REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

7:44:00 AM Add Comment
 
Na FRANK M. JOACHIM, Black Touchez
KUTOKA Jijini Mwanza, jamaa anafahanmika kwa Jina la KING RUSTON ambaye this Time ameamua kushusha The Best Video ambayo tunaamini itafanya Po asana kunako Music Industry

Wimbo Unaitwa  SWIMMING POOL,na humo ndani amemshirikisha Bibie Mwenye Mvuto Mkali, HALL C

Audio imetengenezwa ECK RECORDS na Video Imefanywa OVERCLASSIC ya jijini Mwanza

Pia kama Hujafahamu, Video Hii imehusisha mazingira ya Nchi Mbili, yaani MSUMBIJI na TANZANIA (Mwanza)

NEW VIDEO: MILA J- TIMES LIKE THIS (VERY EMOTIONAL)

7:08:00 AM Add Comment

Na Frank M. Joachim, BLACK TOUCHEZ
MILA J ni Msanii wa kike ambaye tayari ameshaachia Vibao kadhaa ambavyo vimemtengeneza Jinan a Ulimwengu wake Yetye kama Yeye, huku akiwa So Hot katiika Music Industy.

TIMES LIKE THIS ni Filamu Tamu sana ya Kihisia, ambayo Imeweza kuwasilishwa Vizuri katika Mfumo wa Wimbo hasa wa taratibu.

Katika Wimbo huu wa Times Like This ambao Video yake iko tayari na Inafanya Vizuri, Mila J anaonesha maisha yake na Mpenzi Wake(Kevin McCall-Co Starring/ Singer/ Songwriter)  ambaye kuanzia Mwanzo mpaka Mwisho ni maisha magumu na yenye Mwisho Mgumu, lakini bado hawezi kumuacha

Video ya Wimbo Huu, inagharimu Dakika 7 za Kihisia kama Unatizama kwa Umakini.

Video ya Wimbo Huu imeachiwa rasmi OCTOBER 14 na imeshatizamwa na watu zaidi ya 16,000

NEW VIDEO: ASHANTI FEAT. FRENCH MONTANA-EARLY IN THE MORNING (VERY HOT)

6:30:00 AM Add Comment

 Na Frank Joachim, BLACK TOUCHEZ
MPAKA hivi sasa, Ashanti tayari ameshaachia Albam yake Mpya inayokwenda Kwa Jina la BRAVE HEART ambayo imeshona Mikwaju Kadhaa.

Lakini katika Project Mpya Hii ambayo ameiachia, inaweza kurejesha Enzi zake, alipokuwa First lady wa Murder Inc ya akina JA RULE.

EARLY IN THE MORNING, ni project ama kazi mpya ambayo amemshirikisha French Montana, na mpaka tunavyozungumza Hivi sasa, tayari ameshaachia Video rasmi ambayo katika Mtandao wa YOUTUBE, tayari imeshapata Kutizamwa na Watu zaidi ya 67,000 tangia imeachiwa Rasmi OCTOBER 14


MNADA BANNER