au, Ulishawahi kuhisi Unaichukia kazi yako, na kutamani kuiacha?..sababu Ni Hizi:

1. SABABU ZA MFANYA KAZI
·        Huitambui Vema kazi yako
·        Huna malengo na kazi yako
·        Haujitangazi Vema kupitia Kazi yako ili kupata Channels Tofauti
·        Hushirikiani na Wenzako, yaani wewe Ni Mbinafsi
·        Huzingatii Thamani ya Kazi yako.
·        Huna Heshima katika kazi yako



2. SABABU ZA KIKAMPUNI
Kampuni Inaweza kuwa sababu kubwa yaw ewe Kuichukia kazi yako:
·        Kampuni haikuthamini.
·        Mshara /Malipo madogo ukilinganisha na Nguvu kazi yako
·        Kampuni kukosa Shukrani dhidi ya Kizuri unachokifanya
·        Kudharaurika hasa Kutoka kwa Viongozi
·        Kampuni Kujenga matabaka baina ya wafanya kazio kisa Muonekano, hali ya Kimaisha, na Nafasi za upendeleo
·        Kampuni kushindwa kumpa motisha Fulani Mfanya kazi.
·        Kampuni kutokufanyia kazi UBUNIFU wa Mfanyakazi pindi aletapo mawazo mapya ya Projects
·        Kauli Mbaya Toka kwa Viongozi/ Utawala
·        Kampuni Kutokuthamini matatizo yako  hasa ya Kiafya/Kifamilia/ nk
·        Unyanyasaji hasa kijinsia



MNADA BANNER