REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Kacci...Its Not Funny.....Hata Kidogo...

10:08:00 AM Add Comment
Hapana !! Hii Siropoki!! Its Not Funny...Kacci
Haikuwa Hali ngumu Kwangu and Especially to Other Fanz Of  Abou Mrisho "azi nouni azi" Kacci Tha Town Son, kupokea Taarifa hasa kwa SMS kuwa He (Kacci) has Passed Away. Kimuhe Muhe kilikuwa kikubwa kusema Kweli katika Mazingira yoyote ambayo Kacci alikuwa akifahamika hasa College na kwa Wengine walioko Home kama Mie.
Frankly Speaking nlikuwa Nsaaanza kupokea SMS ovyo about that...na nisijue lipi la Kujibu
.                                                       Aboul Mrisho "Kacci" Katika PoziThen nw Eti Sio kweli...Wadogo zake wamefanya upuuzi huo...Hainiingii Akilini Generally.
Ukiingia Page Ya Ndimu, Utakuta Post Ya Kacci Eti...



AM SORRY GUYS BUT NI KUNA UTOTO TU UMEFANYIKA NINAPOISHI,
KUNA MADOGO NAKAA NAO NDIYO WALICHUKUA SIMU YANGU NA KUWATUMIA HUO UJUMBE WATU NILIOWASILIANA NAO MWISHONI MNISAMEHE SANA.SIWEZI KUFANYA HIVYO JAMANI NAOMBA RADHI YENU."

Tuzungumze Ukweli tu Jamani...Kacci, Its Not Funny...na kwa sasa...Naomba Tuchukulie kuwa Ni Utoto au ni Mistake ambayo kamwe haikuwa akili yako...but ni Shetani alikushawishi ujaribu hivyo. Ni ngumu sana kwa Mtu kama mimi kuamini kuwa wadogo zako wamekaa, wakawaza, na kuchukua Uamuzi wa Kusambaza SMS hizo kwa Fanz wako. Ni nguimu sana.
Radhi yako sote Tumeipokea...but Don u Ever! Ever! Ever!...do that Holly damn Shit Thing again
Mdomo Huumba.
Nimealiza!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!

MNADA BANNER