REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SHUKRANI ZANGU ZA DHATI....

8:18:00 AM Add Comment



Siku zote katika Kutafuta, huwa tunakutana na Watu tofauti ambao Kimsingi wanaweza kuleta Changamoto ama Manufaa makubwa kupitia Upendo wao na Ushirikiano wao.

Hii ni Maalum kwa Marafiki zangu hao watatu, Freddy Boniface Fredy Mwihava, Ergon Sanga na Edwin Eddymoblaze Moshi ambao wanajishughulisha na Shugli zao Tofauti ambzo ni BLOGS na UJASIRIAMALI hasa Kwa FREDY.

Ninawashukuru sana kwa Ushirikiano wenu na Support ambayo mnanipa kila Siku.
Ninawapenda sana, and YOU ARE MY SPECIAL FRIENDS i wish to have always.

Ninawapenda sana...na Tuko Pamoja

KAULI YA KACCI "THE TOWN SON" a.k.a KACCILLIONAIRE a.k.a KACCIRHYMESLICIOUS

2:42:00 AM 1 Comment


Kwa uwezo wa Mwenyezi Mungu nategemea kufanya sherehe yangu ya kuzaliwa.Ambayo itakuwa ni tarehe 23 mwezi Desemba mwaka huu.

Party itafanyika pale Camel Pub Kihonda Morogoro kuanzia saa kumi jioni.Kutakuwa na shows mbali mbali kutoka kwa wasanii wa Racers pamoja na mwenyewe Birthday Boy.Kadi tumeanza kutoa tangu jana jioni so kwa yoyote ambae anataka kujumuika nasi basi tuwasiliane na kila kitu kitakuwa vizuri Mungu akijalia.

KARIBUNI SANA!

"KUSHUSHA SURUALI NA KUBAKI NA BOXER NI VITU VYA KAWAIDA : DIAMOND PLATNUMZ

2:42:00 AM Add Comment


Jana kwa Umakini sana nilifuatilia Kipindi cha The Mboni Show cha EATV, ambapo Host wa Kipindi Hicho Mwanadada Mboni alikuwa akifanya Bonge moja la Interview na “Asali ya Warembo” kama anavyojiita Mwenyewe, namzungumzia NASIB “Diamond Platnum” ABDUL.
Nilijua kabisa kama Kutakuwa na Maswali mengi ambayo angetakiwa Kuyajibu kutoka kwa Host wa Kipindi pamoja na Wageni walioalikwa katika Show hiyo kama wawakilishi wa AUDIENCE nzima ya Kipindi Hicho.
Niliweza kupata Vitu Vikuu Viwili ambavyo inabidi Nikushirikishe kama Mdau mwenzangu katika MSIC INDUSTRY.

“KUSHUSHA SURUALI NA KUBAKI NA BOXER NI VITU VYA  KAWAIDA”

Katika Moja ya Maswali ambayo aliulizwa ni kuhusu tukio ambalo alilifanya katika Perfomance ya FIESTA 2012 BHAAAAAAAAAAAS, alipowageukia Mashabiki, akavua Suruali na Kubaki na BOXER akiwa na Dancer wake.
Jibu ambalo Diamond Platnum alilitoa lilinipa wakati Mgumu Kidogo. Diamond alidai kuwa, wao walifanya vile kama Surprise kwa Mashabiki wao maana hata walipokuwa katika Rehearsal, walivutiwa na hiyo action na kuamini kuwa ni Surprise nzuri. Platnamz aliongeza kuwa, wao hawakudhani kama litachukuliwa tofauti kulingana na Maadili ya Kitanzania, lakini Ni VITU VYA KAWAIDA TU…kwani Hata ULAYA huwa wanafanya Hivyo, na inakuwa Ni Sehemu ya Show
Katika Upande Mwingine, Mkali huyo wa Ngoma ya “NATAKA KULEWA”, amelaani Vikali hatua ambayo ilifanywa na Baadhi ya Watu kwa Kuikuza Picha Ile na kuiongezea Vitu ambavyo ni vya Kidharirishaji hasa kwake.

“WEMA ALINIANDIKIA BAADHI YA MISTARI……………”

Kitu ambacho pia hakikutarajiwa katika Masikio yangu, ni kusikia kuwa aliyekuwa Mpenzi wake Diamond, namzungumzia WEMA “Super Star” SEPETU, alimsaidia Diamond Kuandika BAADHI YA MISTARI katika Ngoma yake Mpya ambayo inafanya Vizuri kunako Media Kibao Nchini “NATAKA KULEWA”


Japo ilikuwa ni kwa mbinde sana, Diamond alisema kuwa Mistari hiyo inapatikana katika Verse ya Pili ya Wimbo huo, katika Mistari ya Kwanza kabisa “Mi kwa Mapenzi Maskini, nikamvisha na Pete kwa Kumuoa…..”

MNAOPONDA WATU WANENE “MABONGE” NI WAPUMBAVU

Katika Segment ya KERO ambayo hushughulikiwa haswa na Mwanamama “ZIPOMPA POMA” , jana ilikuwa ni Makavu live kwa wale ambao wanapenda kunyanyasa Wanawake na Wanaume Wanene yaani “Mabonge”  kama alivyo yeye, kwa kuwasema kuwa hawawezi kufanya baadhi ya mambo.
Bi. Mkubwa huyo alisema kuwa Si vema na haipendezi kuwasema vibaya “Mabonge” kila wanapopita na kuwaangalia kwa jicho baya, kwani hata wao ni binadamu kama wengine, na mwembamba yeyote anaweza kuwa Bonge.
Kwa Msisitizo zaidi, Bi. Mkubwa Zipompa kuwa wanaopenda kuwasema Vibaya kuwa Mabonge hawawezi Shughuli ni “WAPUMBAVU” kwa kutamka neno  “PUMBAVU” katika Mazungumzo yake

“Ni nani aliyekuambia Wanene hawawezi Shughuli?...Kawaulize waliopitia kwa Kiti (Yeye) mziki nilio nao..PUMBAVU !!! ”

Pia katika Mafunzo hayo, ZIPO aliwasihi wanawake wanene kuvaa mavazi yanayoendana na miili yao, na Sio kuvamia mavazi amayo yatawadhalilisha.

ZANZIBAR HEROES MMETISHA....2-1 DHID YA RWANDA SIO KAZI RAHISI

2:27:00 AM Add Comment



SBL Iling'arisha Hivi uzinduzi wa Bia Mpya ya TUSKER LITE

2:22:00 AM Add Comment







MNADA BANNER