REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

(VIDEO) : MWANAUME WA MIAKA 70 AFARIKI DUNIA AKIWA ANAJICHUWA (PUNYETO) HUKU YUKO LIVE KWENYE MTANDAO WA KIJAMII (TAFADHARI, VIDEO HII INAWEZA KUWA NA VITU VYA KUKWAZA, ITIZAMWE NA WENYE UMRI WA MIAKA 18+)

2:11:00 AM Add Comment
 MASIKINI : BILL (Miaka 70) amejikuta Akifariki akiwa Live Kupitia Mtandao wa LGBT wakati akijichuwa (akifanya Punyeto)

  Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Aliyeleta hii System ya Live Streaming , asipoangalia namna ya kuboresha, basi tutashuhudia Mengi ya kushangaza na hata kukatisha Tamaa

Mwanaume anayefahamika kwa Jina la Bill, kutoka  Mashariki mwa Mji wa PENNYSYLVANIA, amepoteza Maisha baada ya kupatwa na Shinikizo la Moyo, wakati akiwa LIVE kupitia moja ya Mtandao wa Kijamii.

Kwa wale ambao tunatumia Mtandao Maarufu wa LGBT, ambao unafahamika sana kwa kutoa Suport kwa Wapenzi wa Jinsia Moja, Waliobadili Jinsia pamoja na wale wenye Jinsia Mbili (Lesbian,Gay, Bisexual & Transgender  Communit Center), mtakuwa mmeshakutana na Tukio Hili ambalo lilimkumba Mwanaume Huyu ambaye alikuwa na Umri wa Miaka 70

Kwa Mujibu wa Video Clip Hiyo (Tunaiminya kwa Sababu za Kimaadili), Bill akiwa Live, ghafla alipatwa na Shinikizo la Damu alipokuwa akijichua mbele ya Kadamnas ambao walikuwa wakitizama kupitia FAP SESSION
   PROFILE: Huu ni Wasifu (Profile) Ya Marehemu BILL katika Mtandao huo ambao huwajumuisha Mashoga, Waliobadili Jinsia, na Wenye Jinsia Mbili

Baada ya Kukaa kwa takriban Dakika 26 na Sekunde 16 akiwa Mefariki na Bado Camera yake ikimuweka LIVE, Mke Wake aliingia Ndani na kugundua kuwa Mume Wake Mpenzi amefariki Dunia Tayari na alikuwa Uchi wa Mnyama

Baada ya kugundua kuwa Mumewe huyo alikuwa LIVE kwenye mtandao huo, alichukua Jukumu la Kumfunika Sehemu zake za Siri, na kuamua kupiga Simu katika Kitengo cha Dharura ili wamsaidie
Mke huyo alipata Maelekezo kuwa ampatie huduma ya kwanza, lakini , Kazi yake Mungu haina Moakosa, Tayari Mwanaume Huyo alikuwa amesjhafariki Dunia.

Baada ya Kitengo cha Dharura kufika, walijitahidi kurudisha Uhai wa Mzee huyo, lakini Haikuzaa Matunda


TIZAMA VIDEO HIYO : ONYO –VIDEO HII INA PICHA AMBAZO ZINARUHUSIWA KUTIZAMWA NA WATU WA WENYE MIAKA KUANZIA 18+

(VIDEO) NICKI MINAJ: YAH, NINADATE NA NAS, ILA HAJAPATA MZIGO BADO…

1:25:00 AM Add Comment

Na Baba Juti
#wATUwAmUNGU Hatimaye Rapper Nicki Minaj amekiri kuwa hivi sasa anadate na Nas, kitu ambacho tulikizungumza wiki kadhaa zilizopita kuhusu utata juu ya ukaribu wa wawili Hao.

Baada ya kukwepa huku na kule Maswali kadhaa kutoka kwa Mashabiki wake, hatimaye amekiri wazi kuwa hivi sasa Nicki ana Date na Rapper Mkongwe NAS.

Katika Kufafanua zaidi baada ya kuulizwa kuhusu Suala Hilo ambalo lilikuwa kama Fununu, Nicki Minaj alianza kumwaga Sifa kuwa Nas ni King Of Queens, hivyo hata yeye kuwa Karibu naye hasa Kimahusiano, anahisi kuwa ni malkia tosha hapa Duniani.

Tofauti na Hilo, Nick Minaj ambaye aliusumbua Ulimwengu na Mkwaju wa ANACONDA, alikiri kuwa anampenda sana Nas kwa Sababu yuko Cute sana na hata hivyo, huenda Nyumbani kwake na Hata Kulala


Lilipokuja suala la kutaka kufahamu kama Huwa anampa mautamu Nas akienda kulala Nyumbani kwake, Minaj alisema kuwa licha ya hayo yote kutokea, lakini Nas bado hajabahatika Kuuonja Utamu wake, yaani hajampa Mchezo bado

    TIZAMA HAPA AKIKIRI  

#DakaHiiFasta: UNAMKUMBUKA YULE VIDEO QUEEN WA KWENYE VIDEO YA MICHAEL JACKSON- THRILLER?...UNAWEZA KUAMINI ANAVYOFANANA SASA HIVI?

1:21:00 AM Add Comment
ENZI HIZO: OLA RAY (Kushoto) akiwa na Marehemu MICHAEL JACKSON, katika Video ya Thriller

  Na Baba Juti  
#WatuWaMungu Tunaamini Wengi mlipoiona Video ya Thriller ya Kwake Marehem Michael Jackson, kuna baadhi Mlikuwa Mnaogopa Kutembea Usiku, ama kuogpa Kulala Mwenyewe..maana Inatisha Hatari

Sasa, Yule Bibie ambaye alihusika Kama Video Vixen katika Video Hiyo, anafahamika Vizuri kwa Jina la OLA RAY, na alijibebea Umaarufu Mkubwa sana kutoka kwenye Video Hiyo.
 OLA RAY : Katika Muonekano wake wa Hivi sasa

Licha ya Kwamba ilikuwa ni Miaka ya 1990 (Wazee Wenzangu Mnakumbuka Sana Pigo Zetu) , Muonekano wa OLA bado unaweza kukushawishi :Kumtongoza" na hata kutamani kuwa naye, maana bado ni Mrembo Haswaaaaa

Tumezoea kuona Mabinti wa Enzi hizo waliojibebea Umaarufu sana, wakiwa hata hawatamaniki  katika Miaka hii, Lakini sijui OLA anajitunza Vipi Ndugu zangu
Hebu Tujikumbushe na Video ambayo alihusika OLA RAY

MNADA BANNER