REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

BLACK WEEK: BILLIONEA ANA HILI LA KUWAAMBIA WANAUME WOOOOTE

5:59:00 AM Add Comment

SWALI ambalo TTM… Tunaweza Jiuliza, kama Hili Ofa lingekuja Bongo, wangapi wangejitokeza…Ulalalaaaa
Ladies And Gentz

BILLIONEA MMOJA Mkubwa sana katika Jiji la HONG KONG, ametoa Offa ya Dola za Kimarekani Millioni 130 Kwa Mwanaume Yoyote atakayeweza Kumridhisha na Kumbadilisha kabisa Binti yake ambaye ameathirika na Mapenzi ya Jinsia Moja..Yaan “USAGAJI”

Big Money Boss huyo ambaye anafahamika kwa jina la CECIL CHAO, amesema Kuwa, Mkwanja huo utakuwa Ni mali ya Mwanaume yeyote ambaye atafanikisha Zoezi hilo na hatimaye Kufanikiwa kumuoa Binti yake huyo GIGI CHAO, na hatimaye Kumpatia wajukuu

Awali, Jombaa huyo ambaye alikuwa Topic wa Media Mbali mbali, yaani alikunja Headlines kibao Mnamo Septemba Mwaka 2012, awali alitangaza dau la Dolari Milioni 65 kwa Mwanaume yeyote atakayempokonya Binti Huyo kwa Mpenzi wake wa Kike, na baadaye Kupandisha Dau.


Tofauti na hilo, Dingi huyo ambaye ni Bonge Moja la Business man bin Mfanya Biashara, alisema kuwa atatoa maisha Bora Balaa kwa Mwanaume Huyo atakayeishi na binti yake katika Ndoa na Kupata watoto huku akimbadilisha kabisa tabia Binti yake GIGI.

BLACK WEEK: SNOOP DOG AZUA TAFRANI

5:04:00 AM Add Comment

Wiki Hii SNOOP DOGG ama wamweza kumuita SNOOP ZILLA, zaman Snoop Lion, amewapa wakati mgumu watu wa Zima moto katika Hotel Moja ya Australia alikokuwa amepoz.

Ulalalaaa. Unaweza kujiuliza Kawapa hardtime kivip,
SNOOP alivuta Ile kitu yake SSSSSSSSSSSSSS..yaani Mmea Korofi wenye majina Mengi, wengine wanasemaga WEED, MARIJUAA..BLANT…BAN…. akiwa katika Cghumba hicho, lakini Ule Moshi wake ukawa Mwingi kupita kiasi, n hatimaye kuzifanya Kengere za moto ama FIRE ALARMS za chumba hicho Kuanza kufanya kazi yake.

Inasemekana baada ya watu wa Zima moto kusikia hivyo, walichomoka Mbio Kali kwenda Kupambana na tatizo la moto, pamoja na kufahamu tatizo limetokana na nini na Limetokea Wapi.

Aidha baada ya kutia Timu katika hotel hiyo, walibaini kuwa kilikuwa ni chumba ambacho SNOOPY alikuwemo, na walipoingia walikuta ni Moshi wa kitu cha OHO..koho..Koho..ingawa hawaakubainisha kama Ni Weed.

Inasemekana kuwa jamaa walipobaini Hilo, walimaind Balaa , lakini baada ya hali kuwa Shwari, Snoopy aliamua kupoz nao na Kufotoa Mnato a.k.a Picha kwa ajili ya Instagram..na kuzungumza nao akisema kuwa eti anatamani kuwa Mmoja wa Zima moto.

Snoopy anajua Kuua Soo.

MNADA BANNER