REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

IRENE PAUL ANALIA TENA, ILA SAFARI HII.........

1:00:00 AM Add Comment

KATIKA Industry ya Bongo Muvi kutoka hapa hapa 255, inawezekana na inaonekana kabisa kuwa bado wasanii hasa wa kike, hawaombeani mazuri wala mafanikio katika Mishe zao. Hii inatokana na Mishushuo mirefu sana ambayo huwa Ninakutana nayo kunako Kila aina ya Post za wasanii kadha wa kadha. Sasa, This Time, Irene paul, msanii ambaye huwa anatuhumiwa kujishaua sana, amesema kuwa kuna muda huwa anajikuta nalia sana kutopkana na kile ambacho Mungu anamfanyia. 

Aliandika hivi

“Sometimes najikuta nalia na Mungu si kwa uchungu bali kwa furaha ya yale anayonitendea,magumu au vikwazo vipo vingi katika maisha ya kila binadamu ila kwa vile hana upendeleo husimamia haki siku zote,nacheka peke yangu sababu sina wa kucheka nae maana mara nyingi wengi hutaka kukuona unalia,sio kwa sababu umewakosea au unawapunguzia CHOCHOTE kwa furaha yako bali ni watu ambao ni tabia yao hawataki shwari kwa nyingine kwa maslahi yao binafsi KWA NINI UWAKWAZE KWA MAKUSUDI NA FURAHA YAKO??WAEPUKE KWA KUWAACHA NA MASWALI WATAKAYOSHINDWA KUPATA MAJIBU KAMILI,Iwe kikazi kifamilia au kimaisha usimuamini yeyote LABDA AWE KAKUZAA AU MMEZALIWA NAE tofauti na hapo basi USIMUAMINI (labda wale mliojikuta mmekuwa ndugu kama wa mama mmoja ambao ni wachache sana)UNAJITAKIA HERI MAISHANI BASI TOFAUTISHA MAISHA YAKO BINAFSI NA MAISHA YAKO MBELE ZA WATU MAANA SIO KILA AKUTOLEAE MENO ANAKUFURAHIA KUMBUKA MOYO UMEFUNIKWA HUWEZI ONA LA NDANI#personalexperience#

LINEX KAVURUGWA TENA. HIKI NDICHO ALICHOSEMA

12:57:00 AM Add Comment

LINEX Mkali wa SALIMA, amefyatuka kuwa kusemwa hajaanza kipindi hiki, Leo, Wala Jana, bali ilikuwa ni Tangu wakati yu Tumboni kwa mama ake. Kauli hii inadhihirisha wazi kabisa kuwa, Msanii Sunday Mjeda, Linex, hayuko katika Good Relationship na Mtu Fulani ambaye amekuwa akimfuatilia na hata kumuombea mabaya

Mjeda aliandika Hivi:
“Kusemwa vibaya nilianza siku ya kwanza kabisa mama Angu aliponizaa japo wanajua kabisa mama Angu alinizaa Kwa uchungu na alipata na mi shida miez Tisa tumboni lakini kuna mijitu ilinisema vibaya baada ya kuniona tu nilipozaliwa Kwa mfano Khaaa!!!!! Jamani katoto keusi Kama mkaa umekaona mimacho yake kabayaaaaaa so saiz ukinisema vibaya unapoteza time cos mi naendelea na mambo zangu sihangaiki na mtu


Yani Kuna watu wana roho kma izo nguo nilizovaa na hyo kofia apo chini khaaaa!!!!!!”

PICHA: 40 YA MTOTO WA AUNT EZEKIEL NA MOSE IYOBO

12:46:00 AM Add Comment

COOKIE, ndo Jina la Mtoto wa Msanii wa Filamu Nchini Tanzania AUNT EZEKEL na MOZE IYOBO ambaye ni Dancer wa Diamond Platnumz.


Jana ilikuwa Ndio 40 ya Mtoto Huyo na mambo yalienda kama ifuatavyo





















TUJIKUMBUSHE KIDOGO
KABLA ya 40 ya Mtoto COOKIE, Jana kuanko Instagram, Aunty Ezekiel aliweza kuchukua nafasi yake baada ya kupost Picha akiwa amechora tattoo za watu wawili muhimu kwake, yaani Mtoto Cookie na Mpenzi wake MOZE IYOBO

Wengine waliohudhuria ni pamoja na DIAMOND PLATNUMZ, BABU TALE, ROMMY JONES, SHILOLE, MAIMARTHA WA JESSE na wengineo kibao

Usikose kutembelea www.blacktouchez.com

MNADA BANNER