REPIN ROCK CITY

REPIN ROCK CITY

TUMA TRACK YAKO

SERIKALI YA RWANDA IMEKANUSHA KIFO CHA RAIS PAUL KAGAME…

10:48:00 PM Add Comment

SERIKALI Ya Nchi ya Rwanda, Imekanusha Kutokea Kwa Kifo cha Rais wa Nchi Hiyo PAUL KAGAME, kama ambavyo Uvumi Ulikuwa Umeshaanza Kuzagaa Maeneo Mbali mbali Ya Afrika.

Kanusho hilo limetoka muda Mchache Baada ya Kusikika Kwa Shangwe na Chereko Katika Mitaa ya Mji wa Goma ulioko Jamhuri ya Kidemokrasia ya KONGO, Huku Baadhi ya watu Wakishangilia kwa nguvu zote huku wakiwa wameshikili Bango Lenye Umbo la MSALABA, lililoandikwa R.I.P KAGAME, yaani PUMZIKA KWA AMANI KAGAME

Lakini AFISA na Msemaji Mkuu wa OFISI Ya Rais Paul kagame, alithibitisha Kuwepo kwa Uvumi huo, na kukanusha Kuwa, Hakuna Ukweli wowote juu Hilo, Rais Kagame Yuko hai, na Yuko Nchini Marekani katika Ziara ya Kikazi, na alitakiwa kukutana na wanafunzi ambao ni Raia Wa Rwanda wanaosoma Nchini Marekani.

Katika Kukazia Hilo, WAZIRI MKUU Wa Rwanda naye alitweet Kywa Rais Kagame hajafariki, yuko Salama na Mzima wa Afya, huku akisisitiza kuwa Kitendo Kilichofanywa na Vijana hao ni UCHAFU na UPUUZI Mtupu, Ukizingatia Nchi Ya RWANDA na DRC haiku katika mahusiano Mazuri ya Kisiasa.


Baada ya Kanusho hilo Pia, serikali ya Rwanda Ilitweet Picha ya rais kagame akipeana mikono na Raia wa Rwanda wanaosoma katika Chuo Cha PENNYSLAVIA kilichoko nchi marekani, kama uthibitisho wa Taarifa za Uwongo dhidi yake

HUU NDIO MUONEKANO MPYA WA STUDIO YA MSHINDI WA EBSS 2013, EMANNUEL MSUYA

1:29:00 AM Add Comment








KENYA: ETI HIVYO NDIVYO WAKALI HAWA WATONEKANA MIAKA 40 IJAYO

1:18:00 AM Add Comment
 JAGUAR

Jua Cali 

 Huddah Monroe

 Miss Karun

Size 8

Avril 

Octopizzo

JAY Z NA BEYONCE WALIFUNGA PARK NZIMA KWA AJILI YA MTOTO WAO

1:11:00 AM Add Comment

Juzi kati Tu, hapa First Born wa JAY Z na BEYONCE, BLUE IVY alitimiza Umri wa Miaka 2 tangia kuzaliwa Kwake, jambo ambalo liliwafanya wazazi wake hao wenye Chapaa Ndefu Kufunga Park Nzima Kwa ajili ya Sherehe za Birthday ya Binti yao.

BLUE IVY alienjoy Sana Sherehe ambayo TTM tunaamini kuwa hatokumbuka Zaidi ya kuona Picha tu Kuwa ilikuwa Hivyo.

Katika Park Hiyo, BLUE IVY alipata Nafasi ya Kuona na hata kupiga picha na wanyama kadhaa Mfano kangaroo, na wengineo wengi wanaopatikana katika Park hiyo inayofahamika kwa jina la JUNGLE ISLAND












OCTOPIZZO NDIYE ANAPIGA BLINGS KULIKO WASANII WENGINE NCHINI KENYA.

12:55:00 AM Add Comment

UNAWEZA Kujiuliza Mtu kama PREZZO katupwa wapi na wasanii wengineo kama vile JAGUAR, NONINI, na Wengineo?..Kwani hawapigi Mikato Mikali?.

Lakini Iko hivi Mazee…

TTM (#TUKOMBELE) Tumekuja Kubaini Kuwa, most Of the Pics ambazo zinamuonesha Octopizzo katika maeneo Mbali mbali na Mishe zake Tofauti, anakuwa amekunja mikato ya hatari ambayo inamfanya kung’aa sana


KATIKA kudhihirisha hilo, Mwaka jana katika Tour ya Kombe la Dunia Nchini Kenya, OCTOPIZZO alikuwa Ni Moja kati ya wasanii walioperform mbele ya rais wa Nchi Hiyo, Uhuru Kenyatta. Katika Moja ya Kitu ambacho kiliwavutia mashabiki wake Wengi, ni Pamoja na Dressing Code aliyokuwa amevaa iliwavutia wengi ikiwemo Cheni Nyingi alizokuwa amevaa Pia.


Kama Unahisi unahitaji kuamini kuwa OCTOO ni Mbaya sana katika mavazi, Unaweza Pia Kucheki Video yake ya NINI, jinsi ambavyo amepiga Zile GUCCI na Sneakers Nyeupe kali ambazo zina Logo yake.

MAJANGA TENA: JUSTIN BIEBER AMPONDA JIRANI YAKE NA MAYAI…

12:45:00 AM Add Comment


SWALI ambalo TEAM TUKO MBELE tunajiuliza Mpaka hivi sasa.JUSTIN BIEBER alikuwa anatumia MAYAI VIZA?...ama MAYAI SAFI?

SASA IKO HIVI…

Justin Bieber anatuhumiwa kuanzisha Vita ya mayai kwa Jirani yake Usiku wa Kuamkia jana. Kwa mujibu wa Maelezo Ya Jirani Yake Huyo, ambaye TTM bado tunakomaa kulipata jina lake, anasema kuwa wakati yuko Ndani, alishtuka Kusikia Milio nya Vitu vikiponda Milango na Madirisha yake, jambo ambalo lilimfanya atoke Nje kufahamu Kinachoendelea.

Baada ya Kutoka Nje, Jirani huyo anadai alimuona The Majanga Boy, JUSTIN BIEBER akirusha Mayai Katika Mlango wake Ghorofa ya Kwanza. Baada ya Kuona hivyo, jirani huyo aliamua Kushuka Chini, ili afahamu sababu ya Bieber kufanya Hivyo.

Aidha Jamaa huyo anaongeza Kuwa, Baada ya kushuka Chini na kuanza kumuuliza nini ambacho kinaendelea, Justin alianza Kumponda na mayai Jirani huyo, jambo lilimfanya arudi Ndani kujinusuru na balaa hilo.

Jombaa baada ya Kuona hali si Nzuri, aliamua kupiga Simu Polisi ili kuomba Msaada, kitu ambayo Pia ilitokea na hatimaye Kusaidiwa.
Mpaka Polisi wanafika katika Eneo la Tukio ambalo ni CALABASAS majira ya Saa MOJA UNUSU Jioni,Mayai bado yalikuwa yametapakaa 
Milangoni na Sehemu Nyinginezo.


Mpaka sasa haijajulikana kama POLISI walipiga Story na BIEBER, lakini BIEBER mwenyewe pia hajazungumza Lolote Mpaka sasa





MNADA BANNER