REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

Mwaka Jana...

2:00:00 AM Add Comment
"Nipo hapa Swaga Zangu Ziko Full Broo...Yes Bizzness..and I run The Show..The Like..wha..what More..baada ya Kesho kutwa..Ni Mtondogoo..."
Kudaadeki...Ni moja kati ya Zile za kuitwa "Bridge" kwa Song ya Mwaka jana ya Mtu mzima Bizzness.
Obviously now days Naenjoy saaaana Track Za Izzo Bizzness coz Zinaumiza sana Kichwa na Ku-woof Spika za redio zetu kama Sio Earphones kwa wale Addicted to Mp3s na Mauchafu Hivi.
Mkwaju umepikwa kwa yule yule Mkali wa wakali, Maneck ndani ya AM Records. Kuanzia Beat yake, Mixdown yote na Mishe zote za Audio, Haaa..Video yake ndo ilivunja Pabovu. 
Track inakwenda Kwa jina la "MWAKA JANA" akiwa Amemshirikisha Jamaa wa Kuitwa "Shapsin"
Ukiisikiliza na Kuitazama, utakubaliana na mimi kuwa Mshikaji anaipeleka Mbeya City On Top..
                                             Izzo Bizness Katika Moja ya Video ya "Mwaka jana"
9:23:00 AM Add Comment

HATUA MEDIA COMPANY LTD.

Ujio Mpya wa Vijana wenye Mzuka katika Market la Media Hapa Bongo, ikiwa na Hamu ya kutoa kile ambacho Wengi tumekuwa tunakikosa katika Habari na Burudani.
Mzuka Mwingi utakujia pasipo na Magumashi yoyote, ikiwa i chini ya Michakato Heavy kutoka kwa Young Generation in media Industry, iliyofanyiwa "Unpredictable Cook Out" katika "Chami Land", Royal College Of Tanzania "RCT"
Ladies And Gentlemen Bin Mabibi na Mabwana !!!!!!!!!!, Expect the Unexpectable Expectations

MNADA BANNER