REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

WE WISH YOU A HAPPY NEW YEAR

1:19:00 AM Add Comment




Familia Yangu inakutakia Heri ya Mwaka Mpya wewe Mdau wa BLACK TOUCHEZ.

Tarajia Mengi sana kwa Mwaka huu Mpya wa 2014 kwa Ushirikiano Mzuri na Timu Husika ya BLACK TOUCHEZ
Tunawapenda sana, na Tuendelee kuwa pamoja.

JULIUS JU-TI
C.E.O

UNAMKUMBUKA EVE?..BASI, AMEVALISHWA RASMI PETE YA UCHUMBA

1:10:00 AM Add Comment

Inaonekana Kuna mlio kabisaaa wa Kengere ya Ndoa kwa The FEMALE EMCEE, EVE na Mpenzi wake wa Muda Kidogo, MAXMILLION COOPER

Kwa Mujibu wa E NEWS, EVE na Cooper ambaye ni Muingereza, wameanza mahusiano yao ya Kimapenzi Kuanzia Mwaka 2011.


Wawili hao walionekana kukaa mbali mbali kulingana na sababu za kazi, ambapo EVE alikuwa akiishi Nchini MAREKANI (US) na MAximillion Cooper alikuwa akiishi UINGEREZA kwa ajili ya katika kampuni yake ya magari ya GUM BALL


Pete ya Uchumba ya Eve yenye madini ya DIAMOND imeonekana kupitia account yake ya Instagram aliyopost Picha Hiyo hapo Chini


 

RICK ROSS NDIYE MMILIKI HALALI WA JINA HILO.

1:06:00 AM Add Comment

MCHAKATO WA kugombania Jina la nani Mmiliki halali wa Jina la RICK ROSS kutoka kwa Msanii wa Hip Hop RICK ROSS “ROZAY” na aliykuwa Nguli wa Biashara ya Madawa ya Kulevya FREE WAY RICK ROSS, hatimaye Umefikia Mwisho baada ya Mahakama kuamua nani atumie Jina hilo Kiuhalali.

Kwa Mujibu wa hakimu aliyefahamika kwa Jina la ROGER BOREN, The Big Boss wa MAYBACH MUSIC GROUP (MMG) Rick Ross “Rozay” ndiyeMmiliki halali wa Jina la Rick Ross baada ya Kumshinda kwa mara Nyingine FREE WAY RICK ROSS ambaye alifungua Tena Mashityaka kwa mara nyingine dhidi ya Rozay.



Pia Kwa Mujibu wa Maamuzi hayo, Hakimu huyo alidai kuwa, FREEWAY RICK ROSS alibaini kuwa Rozay alikuwa analitumia jina Hilo la RICK ROSS kuanzia Mwaka 2006, lakini hakuchukua hatua za kisheria Ikiwemo kufungua mashitaka, lakini badala yake amefungua kesi hiyo mwaka 2010, jambo ambalo bado linampatia nafasi Rozay Kuwaalianza kutumia jina hilo Muda Mrefu.

MNADA BANNER