REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

DILLEMA:..NIMEIKUTA HII KATIKA E-MAIL YANGU. HATA SIFAHAMU NI NANI ALIYENITUMIA..NA SIJUI ALIKUWA ANAMAANISHA NINI

7:09:00 AM Add Comment

YOUNG & WILD: KUTANA NA CHARLEE BEST NEXUS, PRODUCER MWENYE MIAKA 17, LAKINI NI MOTO WA KUOTEA MBALI ROCK CITY

6:26:00 AM Add Comment




TUMEZOEA Kuwa, kuna Mqproducer hapa Nchini Tanzania Wenye Umri Mdogo, lakini Asilimia kubwa ya Umri huo ni Kuanzia Miaka 25 na Kuendelea.

Lakini Hii Leo, kuna huyu ambaye unaweza ukamshangaa kwaUmri alio nao.

HE goes By The name CHARLEE BEST NEXUS, ambaye ni Young Producer Kutoka SILCA MUSIC PRODUCTION, inayopatikana JIJINI MWANZA, maarufu kama ROCK CITY


Ameshatengeneza Mikwaju kadhaa sana ya Kumpa Heshima tangia amejua Kutengeneza Mikwaju Kadhaa.
CHARLEE BEST anatoka katika Familia Ya Vipaji Twaweza kusema hivyo, kwa sababu, Baba yake amejihusisha na Suala la Muziki Pia, samba mba na Uchoraji.

Kaka Yake BROWN BEST, Ni Muimbaji Mzuri wa Muziki aina ya REGGE, lakini Pia ni Designer Mzuri, na Hivi sasa ni GRAPHIC DESIGNER wa THE ROCK CITY EYE MAGAZINE ambayo inapatikana Jijini Mwanza Pia.
Ili Kujua anachokifanya, Chek PICHA ZAKE, the CLICK kuisikiliza Ngoma yake Huko Chini












HII NDIYO LIST YA MIKWAJU ITAKAYOPATIKANA KATIKA ALBAM YA YMCMB- RISE OF AN EMPIRE

6:03:00 AM Add Comment



WAKATI BADO tunasubili ALBAM ya Rise Of An Empire kutoka kwao YMCMB, ambayo Itaingia Sokoni Rasmi, Hatimaye TTM tumenyaka Mikwaju ambayo itapatikana katika Albam Hiyo.


ALBAM Hiyo Itasheheni Mikwaju Mikali 12, huku Baadhi ikifanya Vizuri hivi sasa katika Music Industry, ikiwemo WE ALRIGHT……
Kama Hujapata Kufahamu Ni Mikwaju ipi tunaizungumzia, Basi Iko Kama Ifuatavyo

1. We Alright — Euro Feat. Birdman & Lil Wayne
2. Trophies — Drake
3. Bang — Lil Twist Feat. Euro & Cory Gunz
4. Senile — Tyga Feat. Nicki Minaj & Lil Wayne
5. Induction Speech — Euro
6. One Time — Lil Twist Feat. Tyga & YG
7. Hittin Like — Shanell Feat. Chanel West Coast
8. Lookin’ Ass — Nicki Minaj
9. Fresher Than Ever — Gudda Gudda Feat. Jae Millz, Flow, Mack Maine & Birdman
10. Back It Up — Lil Twist Feat. Tyga
11. Moment — Lil Wayne
12. You Already Know — PJ Morton Feat. Mack Maine, Gudda Gudda & Jae Millz

UJIO WA RAY C UNAKISHINDO CHAKE

5:55:00 AM Add Comment




LONG WITING kutoka kwa Mwanadada Ray C tangia aachane na Ishu za matumizi ya madawa ya Kulevya na Kurejea katika Muziki hapa Nchini, inaweza kukatika Any time kuanzia hivi sasa.

Katika harakati hizo zaKurejea upya Kwenye GAME, RAY C, Originally REHEMA CHALAMILA amesema kuwa atakuja na Vitu Viwili kwa Mpigo ambavyo ni ALBAM Nzima pamoja na FOUNDATION yake, ambayo itakuwa ikijihusisha na masuala ya Muziki hasa kwa Vijana, pamoja na maisha kiujumla.


TOFAUTI na Mawazo ya watu Kuwa ALBAM Hailipi kwa hivi sasa, Mwanamama huyo ambaye alipata Heshima ya Dhati kupitia Kiuno chake, amesema yeye atashusha ALBAM, ili kuwapatia Kile ambacho ni Bora, hasa mashabiki wakw waliommis kwa Muda Mrefu sasa.

Aidha Mkali huyo wa UKO WAPI, amesema kuwa ataachia Mikwaju kadhaa kabla ya Kuachia ALBAM, ambayo hivi sasa Bado anaikamilisha, huku akipanda Jukwaani kuonesha Jinsi alivyo Mzima katika Masuala yake yaliyompa TITLE hapa Nchini.

MNADA BANNER